Kwa bahati mbaya mke ameshika ujauzito tena

Tatizo lako unaishi kwa kuangalia watu wanaokuzunguka unatakiwa uishi wewe kama wewe, achana na mawazo potofu ya kutoa Mimba kila lakheri.
 
kwa masikitiko makubwa ni mjamzito. Nitaficha wapi sura yangu Mimi? Naheshimika mno inakuwaje wakijua mke wangu mjamzito tena?
Mkuu, kwani muhusika wa hio mimba ni nani?. Kwanini hakutumia kinga?? Ona sasa wamekuvunjia heshima!
🤣 🤣🤣
 
Unatoa mimba na unaetaka kumnusuru nae ànakufa,YA MUNGU NI MENGI
 
Unatolea mfano mimba changa alafu unakuwa mvivu wa kufikiria uhai wakiumbe kilichomo tumboni. Haijalishi njia gani uliyotumia kutoa mimba kuna hatari kama kutokwa damu nyingi kuharibu kizazi.

Wewe ndiye unayeshindwa kufikiri deep, hiyo mimba CHANGA thamani ya uhai wake sio sawa na thamani ya uhai wa mtu/mtoto wa miezi 9, huyo mtoto anatakiwa aendelee kunyonga at least for 2yrs ili awe na afya thabiti ya kiakili na kimwili, zama ambapo mimba imeingia ni zama za huyo mtoto kukua sasa utaona hiyo mimba imeingilia zama za malezi ya huyo mtoto, sasa ni uchaguzi wa wazazi kulea mimba sambamba na kulea mtoto, mimba itakapozaliwa mtoto atakuwa na umri wa mwaka na nusu katika umri huo huyo mtoto bado anayo miezi 6 ya kunyonya huku mdogo wake akiwa naye ananyonya--- unaona hiyo complication ??, mtu na nduguye wanakuwa wamepishana mwaka na nusu!!, karibu wote wakikua watakuwa wakihitaji mahitaji ya aina moja---- kwa mtu mwenye kipato wala hakuna shida kubwa lakini kwa wale wenzangu na miye wee wacha tu.

Mimba changa inatoka bila complication hata kwa kunywa maji ya majani ya mpapai na kutoa mimba kwa sababu za kiafya kunusuru maisha ya MTU sio kosa na siku zote inafanyika kote duniani.
 
Ahahahahah... umwambie akaitoe kwa sababu ya wewe kuheshimika???
 
Mkuu huyu mtoa mada hana sababu ya kiafya ya kutoa mimba,na hakuna daktari atamshauri hivyo eti kwa kuhofia mtoto atakosa kunyonya miezi sita iliyobaki ya mtoto wa kwanza.

Bado hakuna hoja ya msingi ya mtoa mada kutoa mimba hii,labda angekuwa anaumwa au imethibitoshwa na daktari kuwa akizaa atapata shida,lakini kuhusu shida ya kunyonya bado haina maana kabisa.
 
Tatizo lako unaishi kwa kuangalia watu wanaokuzunguka unatakiwa uishi wewe kama wewe, achana na mawazo potofu ya kutoa Mimba kila lakheri.
Alafu hao watu anaowahofia hawana habari na yeye kabisa wapo na mambo yao,ila tu wanavyorespond salamu zake basi anaona anaheshimiiiiikaa kumbe watu wanamchukulia kawaida tu kama majirani wengine
 
I'm too weary, yaani tuna mtoto wa miezi karibia 9 sasa, ila mke wangu jana kapima ujauzito baada ya kuhisi uchovu, kwa masikitiko makubwa ni mjamzito. Nitaficha wapi sura yangu Mimi? Naheshimika mno inakuwaje wakijua mke wangu mjamzito tena?

Yaani nionekane primitive Mimi? Nafikiria nimuambie tutoe ila navuta muda, mke wangu ndio chanzo cha yote, ananipa show huku mzunguko kausahau, na mimi siku reason!

Nafikiria nimuambie akaitoe, naombeni mawazo yenu Wanajamvi!! Ndo nadhalilika hivyo
Mkuu, unaishi ili kuwaridhisha watu? Ishi maisha yako mkuu huyo ni mkeo kwa nini unakuwa na wasi wasi?

Mimi nina watoto wawili wamepishana mwaka mmoja na miezi nane
Sasa wewe unaokua na wasi wasi wa nini?

Huyo ni mkeo asikupangie mtu kuishi maisha yenu
 
I'm too weary, yaani tuna mtoto wa miezi karibia 9 sasa, ila mke wangu jana kapima ujauzito baada ya kuhisi uchovu, kwa masikitiko makubwa ni mjamzito. Nitaficha wapi sura yangu Mimi? Naheshimika mno inakuwaje wakijua mke wangu mjamzito tena?

Yaani nionekane primitive Mimi? Nafikiria nimuambie tutoe ila navuta muda, mke wangu ndio chanzo cha yote, ananipa show huku mzunguko kausahau, na mimi siku reason!

Nafikiria nimuambie akaitoe, naombeni mawazo yenu Wanajamvi!! Ndo nadhalilika hivyo

Mwache azae mkuu watakua kama mapacha cha msingi mjitahidi malezi na muwe makini next time w
 
Wewe ndiye unayeshindwa kufikiri deep, hiyo mimba CHANGA thamani ya uhai wake sio sawa na thamani ya uhai wa mtu/mtoto wa miezi 9, huyo mtoto anatakiwa aendelee kunyonga at least for 2yrs ili awe na afya thabiti ya kiakili na kimwili, zama ambapo mimba imeingia ni zama za huyo mtoto kukua sasa utaona hiyo mimba imeingilia zama za malezi ya huyo mtoto, sasa ni uchaguzi wa wazazi kulea mimba sambamba na kulea mtoto, mimba itakapozaliwa mtoto atakuwa na umri wa mwaka na nusu katika umri huo huyo mtoto bado anayo miezi 6 ya kunyonya huku mdogo wake akiwa naye ananyonya--- unaona hiyo complication ??, mtu na nduguye wanakuwa wamepishana mwaka na nusu!!, karibu wote wakikua watakuwa wakihitaji mahitaji ya aina moja---- kwa mtu mwenye kipato wala hakuna shida kubwa lakini kwa wale wenzangu na miye wee wacha tu.

Mimba changa inatoka bila complication hata kwa kunywa maji ya majani ya mpapai na kutoa mimba kwa sababu za kiafya kunusuru maisha ya MTU sio kosa na siku zote inafanyika kote duniani.
Achana na hizi nadharia ulizo karirishwa ndio chanzo cha uwoga wako. Unaambiwa imeshatokea wengi na watoto wanakuwa vizuri na afya tele au hausomi comments na shuhuda za wajumbe
 
Hivi kutoa mimba si ni sawa na kuua Sasa mtu anayejiita anaheshimika anafikiria kuua damu yake!!

Du!? Kweli maarifa ya mwanadamu ni muonekano wa nje na si rohoni!!!
 
Wewe ndiye uliyekaririshwa na kukariri, kwani nani kasema mtoto hakui au hatokuwa?!!--- mtoto atakuwa lakini hawezi kupata lishe ya maziwa ya mama kikamilifu kwani "breast milk is the best", au hulijui hilo??, mtoto ili awe na msingi wa afya nzuri ni at least anyonye kwa miaka miwili, mtoto asiponyonya kwa muda huo ni sawa na mgonjwa wa tb akatishe dose, mtoto asiponyonya kwa kipindi hicho hawezi Katika makuzi yake akawa mentally and physically okay, kwa macho utamuona okay lakini kwa undani hatokuwa okay na hili ni tatizo kubwa katika jamii zetu za kiafrika kuzaa bila mpangilio kunakopelekea watoto kukosa lishe bora na hivyo kuathiri mambo mengi kiafya, hata wewe labda umeathirika kiakili bila shaka ulinyonya chini ya miaka miwili na ulipofikisha miezi 4 ukaanza kulishwa mihogo na matembele hapo utapata wapi uwezo wa kufikiri iwapo msingi wa jambo hilo halimo ndani ya mwili wako.
 
I'm too weary, yaani tuna mtoto wa miezi karibia 9 sasa, ila mke wangu jana kapima ujauzito baada ya kuhisi uchovu, kwa masikitiko makubwa ni mjamzito. Nitaficha wapi sura yangu Mimi? Naheshimika mno inakuwaje wakijua mke wangu mjamzito tena?

Yaani nionekane primitive Mimi? Nafikiria nimuambie tutoe ila navuta muda, mke wangu ndio chanzo cha yote, ananipa show huku mzunguko kausahau, na mimi siku reason!

Nafikiria nimuambie akaitoe, naombeni mawazo yenu Wanajamvi!! Ndo nadhalilika hivyo
Mimi mwenyewe mama alipata ujauzito kwa kutokupanga ndio nikazaliwa mimi. Dada yangu kanizidi miezi 10 tu ingekua kizazi cha sasa ningekua kwenye chamber siku nyingi wangeni flash.
Mwache azae kama haikua operesheni
 
Hivi yule mama wa mbeya ambaye mumewe kachinjwa juzi na mwanae atakuwa moyoni analia"NINGEJUA NINGEMSIKILIZA BABA AKO ULIPOINGIA KWA BAHATI MBAYA ALINIAMBIA NITOE NILIKATAA! EJOO UN'NDUME GHWANGUU!!
 
Hivi kutoa mimba si ni sawa na kuua Sasa mtu anayejiita anaheshimika anafikiria kuua damu yake!!

Du!? Kweli maarifa ya mwanadamu ni muonekano wa nje na si rohoni!!!

Ni uongo, kutoa mimba SIO SAWA NA KUUA MTU, kuua ni kutoa uhai wa kiumbe chenye nafsi inayojitegemea, mimba ni kiumbe chenye uhai usiojitegemea, uhai wake unamtegemea mbeba mimba kwa maana hiyo ni mbeba mimba ndiye mwenye mamlaka juu ya mimba, ama mimba ya mtu ni kitu cha thamani kwani sisi sote tulikuwa mimba ndipo tukazaliwa kama watu wenye nafsi zinazojitegemea hapo sasa mtu akituua anakuwa na dhambi ya kuua mtu, mimba zinatolewa kwa sababu za msingi tu vinginevyo kutoa mimba bila sababu ya msingi ni uhalifu lakini sio uhalifu kama kuua mtu.

Mimba sio sawa na mtu kamili.
 
Naona ww hutak ushauri unataka kutoa tu, ila kumbuka 2-1 =1 ila 1-1=0
ukielewa fanya maamuzi sahihi..
 
Back
Top Bottom