Kwa asilimia nyingi Waislamu tumechukua tamaduni za Kiarabu. Je, Uislamu ni Uarabu?

Huna haja ya kukasiriska au kutokwa na povu; Tafuta kwanza maana ya neno uislam ndio uanzie hapo;
Labda nikupe mfano rahisi;
Hivi mtu akisema meli zote, Ngalawa na mashua zinafuata kanuni ya kuelea (low of flotation);
Unaweza kumkatalia kwa kuwa Mashua na ngalawa zilikuwepo kabla ya kugunduliwa low of flotation?

Kwa maana hiyo basi; kama mitume waliotajwa kama Ibrahim nk walikuwa wanafuata taratibu kama kumuamini Mungu mmoja na nyinginezo ambapo Muhamad alipokuja aliziita hizo taratibu kwa jina moja la Uislam, basi waislam wanayo haki ya kusema kuwa Ibrahimu na mitume wengine walio tangulia walikuwa waislam
Na hii nikama nilivyo sema, Ngalawa, mashua nk zilikuwa zinafuata low of floatation hata kama haikuwepo kipindi zina anza kutumia miaka miiingi BC
(Mtaniwia radhi wale ambao hamjui kanuni ya kuelea/Law of flotation)
 
Hiyo Nguzo Ina Sharti Lake
Ni kwa yule Mwenye uwezo wa mali tu.Umeelewa Mwana Kondoo
Kwanini mtu asafiri na kutumia gharama kubwa kwenda kubusu au kulipungia jiwe ?

Jiwe Lina mamlaka gani na Lina kazi gani ?
 
Uislamu ulikuwepo hata kabla ya mudi? Mudi si ndo anasimliwa kwenye quran au kulikuwa na kitabu gani hapo kabla?
 
Dufu inaharibu msingi upi wa uislam?
You are missing the point by a mile! It's about Arab culture and why Muslim Africans see anything Arab as superior. No one has said anything about the pillars of Islam being wrong
 
Hakika umeandika Ukweli Mtupu
 
Comment yako inaoneasha ulivyo mjinga! Sijui kwanini watu wengi mnakwama kuchangia hoja katika mijadala si Kwa mitandao ya kijamii hata kwenye media...Man up!!
Tatizo ni ukosefu wa Elimu na kuwa na akili ndogo isiyoweza kureason
 
Hao wakishapewa gunia la tende na maji ya kutawadhia basi [emoji23]
 
Mbona mashoga wana majina ya kiislam
- DAAIYE ABDULLAH , ni Imamu Shoga maarufu zaidi USA, anaendesha msikiti wenye waumin wengi sana

- NUR WARSAME, ni Imamu Shoga maarufu zaidi CANADA na ana waumini wengi wanaomsikiliza mpaka sasa

- MUHSIN HENDRICK, ni IMAMU SHOGA maarufu sana South Africa na ana waumin wengi tu
 
Uislamu ulikuwepo hata kabla ya mudi? Mudi si ndo anasimliwa kwenye quran au kulikuwa na kitabu gani hapo kabla?
Wanakuambia Uislam ulikuwepo hata kabla ya Adam[emoji23]

Wakati huohuo tunaambiwa ili kuwa Muislam ni lazima kushuhudia kuwa yupo Mungu mmoja tu ambaye ni Allah na Muhammad ndio Mtume wake

Sasa kama Muhammad hakuwepo je walishuhudiaje? Hawakula SHAHADA?

Illogical
 
Mazingaombwe haya. Eti Yesu alikuwa muislamu aliitwa Issa, sijui alipewa na nani hilo jina kama siyo maandishi ya Mudi.
 

umejua kunichekesha sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Dini hizi tufikie mahali tukubaliane kuwa ni utumwa wa kifikra na kiutamaduni, huku Kwa wakiristu usipo kuwa na jina la kizungu haubatizwi, yaani Bora liwe jina la kizungu ata kama kwenye biblia halipo, Kwa waislamu huko Nako Bora liwe jina la kiarabu ata kama halipo kwenye Quran
 
Wakristu wanaterm kuwa uwe na jina la mtukufu ikiwa na maana kama Nyerere akitangazwa kuwa mtukufu basi utabatizwa na hilo jina. Lengo uishi kitukufu kama wao, kwa islamu sijui lengo lake
 
Kwa hiyo ni biashara kama biashara zingine. Wasifiwe walioanzisha dini maana wameteka nyoyo za watu hadi hawa wa hijja na wachukua sadaka sehenu zingine zoote
Uislamu uko kwenye nyanja zote za kimaisha.Ndio ukaona Yesu,naye akaona avae kanzu na kubadhi na awavalishe na wanafunzi wake
 
Kama alivyovyaa Yesu kanzu na wanafunzi wake
 
Uislamu uko kwenye nyanja zote za kimaisha.Ndio ukaona Yesu,naye akaona avae kanzu na kubadhi na awavalishe na wanafunzi wakeView attachment 2670763
Kumbe! Hongera kwa kuijua sura ya Jesus Christ. Tuma sura ya Mudi mtume wa mwisho wa Mungu kama isikikavyo. Hahahaaa, Mudi hana maajabu yoyote ya kuonekana kama mtume wa Mola aliye juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…