Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 9,266
- 7,426
Tatizo lako unaishi kwa kuangalia watu wanaokuzunguka unatakiwa uishi wewe kama wewe, achana na mawazo potofu ya kutoa Mimba kila lakheri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, kwani muhusika wa hio mimba ni nani?. Kwanini hakutumia kinga?? Ona sasa wamekuvunjia heshima!kwa masikitiko makubwa ni mjamzito. Nitaficha wapi sura yangu Mimi? Naheshimika mno inakuwaje wakijua mke wangu mjamzito tena?
Unatolea mfano mimba changa alafu unakuwa mvivu wa kufikiria uhai wakiumbe kilichomo tumboni. Haijalishi njia gani uliyotumia kutoa mimba kuna hatari kama kutokwa damu nyingi kuharibu kizazi.
Kwa hiyo mkuu kama usingekuwa na hofu jamii kukuonaje hii mimba isingekupa tabu kabisa ?Tatizo heshima niliyoijenga katika jamii, naheshimika mno, sipo tayari kuikabili aibu hii
Mkuu huyu mtoa mada hana sababu ya kiafya ya kutoa mimba,na hakuna daktari atamshauri hivyo eti kwa kuhofia mtoto atakosa kunyonya miezi sita iliyobaki ya mtoto wa kwanza.Wewe ndiye unayeshindwa kufikiri deep, hiyo mimba CHANGA thamani ya uhai wake sio sawa na thamani ya uhai wa mtu/mtoto wa miezi 9, huyo mtoto anatakiwa aendelee kunyonga at least for 2yrs ili awe na afya thabiti ya kiakili na kimwili, zama ambapo mimba imeingia ni zama za huyo mtoto kukua sasa utaona hiyo mimba imeingilia zama za malezi ya huyo mtoto, sasa ni uchaguzi wa wazazi kulea mimba sambamba na kulea mtoto, mimba itakapozaliwa mtoto atakuwa na umri wa mwaka na nusu katika umri huo huyo mtoto bado anayo miezi 6 ya kunyonya huku mdogo wake akiwa naye ananyonya--- unaona hiyo complication ??, mtu na nduguye wanakuwa wamepishana mwaka na nusu!!, karibu wote wakikua watakuwa wakihitaji mahitaji ya aina moja---- kwa mtu mwenye kipato wala hakuna shida kubwa lakini kwa wale wenzangu na miye wee wacha tu.
Mimba changa inatoka bila complication hata kwa kunywa maji ya majani ya mpapai na kutoa mimba kwa sababu za kiafya kunusuru maisha ya MTU sio kosa na siku zote inafanyika kote duniani.
Alafu hao watu anaowahofia hawana habari na yeye kabisa wapo na mambo yao,ila tu wanavyorespond salamu zake basi anaona anaheshimiiiiikaa kumbe watu wanamchukulia kawaida tu kama majirani wengineTatizo lako unaishi kwa kuangalia watu wanaokuzunguka unatakiwa uishi wewe kama wewe, achana na mawazo potofu ya kutoa Mimba kila lakheri.
Kujaza dunia si aibu Mkuu, tena ni mke kabisa zaeni tu msiitoe. Maneno ya watu tupilieni mbali yapuuzeni.Tatizo heshima niliyoijenga katika jamii, naheshimika mno, sipo tayari kuikabili aibu hii
Mkuu, unaishi ili kuwaridhisha watu? Ishi maisha yako mkuu huyo ni mkeo kwa nini unakuwa na wasi wasi?I'm too weary, yaani tuna mtoto wa miezi karibia 9 sasa, ila mke wangu jana kapima ujauzito baada ya kuhisi uchovu, kwa masikitiko makubwa ni mjamzito. Nitaficha wapi sura yangu Mimi? Naheshimika mno inakuwaje wakijua mke wangu mjamzito tena?
Yaani nionekane primitive Mimi? Nafikiria nimuambie tutoe ila navuta muda, mke wangu ndio chanzo cha yote, ananipa show huku mzunguko kausahau, na mimi siku reason!
Nafikiria nimuambie akaitoe, naombeni mawazo yenu Wanajamvi!! Ndo nadhalilika hivyo
I'm too weary, yaani tuna mtoto wa miezi karibia 9 sasa, ila mke wangu jana kapima ujauzito baada ya kuhisi uchovu, kwa masikitiko makubwa ni mjamzito. Nitaficha wapi sura yangu Mimi? Naheshimika mno inakuwaje wakijua mke wangu mjamzito tena?
Yaani nionekane primitive Mimi? Nafikiria nimuambie tutoe ila navuta muda, mke wangu ndio chanzo cha yote, ananipa show huku mzunguko kausahau, na mimi siku reason!
Nafikiria nimuambie akaitoe, naombeni mawazo yenu Wanajamvi!! Ndo nadhalilika hivyo
Achana na hizi nadharia ulizo karirishwa ndio chanzo cha uwoga wako. Unaambiwa imeshatokea wengi na watoto wanakuwa vizuri na afya tele au hausomi comments na shuhuda za wajumbeWewe ndiye unayeshindwa kufikiri deep, hiyo mimba CHANGA thamani ya uhai wake sio sawa na thamani ya uhai wa mtu/mtoto wa miezi 9, huyo mtoto anatakiwa aendelee kunyonga at least for 2yrs ili awe na afya thabiti ya kiakili na kimwili, zama ambapo mimba imeingia ni zama za huyo mtoto kukua sasa utaona hiyo mimba imeingilia zama za malezi ya huyo mtoto, sasa ni uchaguzi wa wazazi kulea mimba sambamba na kulea mtoto, mimba itakapozaliwa mtoto atakuwa na umri wa mwaka na nusu katika umri huo huyo mtoto bado anayo miezi 6 ya kunyonya huku mdogo wake akiwa naye ananyonya--- unaona hiyo complication ??, mtu na nduguye wanakuwa wamepishana mwaka na nusu!!, karibu wote wakikua watakuwa wakihitaji mahitaji ya aina moja---- kwa mtu mwenye kipato wala hakuna shida kubwa lakini kwa wale wenzangu na miye wee wacha tu.
Mimba changa inatoka bila complication hata kwa kunywa maji ya majani ya mpapai na kutoa mimba kwa sababu za kiafya kunusuru maisha ya MTU sio kosa na siku zote inafanyika kote duniani.
Achana na hizi nadharia ulizo karirishwa ndio chanzo cha uwoga wako. Unaambiwa imeshatokea wengi na watoto wanakuwa vizuri na afya tele au hausomi comments na shuhuda za wajumbe
Mimi mwenyewe mama alipata ujauzito kwa kutokupanga ndio nikazaliwa mimi. Dada yangu kanizidi miezi 10 tu ingekua kizazi cha sasa ningekua kwenye chamber siku nyingi wangeni flash.I'm too weary, yaani tuna mtoto wa miezi karibia 9 sasa, ila mke wangu jana kapima ujauzito baada ya kuhisi uchovu, kwa masikitiko makubwa ni mjamzito. Nitaficha wapi sura yangu Mimi? Naheshimika mno inakuwaje wakijua mke wangu mjamzito tena?
Yaani nionekane primitive Mimi? Nafikiria nimuambie tutoe ila navuta muda, mke wangu ndio chanzo cha yote, ananipa show huku mzunguko kausahau, na mimi siku reason!
Nafikiria nimuambie akaitoe, naombeni mawazo yenu Wanajamvi!! Ndo nadhalilika hivyo
Hivi kutoa mimba si ni sawa na kuua Sasa mtu anayejiita anaheshimika anafikiria kuua damu yake!!
Du!? Kweli maarifa ya mwanadamu ni muonekano wa nje na si rohoni!!!