shabanmbarak
JF-Expert Member
- Aug 17, 2022
- 1,178
- 1,150
Nlikua kama zimo hiv kumbe mbili kasorobo [emoji23].SAS kuhiji,kufunga,kutoa zakka, kuswali ni utamaduni wa kiarabu?Hio ndio misingi mikuu,
Kuna haja ipi ya kukopi vya uarabuni na kuvi merge kwenye dini ?
View attachment 2669880
Nan kakwambia dufu ni uislam [emoji23]Tujikubali na asili zetu, tujivunie vyetu.
Dufu ni ngoma za waarabu, kuna ulazima upi kuacha kupiga ngoma zetu sisi za asili yetu Mdundiko, Lizombe,sindimmba,mganda,mdumange,msewe, ?
Hizo ndo story wanazokuambia, lakini ukweli ni kwamba uislamu ni dini Kama dini zingine inaanzishwa na tamaduni fulani kwa kusudi la kuendesha watu wa tamaduni hio... Sasa kutakuwa na Mungu wangapi Kama kila tamaduni imetokewa na Mungu wake sijui mlimani sijui pangoni na kila tamaduni Ina dini yake na sheria zake. Hizi ni sheria za watu Ila wanasema za Mungu ili watu waogope na kufata na kuwatishia kuwa baada ya kufa Kuna moto coz hamna mtu Ashawahi kurudi so utaogopa tu ila in reality hamna kitu Kama hicho
😂Ushasoma bana usizugeNikishaona tu mtu anajichekesha chekesha kwenye comment huwa nampuuza sijasoma
😂Mimi sio mkristo we vipi? Na hoja zako za kitoto Sana, so we ukiona kanisa Arusha limefungisha ndoa ndo makanisa yote duniani ndo yanafungisha ndoa wanaume. 😂yaani hata mtoto wa la tano anakushinda hoja...hebu kua bacInterview ya wapi🤣🤣? sijawahi kuvaa suti waliovaa walipigwa chini kwa vile vichwa empty.
Shoga yule wa Arusha kafungishwa ndo kanisani kwani hujui?
Mbona wewe ni upinde je bible ndo unakufundisha?
Au nikuletee viongozi wako wale sijui sangara sijui papa wanavaa suti na ndo Miungu yenu🤣🤣🤣.
Makanisani ni ruksa wanaume kuoana 🤣
Kuna makosa kwenye Quran pia...😂au mnataka kutuambia Kuna mbingu Saba na moto Saba, viumbe vimeumbwa viwili viwili, nyota hutulinda kutokana na majini, 😂hebu acha utajiabisha..🤣shahawa zinatoka kwenye UTI wa ubongoKuna makosa ZAIDI ya Elfu Moja kwenye Hilo likitabu LENU lililoshushwa na shetani.
Watu mnajua kuchambua mambo JF kibokoDini ilibaki Oman huyu sultan Seyid aliyekuja Zanzibar ni kama Christopher Columbus jamaa walikuwa pirates kwa jina la uislamu, dini ilikuja na utumwa *****
🤣🤣Sasa si kanisa hilo yalianzishwa na wazungu ...Na hizo suti si wameanzisha wazungu😂Mimi sio mkristo we vipi? Na hoja zako za kitoto Sana, so we ukiona kanisa Arusha limefungisha ndoa ndo makanisa yote duniani ndo yanafungisha ndoa wanaume. 😂yaani hata mtoto wa la tano anakushinda hoja...hebu kua bac
😂Unavyosema upinde ndo nini, upinde sio mtu, ni rangi na kwenye physics zinasababishwa na refraction of light...ndo maana nakuambia Rudi hata form 2 upate elimu kidogo
Hamna Muislamu hapo, Mambo anayoyahoji yote yana majibu ya wazi kabisa kwa alie Muislamu, ameshindwa kujua kama Uislamu sio Uarabu.Kwanza tukubaliane wewe sio muislam sawa?
Kama wewe Ni muislam misingi ya uisilam na uliyo yaorodhesha vinaendana?
Kwanza tukubaliane wewe sio muislam sawa?
Kama wewe Ni muislam misingi ya uisilam na uliyo yaorodhesha vinaendana?
Mimi nikujibu tu kuwa Uislam sio Uarabu nauarabu una mila na desturi zake na uislam una sheria zake lakini huku kwenye uislam tumekomba mpaka uarabu, nimeuliza swali uislamu ni uarabu?
Majina - yani mpaka jina la ukoo linanyofolewa.
Kutukuza waarabu - kuwa na dhana potofu kwamba waarabu ni ndugu zake Mwenyezi Mungu, kuiita ngozi ya kiarabu ngozi ya mtume, mwarabu akitaka kitu flani ni ngumu kumkatalia, akikosea kitu flani rahisi kumsamehe.
Mavazi - Kudhani kwamba kanzu ni uislam
Dufu - Ngoma hii wengi huipiga hasa kwenye sherehe kudhani ni uislam
taratibu za Kuoa - Kuvaa kanzu huku kiunoni kuna jambia la vitani kudhani ndio uislam.
Vyakula - kikiwa kina asili ya uarabuni mfano biriani kitapewa heshima zaidi kuliko pilau
lugha - Kusoma quran kwa kiarabu hata kama huelewi, kusalimiana kwa kiarabu, n.k.
mtume angekuwa mchina tungevaa kishaolin temple na tungekuwa na vidoti sita au kadhaa kwenye makomwe yetu ?
Twtizo nini?
Wsislam dunia nzima mila yao ni moja tu mila ya Ibrahim AS.
Uwe Mwarsbu ysiwe Mwarabu ni mika hiyo hiyo tu.
Qur'an uwe China, Tanzania, USA, Urusi, Brazil, au kwenu sijuwi wapi? Inasomwa kwa lugha moja tu na haijawahi kubadilika. Muujiza.
Wewe usiye Muislam kinakuuma nini?
Pilipili iko shamba yakuwashiani?
[emoji23][emoji23][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]uarabu una mila na desturi zake na uislam una sheria zake lakini huku kwenye uislam tumekomba mpaka uarabu, nimeuliza swali uislamu ni uarabu?
Majina - yani mpaka jina la ukoo linanyofolewa.
Kutukuza waarabu - kuwa na dhana potofu kwamba waarabu ni ndugu zake Mwenyezi Mungu, kuiita ngozi ya kiarabu ngozi ya mtume, mwarabu akitaka kitu flani ni ngumu kumkatalia, akikosea kitu flani rahisi kumsamehe.
Mavazi - Kudhani kwamba kanzu ni uislam
Dufu - Ngoma hii wengi huipiga hasa kwenye sherehe kudhani ni uislam
taratibu za Kuoa - Kuvaa kanzu huku kiunoni kuna jambia la vitani kudhani ndio uislam.
Vyakula - kikiwa kina asili ya uarabuni mfano biriani kitapewa heshima zaidi kuliko pilau
lugha - Kusoma quran kwa kiarabu hata kama huelewi, kusalimiana kwa kiarabu, n.k.
mtume angekuwa mchina tungevaa kishaolin temple na tungekuwa na vidoti sita au kadhaa kwenye makomwe yetu ?
IsomeQur'an kijana, utaiona raha yake.FICHA UPUMBAVU WEWE.
MWAMEDI AMEISHI MIAKA YA 1500 ILIYOPITA.
IBRAHIMU AMEISHI MIAKA 5000 ILIYOPITA.
UISLAMU UNA MIAKA 1500,
NA ULIANZISHWA NA MOHAMED WAKATI IBRAHIM AMEKUFA MIAKA ZAIDI YA 3500.
Miaka Mingi kabla ya UISLAMU KUANZISHWA NA MWAMEDI
NA HADIJA KUSILIMU.
We hujamuelewa unayemjibuUnarudi kule kule...
Waislam wa wapi kwao kupiga Dufu Ni lazima?
Ukisema lazima/sharti maanake lipo katika misingi ya uislam SI ndio?
Haya sasa wapi dufu Ni lazima kiasi kwamba linatengua ngoma zetu?
Kama kweli mods wanajali heshima na kufunga nyuzi kwa hekima basi huu wa kwako wala usingefika hapa ulipo.Umekosa heshima na kuwa jeuri hata kwa muumba wako.Unasema kuna watu wanaamini waarabu ni ndugu wa Mwenyezi Mungu.! Hakuna haja ya kujadili uarabu na uislamu hapo hapo upigwe marufuku kuandika kufru kama hii.uarabu una mila na desturi zake na uislam una sheria zake lakini huku kwenye uislam tumekomba mpaka uarabu, nimeuliza swali uislamu ni uarabu?
Majina - yani mpaka jina la ukoo linanyofolewa.
Kutukuza waarabu - kuwa na dhana potofu kwamba waarabu ni ndugu zake Mwenyezi Mungu, kuiita ngozi ya kiarabu ngozi ya mtume, mwarabu akitaka kitu flani ni ngumu kumkatalia, akikosea kitu flani rahisi kumsamehe.
Mavazi - Kudhani kwamba kanzu ni uislam
Dufu - Ngoma hii wengi huipiga hasa kwenye sherehe kudhani ni uislam
taratibu za Kuoa - Kuvaa kanzu huku kiunoni kuna jambia la vitani kudhani ndio uislam.
Vyakula - kikiwa kina asili ya uarabuni mfano biriani kitapewa heshima zaidi kuliko pilau
lugha - Kusoma quran kwa kiarabu hata kama huelewi, kusalimiana kwa kiarabu, n.k.
mtume angekuwa mchina tungevaa kishaolin temple na tungekuwa na vidoti sita au kadhaa kwenye makomwe yetu ?
Huenda ilitakiwa nimueleweje mkuu.We hujamuelewa unayemjibu