Kiumbe Kitakachoushangaza ulimwengu ni E Haaland.Iwe jua iwe mvua nitasimama na
Mbappe.
Na wale wasiompenda wajiandae kupata heart attack maana Dogo anaendelea kuushangaza ulimwengu.
Our Mbappe
King of Football
#New Generation👌
Ya kale yamepita sasa ni mapya ya mtaalam Kylian🙌🔥🔥
Ni kweli messi hana golden boot pamoja na kwamba ana 35.
Si kweli kwenye WC mbappe ndio anaongoza.Katika rekodi za WC Messi anaongoza
Yule sio football commentator ni mtangazaji wa movie kama Lufufu Eder Militao alikua anamuita Milato Nika mute sauti bora niangalie bila sauti kuliko kujazwa taka taka masikioniKwanza naye alikuwa haoni vizuri kama sisi tu
Nimeshuhudia matukio mawili akiyatafsiri ndivyo sivyo kulingana na low quality ya streaming
Hadi kwenye sub napo alikuwa anachemka anataja watu wasio husika kama ndio wanaofanya mabadiliko
Sio mbio tu hata akili ya mpira na skills pia anazo za kutosha, swala la kupotea labda afanye maamuzi mabaya tu kwenye transfer ya club isiyokuwa potential kwake ila dogo anaujua mpira tena sana.Kila nikimuangalia huyu mchezaji ninaona anatumia mbio nyingi na ndio mafanikio yake yapo hapo.
Akishavuka miaka 30 hataweza kukimbia kwa kasi ya sasa hivi na hapo atapotea kama alivyopotea Christiano.
World cup ndio kipimo cha ubora wa mchezaji? unaugojwa gani wewe?Ronaldo afananishwe na wenzie wasiokuwa na world cup.
Acha kuzuga GOAT tunaangalia world cup to full stop kwa sababu world cup ndio inayompima mchezaji ustahimilivu wake kama Pele kacheza hadi ana 38. Hizo UEFA sijui EPL za kila mwaka mbwembwe tu hizo.Nimesema angalau world cup moja halafu hapo uongeze na vigezo vingine kama copa america, club world, ballon d'or angalau tatu, FIFA player of the year angalau tatu, UCL angalau tatu.
Hapo Messi peke yake anakidhi vigezo.
Hizi golden boots za kombe la dunia alizichukua mwaka ganiMessi analo kombe la dunia moja na golden boot za kombe la dunia mbili.
Watu mliokuwa mnaangalia mpira kupitia TBC huwa hamfichiki
Kwa hiyo nawewe ulikuwa unamsikiliza Nazareth Upete na kumuamini?
Eti chenga ya aina moja' we ulitaka awe nazo pea ngapi?
Kama Mbappe hana kipaji basi neno kipaji lifutweMbappe kipaji ni zero
Hakuna ajuaye kesho ya mtu isipokuwa Mungu tu.........acheni uchawiKila nikimuangalia huyu mchezaji ninaona anatumia mbio nyingi na ndio mafanikio yake yapo hapo.
Akishavuka miaka 30 hataweza kukimbia kwa kasi ya sasa hivi na hapo atapotea kama alivyopotea Christiano.
Mbappe ana penati ngapina Messi anazo ngapi?Si kweli kwenye WC mbappe ndio anaongoza.
Kiukweli takwimu za mbappe zinatisha kuliko hawa magwiji wawili vikubwa vinavyomgharimu dogo 1. Kwanza hana champions league sio kosa lake wote tunajua timu anayocheza haina kismati na ilo kombe kama barca, real madrid na mau u. 2. Hana ballon dor hii bila shaka ataichukua tu 3. Hana fanbase kubwa kama hao mabroo zake.. uenda messi na ronaldo wakistaafu mbappe ataanza kupewa heshima anayostahili1. Ronaldo hajapotea akiwa na miaka 30, sasas hivi ana miaka 38 na msimu uliopita tu alikuwa anagombania ufungaji bora, mchezaji akifika miaka 38 ni mkubwa sana, malegend wengi wanastaafu chini ya miaka 35.
2. Mbappe hahitaji hata kufika miaka 30 kuweka legacy yake, jamaa ana stats za kutisha sana, kama Rooney, Owen, Neymar na golden boy wengine huwa wanastaafu mapema sababu wameanza kucheza at top level wakiwa wadogo.
View attachment 2452173
Ndo maana niliwahikushauri ni wakati sasa wa kutazama damu mpya zinachofanya zikiwa changa ili kuzitengenezea kiu ya mafanikio. Unapopigana katika jamii ambayo haikuangalii unachofanya sababu kuna watu wawili tu inawatazama si afya kwa kiu ya mafanikio. Imagine Mbappe anafananishwa na CR7 na Messi, seriously? Ni wakati wa kuruhusu hawa watu wawili.Kiukweli takwimu za mbappe zinatisha kuliko hawa magwiji wawili vikubwa vinavyomgharimu dogo 1. Kwanza hana champions league sio kosa lake wote tunajua timu anayocheza haina kismati na ilo kombe kama barca, real madrid na mau u. 2. Hana ballon dor hii bila shaka ataichukua tu 3. Hana fanbase kubwa kama hao mabroo zake.. uenda messi na ronaldo wakistaafu mbappe ataanza kupewa heshima anayostahili
Tatizo kwa sasa soka ni siasa na biashara sio passion kama zamani na system tayari ishawachagua messi na ronaldo. Yaan messi/ronaldo anatakiwa kuwa na moment moja tu nzuri uwanjani kuwafunika wengine wote na story nzima ikawa juu yake hata kama kuna mchezaji mwingine alikua vzr zaidi yake kwa siku iyo ila story ikiandikwa kupitia jina la messi au ronaldo itapata views nyingi, likes nyingi, shares nyingi n.k... yaan hawa jamaa wawili watundike daruga tu angalao kutakua na usawa kwa kiasi fulniNdo maana niliwahikushauri ni wakati sasa wa kutazama damu mpya zinachofanya zikiwa changa ili kuzitengenezea kiu ya mafanikio. Unapopigana katika jamii ambayo haikuangalii unachofanya sababu kuna watu wawili tu inawatazama si afya kwa kiu ya mafanikio. Imagine Mbappe anafananishwa na CR7 na Messi, seriously? Ni wakati wa kuruhusu hawa watu wawili.
Sio hajafunga goli tu michuano yote hakupiga on target hata moja sio kwa kichwa wala mguuGiroud pia analo. Tena alichukua huku yy kama striker hajafunga goal hata moja.😂
Hata hio Baloon d or usipokua Madrid na Barca inabidi ukomae kisawa sawa.Kiukweli takwimu za mbappe zinatisha kuliko hawa magwiji wawili vikubwa vinavyomgharimu dogo 1. Kwanza hana champions league sio kosa lake wote tunajua timu anayocheza haina kismati na ilo kombe kama barca, real madrid na mau u. 2. Hana ballon dor hii bila shaka ataichukua tu 3. Hana fanbase kubwa kama hao mabroo zake.. uenda messi na ronaldo wakistaafu mbappe ataanza kupewa heshima anayostahili
Lewandowsk kaona ajiongeze tu maana bayern alikua anafanyiwa figisuHata hio Baloon d or usipokua Madrid na Barca inabidi ukomae kisawa sawa.