Mrao keryo
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 1,901
- 2,566
Hawa wajinga kwa sababu ya machungu yao wanataka tuitenge Team yetu pekee tuliyonayo.
Aisee Huwezi kunitenga na Stars hata siku moja.
Mambo mengine waachage yajiendee kiasilia....watakuja kuharibu zaidi hili taifa..... Kuna mwaka sijui ni mwezi ule ilipatwa MBEYA ....wakamshukuru Magufuli Kwa KUPATWA Kwa mwezi Tanzania. ..... Hawa watu Wana matatizo.....Nazungumzia CCM kulea ujinga katika soka.
Mechi ya kesho kufungwa ni 100% huna haja ya kuomba dua baya.Inabidi viongozi wa CCM wajue kuwa Tanzania ni nchi yenye vyama vingi vya siasa, iache kuvamia kila tukio la kitaifa kuwa la CCM.
Kitendo cha kuingiza kampeni za uchaguzi 2025 kwenye kutafuta nafasi ya Kombe la Dunia 2026, sisi tusioiunga mkono CCM tutaanza kufunga na kuomba dua ili tufungwe katika michezo iliyobaki kuanzia kesho, amina.
Jifunzeni kuvumilia mawazo msiyoyapenda. Jifunzeni kupokea changamoto tofauti na upeo wenu.Ni kweli kabisa chawa.
Nenda kwenye hiyo shughuli kwa kutazama lengo la jumla hao wanaokuwa wamevaa T shirt za CCM achana nao utajitafutia hasira zisizo na sababu za msingi.Unajua ndugu yangu kuna mambo mengine yanaleta maudhi,unaweza kuta kuna shughuli fulani ya kiserikali haswa!unakuta watu wamekuja wamevaa kanga,T-shirt na kofia za ccm!what?kama uliona stars ilivyopokelewa kutoka kucheza na Niger ni sawa kweli?
Haikuwa na haja ya kuingiza radha ya kisiasa kwanye Timu ya Taifa. Waliofanya hivo ndio wana akili za kijinga.Akili za kijinga sana za kuendekeza chuki na uhasama zipo Tanzania pekee.
Tujiulize ni kwanini kina Diamond na Kiba ambao ndio nyota wa muziki wetu kwanini wanaishia walipo wakati nyota wa kinigeria wanalipwa dola milioni moja kutumbuiza kwenye shughuli za maana huko duniani.
Mnapokosa upendo ni rahisi sana kubakia pale pale siku zote, mnaishia kuwa na sera za kuangalia ubaya na zile sababu za kuchukiana na kunyoosheana vidole.
Mzungu alitutawala kirahisi sana kwa sababu alikuta sisi wenyewe hatuna umoja wa maana.
Mpira ni mchezo wa mbinu usiogope jina la team unayocheza nayo.Utaumia Bure kama Simba walivyoingia na matokeo Yao.... Hatuna timu ya kumfunga Morroco labda tuzuie tu kama Algeria.....na tushukuru tu Algeria naye alikuwa ameshapita ....Hawa ndio tunaanza nao mbio .... Tutagongeshwa hutoamini....
Ccm iache kutawala nchi hii kwa shuruti maana wao ndio tatizo. Kizazi Cha kuichagua ccm kwa hiari kilishapita. Kwanini mlazimishe kuongoza kizazi kilichowachoka?Akili za kijinga sana za kuendekeza chuki na uhasama zipo Tanzania pekee.
Tujiulize ni kwanini kina Diamond na Kiba ambao ndio nyota wa muziki wetu kwanini wanaishia walipo wakati nyota wa kinigeria wanalipwa dola milioni moja kutumbuiza kwenye shughuli za maana huko duniani.
Mnapokosa upendo ni rahisi sana kubakia pale pale siku zote, mnaishia kuwa na sera za kuangalia ubaya na zile sababu za kuchukiana na kunyoosheana vidole.
Mzungu alitutawala kirahisi sana kwa sababu alikuta sisi wenyewe hatuna umoja wa maana.
Mnaosema CCM imechokwa cha ajabu mnaishia kulialia humu JF, Hamna uwezo wa kuonyesha kwa vitendo namna ilivyochokwa.Ccm iache kutawala nchi hii kwa shuruti maana wao ndio tatizo. Kizazi Cha kuichagua ccm kwa hiari kilishapita. Kwanini mlazimishe kuongoza kizazi kilichowachoka?
Achana na wanachofanya CCM shabikia team yako ya taifa, kwa kuitazama CCM inafanya nini utaishia kujipatia maumivu ya moyo tu.Haikuwa na haja ya kuingiza radha ya kisiasa kwanye Timu ya Taifa. Waliofanya hivo ndio wana akili za kijinga.
Ni kombe la Dunia Hilo sio la Shafii Dauda.....Mpira ni mchezo wa mbinu usiogope jina la team unayocheza nayo.
Hizo story ilikuwa zamani, kwenye chaguzi tunaona kinachoendelea Wala sio Siri tena. Ccm inaigiza kufanya siasa kwa sababu kinapata upendeleo wa Dola kufanya siasa. Lakini uhayawani unaoendelea kwenye chaguzi zetu, haukipi jeuri ccm kuwa inakubalika hivyo. Na kadiri uchaguzi unavyotokea kuheshimiwa, ndio ccm inavyopoteza uwakilishi wake.Mnaosema CCM imechokwa cha ajabu mnaishia kulialia humu JF, Hamna uwezo wa kuonyesha kwa vitendo namna ilivyochokwa.
CCM inafanya siasa halisi na wananchi kila kukicha, nyinyi mnakuja na siasa za hisia zile zilizojaa chuki na maumivu ya mioyo.
Mambo mengine waachage yajiendee kiasilia....watakuja kuharibu zaidi hili taifa..... Kuna mwaka sijui ni mwezi ule ilipatwa MBEYA ....wakamshukuru Magufuli Kwa KUPATWA Kwa mwezi Tanzania. ..... Hawa watu Wana matatizo.....
Uzalendo kwenye taifa la wajingaUache kuishangilia Stars kwa sababu kuna watu wa Samia wanaishangilia, wewe utakuwa mpuuzi wa mwisho kabisa.
Uzalendo wako una bei tena ndogo sana.
MhusikaBtw hiyo dua unaomba kwa nani?
Imeingizwa kwenye uchawaHii ni taifa stars ya Mama