Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio mkuu unapata. Utakapokuwa tayari njoo Pm coz ndio mambo yangu hayo boss.Hii naweza kupata kwa 12mil mkuu?
Mkuu kumbuka unaongea na mtu ambaye hana uzoefu na magari, ndio kwanza nataka nitoe nuksi.Wakati huo huo gari iwe offroader, ile mafuta 10-15 km/l, ibebe watu 6 na bei iwe nafuu..
Jamaa atulize kichwa anunue noah mkononi kwa 12M atapa nzuri tu!!
Mkuu kumbuka unaongea na mtu ambaye hana uzoefu na magari, ndio kwanza nataka nitoe nuksi.
Siyo muda wote nitakuwa nazunguka na watu 6 kwenye gari, muda mwingi nitakuwa na wanafunzi 2 tu asubuhi, mwingine mdogo bado hajaanza shule. Mchana mama yao atakuwa anawafuata. Watu 6 tukiwa tunaenda kanisani tu umbali wa Km 1.5 hadi 2 rafu road.
Noah huwa naziona kama gari za biashara, siyo gari za kufanyia mizunguko kama niliyoitaja kwenye bandiko langu. Sijajua hizo Noah new model kama zipo vizuri huwa nazipenda zilivyo kwa nje.
Hizo Noah new shape hamna gari mule mkuu wala usijitamanishe.Mkuu kumbuka unaongea na mtu ambaye hana uzoefu na magari, ndio kwanza nataka nitoe nuksi.
Siyo muda wote nitakuwa nazunguka na watu 6 kwenye gari, muda mwingi nitakuwa na wanafunzi 2 tu asubuhi, mwingine mdogo bado hajaanza shule. Mchana mama yao atakuwa anawafuata. Watu 6 tukiwa tunaenda kanisani tu umbali wa Km 1.5 hadi 2 rafu road.
Noah huwa naziona kama gari za biashara, siyo gari za kufanyia mizunguko kama niliyoitaja kwenye bandiko langu. Sijajua hizo Noah new model kama zipo vizuri huwa nazipenda zilivyo kwa nje.
Sindio au ajichange ifike 16 au zaidiWakati huo huo gari iwe offroader, ile mafuta 10-15 km/l, ibebe watu 6 na bei iwe nafuu..
Jamaa atulize kichwa anunue noah mkononi kwa 12M atapa nzuri tu!!
Acha uongo na wewe..premio anapata vzr tuPremio anzia 16
Gari unayowezapata ni spacio kwa kufosi sana, passo,, ist nayo kwa kulenga sana ila uhakika spacio zinatoka hadi 12 kwa kulenga sana
Sawa mkuu, wewe ndiye utakae tumia gari so pambana tu uchukue utakayoridhika nayo..Mkuu kumbuka unaongea na mtu ambaye hana uzoefu na magari, ndio kwanza nataka nitoe nuksi.
Siyo muda wote nitakuwa nazunguka na watu 6 kwenye gari, muda mwingi nitakuwa na wanafunzi 2 tu asubuhi, mwingine mdogo bado hajaanza shule. Mchana mama yao atakuwa anawafuata. Watu 6 tukiwa tunaenda kanisani tu umbali wa Km 1.5 hadi 2 rafu road.
Noah huwa naziona kama gari za biashara, siyo gari za kufanyia mizunguko kama niliyoitaja kwenye bandiko langu. Sijajua hizo Noah new model kama zipo vizuri huwa nazipenda zilivyo kwa nje.
Ingia kwenye website ya TRA, tafuta calculator ya magari yaliyotumika. Ukiingiza taarifa za gari, mwisho uta click 'calculate'. Zipo nyuzi kadhaa humu ambazo tushaelekeza jinsi ya kuingiza hizo details za gari.Nashukuru kwa ushauri mkuu. Ngoja na mimi nitaingia huko Beforward nikaangalie bei zake. Huo ushuru wa 5.2 mil umepataje? Na hizo gharama zingine kama charges za bandari, clearance na service ya kuanzia, naweza kuzipata wapi ili nijipange nikienda niwe najua naenda kulipia tsh ngapi?
Safi, pia angalia kama utapendezwa na Toyota Ractis. Nimepitia moja leo Beforward ya 2005 na ushuru wake, gharama ni around 11.5mil. Gharama za bandari mara nyingi hufahamika gari inapofika Dar. Ila kwa magari madogo huwa hazizidi 1mil.Shukran mkuu! Baada ya kutoka kanisani nimetumia muda mwingi kwenye internet kufanya ka utaafiti kidogo. Nimeingia kwenye website ya TRA na nimefanya calculation ya baadhi ya magari.
Nimegundua kwa bajeti ya 12mil nikiongezea kidogo nitapata gari yenye ubora mzuri. Spacio, Succeed na Raum naweza kupata. Zipo zingine pia kama Karina TI, Premio, Cami, Wish, n.k naweza kupata pia ila ngoja niendelee na utafiti wa hizo 3 za mwanzo kwanza.
Ongeza 1M agiza Carina TI
Huwezi pata 7seater kwa hiyo budget za ya kupigwa
Au uamue kumvua mtu Wish au Sienta thou kwa hayo mazingira zitakutesa.
Ningekuwa mimi ndo wew ningevumilia kidogo nkajichanga ikafika 16 afu nkavuta Honda CrossRoad[emoji119]
Kwa maelezo yako yanaangukia kene iyo Honda basi
Nauli ni 80,000 @ 1 x 5 x 2 =800,000. Hapo bado chakula na mambo mengine.Kwa mahesabu ya nauli ya watu 6 ni bora kutumia private tu,mana umbali huo nauli ya mtu mmoja si chini ya elfu 50,plus vurug za wapiga debe,daladala na mambo kibaoooo,private ni bora asilimia 100.
Baada ya kufuatilia baadhi ya magari waliyopendekeza wadau mbalimbali nimekutana na gari aina ya HONDA CROSSROAD, CC 1790, 7 seaters, ya mwaka 2007. Naomba ushauri wenu juu ya upatikanaji wa spea parts kwa hapa Dar na maeneo mengine na uimara wake.
Alphard pasua kichwa mkuu... pia iko chini sana.. jamaa safari zake nyingi ni off road. Mshauri gari ngumuNdio mkuu unapata. Utakapokuwa tayari njoo Pm coz ndio mambo yangu hayo boss.
Kwa ushauri zaidi.
Huna hurumaVp brevs haiendani na bajeti yake?
Daa [emoji2][emoji2][emoji2]Unataka afe hujaona kaandika anataka gari ya 10 to 15km/lt inamaana huyu ni maskini anataka gari ili avimbe kodogo
kivp mkuu?Huna huruma
Zina shida gani? Naziona zipo vizuri, haswa kama ni private. Unless uitumie kibiasharaHizo Noah new shape hamna gari mule mkuu wala usijitamanishe.
Bora hizo old kama alivyokushauri mkuu hapo juu.
Ukipata Sr40 unaweza kutumia hata private na inapendeza pia.
Shem Nina Maoni tofaut kidogo na wengine hvyo km itakupendeza waweza kufuata.Wakuu habari za asubuhi.
Ni matumaini yangu mmeamka salama siku hii ya pasaka.
Nina mpango wa kununua gari kwa bajeti ya Tshs 10M - 12M. Nipo mkoani na ni mara yangu ya kwanza kumiliki gari. Nina familia ya watu 6 yani wife watoto 3 na house girl.
Matumizi yangu ni kuendea kazini, kuwapeleka watoto shule, kwenda kanisani Jumapili na familia, kwenda mjini kununua mahitaji, na mara moja kwa mwaka kwenda kuwasalimia wazee kijijini.
Kutoka mahali ninapoishi hadi kazini kuna umbali wa 2Km rafu road, kwenda shuleni 3Km (1km rafu, 2Km rami), mjini 4Km (1Km rafu, 3Km rami), kanisani 2Km rafu road na kijijini kwa wazee ni 1150Km, takribani 70 rafu road baada kutoka mkoani.
Naomba ushauri kwa bajeti tajwa hapo juu naweza kupata gari gani inayoendana na matumizi yangu? Nikipata inayotumia mafuta kati ya 10Km - 15km/1Lt inaweza kunifaa.
Natanguliza shukrani za dhati.