Mparee2
JF-Expert Member
- Sep 2, 2012
- 3,092
- 5,386
Huna haja ya kukasiriska au kutokwa na povu; Tafuta kwanza maana ya neno uislam ndio uanzie hapo;FICHA UPUMBAVU WEWE.
MWAMEDI AMEISHI MIAKA YA 1500 ILIYOPITA.
IBRAHIMU AMEISHI MIAKA 5000 ILIYOPITA.
UISLAMU UNA MIAKA 1500,
NA ULIANZISHWA NA MOHAMED WAKATI IBRAHIM AMEKUFA MIAKA ZAIDI YA 3500.
Miaka Mingi kabla ya UISLAMU KUANZISHWA NA MWAMEDI
NA HADIJA KUSILIMU.
Labda nikupe mfano rahisi;
Hivi mtu akisema meli zote, Ngalawa na mashua zinafuata kanuni ya kuelea (low of flotation);
Unaweza kumkatalia kwa kuwa Mashua na ngalawa zilikuwepo kabla ya kugunduliwa low of flotation?
Kwa maana hiyo basi; kama mitume waliotajwa kama Ibrahim nk walikuwa wanafuata taratibu kama kumuamini Mungu mmoja na nyinginezo ambapo Muhamad alipokuja aliziita hizo taratibu kwa jina moja la Uislam, basi waislam wanayo haki ya kusema kuwa Ibrahimu na mitume wengine walio tangulia walikuwa waislam
Na hii nikama nilivyo sema, Ngalawa, mashua nk zilikuwa zinafuata low of floatation hata kama haikuwepo kipindi zina anza kutumia miaka miiingi BC
(Mtaniwia radhi wale ambao hamjui kanuni ya kuelea/Law of flotation)