Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,149
- 6,994
Yesu pia kavyaa kanzuhapa tunazungumzia uislamu na uarabu, mimi sio mkristo na ndio maana wala sitaji habari za wakristo hilo ndio tatizo la sisi waislamu kuna vitu vingine ni vya ukweli lakini tunapindisha. Mwenyezi Mungu ametuumba kwa utashi yaani kutambua vitu na mambo kwa ujumla, tujifunze mda mwengine kuumiza vichwa vyetu hata kama jambo linakuumiza, mimi nimeuliza swali ili tuweze kulifafanua katika mrengo wa imani ya kiislamu lakini nimegundua kuwa baadhi yenu mnapenda sana ligi na dini nyingine na hili ndio tatizo kubwa.