Kwa bajeti ya 10M - 12M naweza kupata gari gani used kutoka Japan?

Wakati huo huo gari iwe offroader, ile mafuta 10-15 km/l, ibebe watu 6 na bei iwe nafuu..

Jamaa atulize kichwa anunue noah mkononi kwa 12M atapa nzuri tu!!
Mkuu kumbuka unaongea na mtu ambaye hana uzoefu na magari, ndio kwanza nataka nitoe nuksi.

Siyo muda wote nitakuwa nazunguka na watu 6 kwenye gari, muda mwingi nitakuwa na wanafunzi 2 tu asubuhi, mwingine mdogo bado hajaanza shule. Mchana mama yao atakuwa anawafuata. Watu 6 tukiwa tunaenda kanisani tu umbali wa Km 1.5 hadi 2 rafu road.

Noah huwa naziona kama gari za biashara, siyo gari za kufanyia mizunguko kama niliyoitaja kwenye bandiko langu. Sijajua hizo Noah new model kama zipo vizuri huwa nazipenda zilivyo kwa nje.
 
Hizo Noah new shape hamna gari mule mkuu wala usijitamanishe.
Bora hizo old kama alivyokushauri mkuu hapo juu.
Ukipata Sr40 unaweza kutumia hata private na inapendeza pia.
 
Sawa mkuu, wewe ndiye utakae tumia gari so pambana tu uchukue utakayoridhika nayo..

Noah new model sikushauri kabisa!
 
Ingia kwenye website ya TRA, tafuta calculator ya magari yaliyotumika. Ukiingiza taarifa za gari, mwisho uta click 'calculate'. Zipo nyuzi kadhaa humu ambazo tushaelekeza jinsi ya kuingiza hizo details za gari.
Safi, pia angalia kama utapendezwa na Toyota Ractis. Nimepitia moja leo Beforward ya 2005 na ushuru wake, gharama ni around 11.5mil. Gharama za bandari mara nyingi hufahamika gari inapofika Dar. Ila kwa magari madogo huwa hazizidi 1mil.
 
Mkuu hizi Honda crossroad nimezipenda muundo wake ila wanasema spea zake zinasumbua na bei zake zimechangamka kidogo. Huku mkoani hazipo nyingi sana. Nimeona zipo za cc 1790 na 1990 na 2000
 
Kwa mahesabu ya nauli ya watu 6 ni bora kutumia private tu,mana umbali huo nauli ya mtu mmoja si chini ya elfu 50,plus vurug za wapiga debe,daladala na mambo kibaoooo,private ni bora asilimia 100.
Nauli ni 80,000 @ 1 x 5 x 2 =800,000. Hapo bado chakula na mambo mengine.
 
Baada ya kufuatilia baadhi ya magari waliyopendekeza wadau mbalimbali nimekutana na gari aina ya HONDA CROSSROAD, CC 1790, 7 seaters, ya mwaka 2007. Naomba ushauri wenu juu ya upatikanaji wa spea parts kwa hapa Dar na maeneo mengine na uimara wake.
 
Baada ya kufuatilia baadhi ya magari waliyopendekeza wadau mbalimbali nimekutana na gari aina ya HONDA CROSSROAD, CC 1790, 7 seaters, ya mwaka 2007. Naomba ushauri wenu juu ya upatikanaji wa spea parts kwa hapa Dar na maeneo mengine na uimara wake.

Kuna nyuzi humu tushazungzia sana kuhusu crossroads

Gari nzuri lkn chache.spare lazima ziwe expensive
Otherwise go for it,haiwezi kukushinda
 
Ndio mkuu unapata. Utakapokuwa tayari njoo Pm coz ndio mambo yangu hayo boss.
Kwa ushauri zaidi.
Alphard pasua kichwa mkuu... pia iko chini sana.. jamaa safari zake nyingi ni off road. Mshauri gari ngumu
 
Hizo Noah new shape hamna gari mule mkuu wala usijitamanishe.
Bora hizo old kama alivyokushauri mkuu hapo juu.
Ukipata Sr40 unaweza kutumia hata private na inapendeza pia.
Zina shida gani? Naziona zipo vizuri, haswa kama ni private. Unless uitumie kibiashara
 
Shem Nina Maoni tofaut kidogo na wengine hvyo km itakupendeza waweza kufuata.
Nashaur uchukuwe Used hapa hapa Bongo gar aina ya Mitsubish Outlander.
Itakufaa sana kwakuwa ni 7seat, Cormfortable, Stability, na Spear zake naona sikuhz zipo nying tuh Madukan ila bei kidogo imechangamka.

Halafu siyo Unamiliki gar ambayo ni Uniform kila sehem ukipita unazikuta.
km Ist, Spacio, na The like.

Sory Jaman kwa wamiliki wa Gr hizo[emoji1][emoji2][emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…