Katika nchi kiujumla kuna watu wengi wa aina hiyo, wengine wana nyadhifa kubwa tu.Magufuli ana washabiki wengi?
Ila hivyo vigezo vyako hata haters wa Magufuli wanavyo!
Kwani we umeielewaje?Usukuma umeingiaje sasa hapo?
Hii mada wewe unaona ni ya kumsifia Magufuli???
Mimi hata mwizi anayejulikana kwamba ni mwizi, watu wakitaka kumfunga kwa wizi ambao hajaufanya bado ila watu wanasema atakuja kuufanya miaka mitano baadaye, nitamtetea kwamba kumhukumu kwa wizi ambao hajaufanya ila watu wanatarajia aufanye si haki.Kosa kubwa unalolifanya ni kuanza kuwaza kuwa Rais Maguli atajiongezea Muda! Waza nini atakifanyia nchi na aliahidi nini kipindi hiki!
Alishasema kuwa hataongeza muda na hapendi harakati za akina Juma nkamia! Acheni ramli chonganishi.
Kuna mtu humu kanituhumu ukabila, kisa tu nimesema Magufuli hataongeza muda.Katika nchi kiujumla kuna watu wengi wa aina hiyo, wengine wana nyadhifa kubwa tu.
Ndiyo maana unaona hata kwa wanaompinga Magufuli kuna watu wanamshambulia kishamba kwa makosa ambayo hajayafanya ila wanategemea atayafanya 2025!
Na polisi wa Magufuli wakizuia maandamano ya wapinzani, kwa makosa ambayo wapinzani hawajayafanya ila wanatarajiwa kuyafanya, wapinzani hao watalalamika kwamba polisi wanawazuia kinyume na haki.
Double standard.
Ujinga juu ya ushamba pande zote.
Baba akikuambia mara nyingi "Mimi ndiye baba yako" fikiria kwa kina kuwa huenda siye. Kwa nini anarudia sana jambo hilo?Magufuli ni mtu wa misimamo hawezi kuongeza kipindi. Amini!
Hili jambo ni rahisi sana.Mimi hata mwizi anayejulikana kwamba ni mwizi, watu wakitaka kumfunga kwa wizi ambao hajaufanya bado ila watu wanasema atakuja kuufanya miaka mitano baadaye, nitamtetea kwamba kumhukumu kwa wizi ambao hajaufanya ila watu wanatarajia aufanye si haki.
Hususan kwa sababu, huyu ni mwizi, kashaiba, anaweza kushitakiwa kwa wizi aliokwishaufanya tayari.
Sasa, kwa nini unataka kumhukumu mwizi kwa wizi unaosema atakuja kuufanya miaka mitano baadaye, wakati mwizi huyu kashaiba mwaka huu, na anaweza kuhukumiwa kwa wizi huo ambao ushatokea tayari?
Tumhukumu Magufuli kwa makosa aliyoyafanya.Yapo mengi tu.Hatuna uhaba wa makosa ya Magufuli aliyokwisha yafanya.
Tusimhukumu kwa ubashiri wa makosa tunayofikiri anaweza kuyafanya mwaka 2025.
Tukianza kuhukumiana kwa makosa tunayofikiri yatafanyika baadaye, hakuna atakayebaki salama.
Atatokea Polisi umemshinda swaga kitaani kwenye kuwania mwanamke, atasema wewe sura yako imekaa kama mwizi wa miaka ijayo, tukuwahi kukufunga jela kabla hujaiba ili kuepusha wizi utakaokuja kuufanya badaye.
Kumbe ni gubu lake tu la hila kwa sababu umemshinda kutongoza.
Ni kanuni ile ile tu ya kumhukumu Magufuli leo, kwa makosa ya kufikirika ambayo watu wanabashiri atayafanya mwaka 2025.
Haondoki, ana maadui wengi, akiwa nje ya system watam kolimba.Ataondoka tu.
Huyo si mtu wa kung’ang’ania madaraka.
Haya, tutaona.Haondoki, ana maadui wengi, akiwa nje ya system watam kolimba.
Tabia moja ya ushamba ni kufanya assumptions kirahisi.Kama nilivyosema, tabia hii inaendana na lack of sophistication.Kuna mtu humu kanituhumu ukabila, kisa tu nimesema Magufuli hataongeza muda.
Je, huo nao ni ushamba?
Mimi sikusukumwa na ukabila nilivyosema kuwa hataongeza muda wa kukaa ikulu.
Lakini mtu anaibuka na kudai kuwa namtetea Magufuli [I don’t know how] kwa sababu ya ukabila.
Kwa vigezo vyako huo lazima uwe ushamba aisee.
Siyo?
Now who is "insinuating" that it is a "proof" of anything, me or you?The ‘smirk’ is not proof of anything that you’re insinuating..
You.Now who is "insinuating" that it is a "proof" of anything, me or you?
Ok, spinner.You.
Ukikaa karibu na choo kinachotoa harufu chafu, kwa muda mrefu, pua zako zikazoea ile harufu chafu ya choo, utaona ile harufu chafu ya choo ni ya kawaida tu.Hili jambo ni rahisi sana.
But for some reason, kuna naona hawalielewi kabisa. Ni kama somo flani hivi lililo gumu.
Sijui kwa nini tu inaonekana kama vile ni somo gumu kulielewa.
Au labda wamejawa na chuki/ hisia hasi [negative feelings] kiasi kwamba chuki zao zimeghubika kabisa akili zao?
Mtu bado hajalifanya kosa. Lakini anazungumziwa kana kwamba keshalifanya.
SMH!!!
That’s right, finger pointer.Ok, spinner.
Ukabila! Mtu anayefahamu “absolute power corrupts absolutely”(hiyo siyo starehe) akiongea hivyo, utajiuliza maswali kama hayo endapo haufahamu.Hivi mtu ambaye wala huishi naye 24/7 unajuaje kuwa hali bata au anakula bata?
Kama humuoni mchana kweupe akila bata ina maana usiku wa manane hali bata?
Magufuli ni public figure.Hivi mtu ambaye wala huishi naye 24/7 unajuaje kuwa hali bata au anakula bata?
Kama humuoni mchana kweupe akila bata ina maana usiku wa manane hali bata?