Pre GE2025 Kwa anayoyaongea Lissu kuhusu uchaguzi, vyombo vya ulinzi na usalama vina machaguo matatu tu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Amani na utulivu upo wakati kila mtu analazimishwa kuwa chawa?
Awareness ya wananchi wa Kenya, Sudan, Somalia, Ethiopia na DRC ni kubwa sana... Huwezi kuwakuta wakiimba mapambio na nyimbo za kuwaabudu viongozi wao!
Zaidi kiongozi akiwazingua wataliamsha!
 
Mambo ni matatu tu gentleman,

1. ni kumpuuza na kabisaa kutomtilia maanani kibaka kwa utapeli wa wanachama wake, mdomo na makelele yake,

2. Hakuna aya, koma, wala nukta itakayobadilishwa kwenye sheria za uchaguzi na katiba ya nchi kuelekea uchaguzi huu muhimu wa kihistoria Tanzania.

3. ni muhimu wananchi na waTanzania wote kujiandaa kwa uchaguzi huru, wa haki na wa wazi utakaofanyika kwa utulivu, salama na amani Oct 2025.

Kuskiza porojo na makelele ya eti sijui hapatakua na uchaguzi ni ushirikina na ramli ya pata potea 🐒
 
Naunga mkono hoja hasa mapendekezo yako namba 2 na 3.

Inawezekana kabisa na haya yakitokea ndo wanasiasa watawaheshimu wananchi na watendaji.
 
Ndio nitajitetea vyema tu...anipeleke huko mahakamani....

Nitaiambia mahakama kuwa mtoa mada ameyachochea majeshi yetu KUIASI serikali halali.....
Bora mzazi wako angekumwaga chooni tu!

Unaelewa hata maana ya maasi? Tangu lini Vyombo vya ulinzi na usalama kusimamia upande wa haki na wananchi kwa maslahi mapana ya Taifa ikawa uhaini?
 
Vyombo vya usalama kupendelea upande fulani ushike dola ni sehemu ya usalama pia kwa manufaa ya taifa. Ipo siku vyombo vya usalama vitachagua upande wa upinzani kuongoza nchi na itakuwa hivyo.
 
Mmh hoja anazozitoa lissu kwa ccm wanaoweza kuzijibu ni wachache Sana. Nadhani wataanza kuzuia mikutano yake au kuzuia vyombo vya habari visirushe
 
Bora mzazi wako angekumwaga chooni tu!

Unaelewa hata maana ya maasi? Tangu lini Vyombo vya ulinzi na usalama kusimamia upande wa haki na wananchi kwa maslahi mapana ya Taifa ikawa uhaini?
Maslahi mapana ya taifa ni hivyo vyombo vya dola kuilinda serikali halali inayosimamia ustawi ,maono ya utulivu na amani.....

Mzazi wako wewe katuletea mtu wa hovyo asiyejua thamani ya UTULIVU NA AMANI....
 
Mmh hoja anazozitoa lissu kwa ccm wanaoweza kuzijibu ni wachache Sana. Nadhani wataanza kuzuia mikutano yake au kuzuia vyombo vya habari visirushe
Lissu ni dalali tu wa kule BRUSSELS wanakosumbuana na Trump kuhusu "25% tariffs in levies"....

Mropokaji na asiyetabirika.....
 
Faida yao ya "kuliamsha" ni nini ?!!

Unafikiri "kitoto sana"....

Amani inapotoweka usidhani kuwa wahanga wa machafuko huwa ni hao wanasiasa na viongozi....

Mhanga nambari moja n mimi ,wewe ,watoto wako ,wangu ,mke wako ,wangu na wazazi wako na wangu.....

Fikiri kwa mapana mzeya !!
 
Maslahi mapana ya taifa ni hivyo vyombo vya dola kuilinda serikali halali inayosimamia ustawi ,maono ya utulivu na amani.....

Mzazi wako wewe katuletea mtu wa hovyo asiyejua thamani ya UTULIVU NA AMANI....
Sasa Serikali kutolewa kwa njia halali kuna shida gani? Tena Serikali yenyewe hii ya wezi na vilaza ya CCM inayoliibia taifa na kulirudisha nyuma kila siku?
 
  1. Vyombo vya ulinzi na usalama viungane na Tundu Lisu kudai mabadiliko ya Katiba yatakayoruhusu chaguzi zetu kuwa huru na haki ili kuepusha machafuko.
Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vikifanya haya, vitajenga imani kwa wananch
 
Vyombo vya ulinzi na usalama havifanyi kazi kwa maamuzi Yao bali vinatumwa cha kufanya na mamlaka iliyopo madarakani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…