Uzuri anasema chama kinaelekezaMakonda anayofanya katumwa na nani?
View attachment 2800441
Ngoja waje WA mteteeMakonda anayofanya katumwa na nani?
View attachment 2800441
Anachokifanya ndicho haswa alichoteuliwa kukifanya.
Makonda ni mithili ya udongo, unamfinyanga vile unataka awe.
Makonda ni mouthpiece ya waliomteua ili aongee yale wasioweza kuyaongea kwa wanaotakiwa kufikishiwa ujumbe.
Huu ni mtazamo wako tu....!Tokea ameanza kutoa maelekezo yake siku ya kwanza kwa Mawaziri na Jana kwa Mhe. Waziri Mkuu, yeye anelekezwa tu na anaongea kwa mujibu wa chama utamsikia akisema ameagizwa, hivyo hata akiongea kwa namna yotote ile ifahamike kuwa ameongea kwa maelekezo, tusijesema ameanza tena, kwa sasa ipo wazi kuwa ameelekezwa, huo ni mtazamo wangu tu labda kama kuna mtu ana mawazo tofauti
Sio kweli...huwezi kuwafananisha.Tunafahamishana tu kwa wale mliolala usingizi Kwamba Shujaa Magufuli amerudi kivingine
Hii haina kuremba Hapa Kazi Tu na 4R
Mungu wa mbinguni awabariki 😀
Hivi kutoa maagizo na kusisitiza ufuatiliaji nayo ni zero brain??Kwa hiyo hata hiyo kauli kuwa Rais aliingia na jina lake Kamati kuu bila kujali kelele za Vyura (wajumbe wa Kamati kuu) nayo ni maagizo tuu?
Tunaposema madaraka wasiwape watu ZERO BRAIN huwa tunamaanisha.
Mkuu, ungeambatanisha na video clipTokea ameanza kutoa maelekezo yake siku ya kwanza kwa Mawaziri na Jana kwa Mhe. Waziri Mkuu, yeye anelekezwa tu na anaongea kwa mujibu wa chama utamsikia akisema ameagizwa, hivyo hata akiongea kwa namna yotote ile ifahamike kuwa ameongea kwa maelekezo, tusijesema ameanza tena, kwa sasa ipo wazi kuwa ameelekezwa, huo ni mtazamo wangu tu labda kama kuna mtu ana mawazo tofauti
Kwenye kuoeana majukumu ya kiutendaji hakuna dharau..ukiona unampa mtu majukumu kisha humpi muda ujue we uliyempa una shida.Ilikuwa dharau kumpa Waziri mkuu muda. Yani hata Rais mwenyewe hawezi kufanya vile. Mtatoa ufafanuzi Hadi mchoke