Kwa alichokiongea Vanessa Mdee, inawezekana Diamond Platnumz naye anafeki maisha?

Mpwa, hebu feki na wewe basi
 
V8 isikutishe jombaa mill 150 hadi 200 unapata zipo kibao tu mitaani hadi show room...kuna gari za kuziogopa ambazo acha mtaani,hata show room huwezi ziona..jamaa kaona gari ina sura mbaya basi anadhani anaweza aka-afford!!!..usiogope
Aisee
 
Hiyo ya ng'olo bila usd 300000 hupati...hiyo ya kuanzia kuna matoleo kibao hapo chini kama range tu...jamaa kumbe hata gari huzijui,tunazungumzia MINI cooper achana na JOHN
Piga hesabu hiyo usd 300900 kibongobongo ni sh ngapi
Umezidisha sifuli
 
Mbona ghorofa yeye mwenyewe kwenye interview Wasafi tv alisema kapanga wakati akijenga his dream home
 
Tofautisha maisha ya Afrika na wenzetu. Aliko Dangote ni tajiri kuliko Roman Abramovich lakini hana matusi kama ya Abromovich, hujawahi kumuona na private yatch, wala akila bata na private plane. Afrika maisha ya watu wenye pesa ni tofauti na ulaya.
Kuna magari kuyaendesha bongo ni kituko
 
Mkuu fuatilia tena kati ya hao wawili nani anapesa then uje uandike tena hapa.
 
V8 isikutishe jombaa mill 150 hadi 200 unapata zipo kibao tu mitaani hadi show room...kuna gari za kuziogopa ambazo acha mtaani,hata show room huwezi ziona..jamaa kaona gari ina sura mbaya basi anadhani anaweza aka-afford!!!..usiogope
Hata wewe bila shaka ni miongoni mwa watu wanaofake life
 
Hiyo Rolls Royce Madale litaweza kufika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…