Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Mimi umri umesogea huwezi kuniona hapo uwanjani nitatazama mechi kwenye runinga, Stars itashinda kesho Mungu akipenda.Utakuwa chawa wa mama pale uwanjani maana mtabeba mabango mengi ya huyo maza enu.
Mabango ni mengi kuliko hata taa za uwanjani.
Mmehongwa kama chawa kwa kupewa free entrance ili mbebe mabango ya huyo maza.
Hakuna cha bure ndugu chawa.
Tatizo hujajikomboa kifkra umezoa kula PROPAGANDA. Siku ukifunguka akili ndipo utakapojua kuwa hakuna sera zozozte zaidi ya propaganda. Yaani kwa akili yako kweli nchi yenye sera itakuwa hivi baada ya miaka 60 ya Uhuru .... Sera ziko nchi kama Singapore, Qatar, Korea ...!!Wewe mpumbavu wa mwisho, unayewachukulia watu wote kwa uelewa wako finyu. SSH ataungwa mkono na Stars itaungwa mkono kwa nguvu zote.
Huwezi ukawa na akili za kulalamika kwenye kila kinachofanyika, kila kitu kwako ni negativity, that is a stupid mindset.
Unayeongea nae ni mzee wa miaka 50 anaijua sana hii dunia na mambo yake mengi tu. Hauongei na mtoto wa juzi kama unavyodhani.Tatizo hujajikomboa kifkra umezoa kula PROPAGANDA. Siku ukifunguka akili ndipo utakapojua kuwa hakuna sera zozozte zaidi ya propaganda. Yaani kwa akili yako kweli nchi yenye sera itakuwa hivi baada ya miaka 60 ya Uhuru .... Sera ziko nchi kama Singapore, Qatar, Korea ...!!
Wakati wa vita vya Uganda, waganda waliwaunga mkono majeshi ya Tanzania ili kumuondoa Nduli Amin, hakukuwa na uzalendo uchwara Wala Nini. Hapa pia hatuna uzalendo ccm wakishaanza kunajisi mambo ya nchi. Ushindi mnono uende kwa team ya maana ya Morocco.Wewe mpumbavu wa mwisho, unayewachukulia watu wote kwa uelewa wako finyu. SSH ataungwa mkono na Stars itaungwa mkono kwa nguvu zote.
Huwezi ukawa na akili za kulalamika kwenye kila kinachofanyika, kila kitu kwako ni negativity, that is a stupid mindset.
Hilo utajua ww, lakini ccm wakianza kuleta siasa kwenye jambo lisilohitaji siasa tunalipuza. Morocco hoyee.Tutacheza na Morocco na pengine tutashinda kwa mapenzi ya Mungu, nyinyi pingapinga endeleeni na hisia zenu hakuna wa kuwazuia.
Akili hailingani na huo umri ....!!Unayeongea nae ni mzee wa miaka 50 anaijua sana hii dunia na mambo yake mengi tu. Hauongei na mtoto wa juzi kama unavyodhani.
Wewe ndiye mpumbavu mkubwa,SSH hana sera, hizi sera ni za ccm, hii ni serikali ya CCM SIO ya president SSH,na elewa centre of power ipo Lumumba street na sio magogoniMpumbavu wewe, namuunga mkono SSH na sera zake lakini huwezi kuniita chawa, kwangu mimi hilo neno ni tusi.
Kesho nitaishangilia Stars kwa sababu nafsi yangu ipo hivyo sitangulizi siasa kwenye mapenzi ya timu yangu ya taifa.
Taifa Stars oyeee.Hilo utajua ww, lakini ccm wakianza kuleta siasa kwenye jambo lisilohitaji siasa tunalipuza. Morocco hoyee.
Kuishangilia staz ni Kuishangilia CCM, ikiwa wewe ni mfuasi wa siasa za kinafiki za ccm washangilie tu staz😂Mimi umri umesogea huwezi kuniona hapo uwanjani nitatazama mechi kwenye runinga, Stars itashinda kesho Mungu akipenda.
Akili za uchawa ni za kipuuzi, sisi wengine tutamshangilia SSH na serikali yetu na hatupo huko kwenye uchawa.
JPM alikuwa na wale MATAGA kina Kigwangallah, na wao walikuwa ni machawa wa Magufuli?.
Poleni sana mtaishi na machungu mpaka sekunde mtakayokwenda kaburini.Wewe ndiye mpumbavu mkubwa,SSH hana sera, hizi sera ni za ccm, hii ni serikali ya CCM SIO ya president SSH,na elewa centre of power ipo Lumumba street na sio magogoni
Machawa ziiTaifa Stars oyeee.
Mkuu ikikuuma sana hama nchi, CCM imekuwepo tangu 1977 piga hesabu ulikuwa na miaka mingapi na hivi sasa una miaka mingapi.Kuishangilia staz ni Kuishangilia CCM, ikiwa wewe ni mfuasi wa siasa za kinafiki za ccm washangilie tu staz😂
Hebu niambie hayo mabango yanauhusiano gani na staz iwapo hiyo timu sio mali ya ccm?
Jibu ni moja tu CCM imevamia tasnia ya michezo, mwenyekiti wa chama anajinadi kupitia hiyo tasnia ili aonekane ni mchapaka kazi kumbe sivyo hivyo.
Naombea staz wapigwe nyingi kabisa
Hesabu za nini wakati kila kitu kipo wazi.Mkuu ikikuuma sana hama nchi, CCM imekuwepo tangu 1977 piga hesabu ulikuwa na miaka mingapi na hivi sasa una miaka mingapi.
Mpaka sisiemu waache kuvamia uchafuzi ndipo tutashiriki mashindano ya kombe la dunia FIFA WC.Angola walicheza kombe la dunia mwaka 2006 waliweza kwanini na sisi tushindwe kwanini.
Mm hufurahi sana tukifungwa. Na hatutashindaInabidi viongozi wa CCM wajue kuwa Tanzania ni nchi yenye vyama vingi vya siasa, iache kuvamia kila tukio la kitaifa kuwa la CCM.
Kitendo cha kuingiza kampeni za uchaguzi 2025 kwenye kutafuta nafasi ya Kombe la Dunia 2026, sisi tusioiunga mkono CCM tutaanza kufunga na kuomba dua ili tufungwe katika michezo iliyobaki kuanzia kesho, amina.
Mbona ume-reply kwenye comment yangu.?Usijifananishe na Angola ndugu, komaa na staz ya mama muonje shubiri za wa Morocco kisha mfunge domo
Ukweli unasema ni negativity 😂Negativity inakutesa mkuu Mbaga Jr
Kwaninunatakiwa kuwa mwanachama au mpenzi/shabiki wa chama gani, ili kuiunga mkono Taifa Stars? CCM na mwenyekiti wao wanaharibu sana kuingiza siasa kwenye mpira.Nyinyi ni wa chama gani?
Mimi nishaweka mkeka wanguInabidi viongozi wa CCM wajue kuwa Tanzania ni nchi yenye vyama vingi vya siasa, iache kuvamia kila tukio la kitaifa kuwa la CCM.
Kitendo cha kuingiza kampeni za uchaguzi 2025 kwenye kutafuta nafasi ya Kombe la Dunia 2026, sisi tusioiunga mkono CCM tutaanza kufunga na kuomba dua ili tufungwe katika michezo iliyobaki kuanzia kesho, amina.