Kwa bahati mbaya mke ameshika ujauzito tena

Usiishi kwa kutizama watu wanasema Nini, kuzaa sio fedheha Mana wako wengi wanatafuta mtoto na wasipate.
Ipokee hii Hali mlee mkeo na mimba, uwe nao karibu sana hasa huyo mtoto mdogo akipewa vyakula Bora ili afya yake isitetereke, anyonyeshwe mpaka afikishe angalau mwaka ndipo mama amuachishe ili mwili utengeneze maziwa mapya ya mtoto wa tumboni.
Mambo ya kawaida usijione hufai au la.
 
Huwezi jua huyo unaemtoa anaweza akawa makamu wa raisi akaja kulamba shavu kama Sa 100 😅 muache chalii aishi man!
 


Ni hatari kwa afya ya mama na mtoto aliyeko tumboni, huyo mama atahitaji lishe ya kumjenga mtoto tumboni na wakati huo huo amnyonyeshe mtoto wa miezi 9!!!, Mwili huo huo mmoja wa mama!!-- kawa punda??!!, si atazaa njiti na mtoto wa miezi 9 si atadhurika kwa utapia mlo??.

Tafakari ndugu.
 
Usitoe ni vyema ukalea watoto ukizingatia huyo n mke wako hakuna maajabu hapo maneno ya wanadamu hayakwepeki wao wataongea tu.
 
Wewe ungetolewa saa hii ungekuwa wapi? Acha aibu huyo ni Mkeo sio? Jiamini wewe ni Mwanaume Lijali.
 
Mkuu usiwe kama yule jamaa wa nimekosa mimi....nimekosa sana........nimekosa mimi!
Hilo goli halali kbisa ni kama kuzaa mapacha.
Jitayarishe matunzo tu.
 
Mstoe hyo mimba, zaeni tuu. Lkn mjifunze kwa kipind kijacho muwe na tahadhar, maana kutenda kosa s kosa kosa n kurudia kosa.

Zaen mtakuja nishukuru baadae.......[emoji1787][emoji1787]
 
Aibu kitu gani bhnaaa, kwan mko tegemezi?? Kuna watu mnawategemea?? S mnajimudu, wacha mambo za ajabu bhnaaaa
 
Tatizo heshima niliyoijenga katika jamii, naheshimika mno, sipo tayari kuikabili aibu hii
Heshima hiyo kwani kuzaa na Mkeo ni dhambi? Wee si ni Mwanaume Lijali!! Na je Mkeo akifa wakati wa kutoa Mimba utasemaje?
 
Acha utoto chief, kila kitu kinatokea kwa sababu alafu imeshatokea wengi na watoto wanakuwa vizuri na afya.
 
Ushauri mbaya kuua ni dhambi huyo mtoto atakua tu


Kuua nini??, kuua mimba au kuua mtu??, kuua mimba kwa kunusuru uhai wa mtu kwa sababu za msingi sio dhambi kwani mtu anayo thamani kubwa kuliko mimba.
 
Acha utoto chief, kila kitu kinatokea kwa sababu alafu imeshatokea wengi na watoto wanakuwa vizuri na afya.


Wewe ndiye uliyeandika utoto, huyo ndugu kaomba ushauri na mimi namshauri kwamba; kama ataona uhai wa huyo mtoto upo hatarini basi njia rahisi ni kutoa hiyo mimba, kutoa mimba kwa sababu za msingi sio dhambi.--- kuna sababu nyingi husan za kiafya zinazopelekea mimba kutolewa na hilo sio dhambi.
 
Hofu yangu siku ingine ukitaka abebe inagoma UTAJUTA
mm kila mwezi nang'ang'ania ikatikie apate mimba lkn hola
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…