Kwa CV hii ya Dkt. Mashinji simuoni wa kumfikia pale Lumumba, jamaa kapiga shule namtabiria uteuzi wa mapema

Chukua hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana, mtu anaweza kuwa na makaratasi mazuri sana, lakini akawa hawezi kutekeleza mambo in the real world.

Sasa huyo Mashinji kwa level ya ukatibu mkuu wa chama cha siasa cha kitaifa kafanya kitu gani kipya?
Ameweza kuliokoa taifa kwa kiwango ambacho wewe huwezi kukiona bwashee!
 
PhD unalialia nja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CV ya Prof.Palamaganda nayo iko vizuri sana,kuna siku aliambiwa wewe pamoja na kwamba ni mkubwa ila wewe ni mpumbavu akainuka kwenye kiti chake na akainamia kiti cha mh. Huku akicheka cheka kwa furaha.

Baada ya hapo ndipo nilipokuja kuziaminia PH.d/CV za Lumumba.
 
Nafasi ya ukatibu mkuu wa CCM ndiyo nafasi anayofit huyu Dr.Mashiji apewe chance aokoe chama.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo mezani kwa Dr Bashiru kuna rundo la barua za viongozi wa Chadema wanaoomba kujiunga CCM wakiwemo wabunge 17, wewe unataka chama gani kiokolewe hapo?!

Huyu Bashiru ndio ameifuta Chadema kwenye ramani ya Siasa za Tanzania.
 
Unafiki wa wana CCM
Kitochi Original
 
Tatizo liko wapi mbona Mbowe huwa anatulizwa na Job pale bungeni na huketi huku akichekacheka?!

Hayo ni mambo ya kawaida kwenye Siasa bwashee!
 
Ishiii chadema kafanya nini vile pale..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo mezani kwa Dr Bashiru kuna rundo la barua za viongozi wa Chadema wanaoomba kujiunga CCM wakiwemo wabunge 17, wewe unataka chama gani kiokolewe hapo?!

Huyu Bashiru ndio ameifuta Chadema kwenye ramani ya Siasa za Tanzania.
Ewaa, sasa hiyo meza akabidhiwe Dr.Mashiji ndiyo anawajulia vizuri hao walioleta maombi kujiunga na CCM.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ningeweza kukiona ningekuuliza?

Taja kiwango gani tujadili hapa, tuhakiki, isije kuwa unatufunga kamba tupu.
Wewe unajua Mbowe alimtoa wapi Dr Mashinji na kumpa ukatibu mkuu moja kwa moja?

Unajua kwanini ni " sasa" Mbowe amemuachilia Dr Mashinji ajiunge CCM?

Unajua ni kwanini Dr Mashinji wakati anapokelewa CCM ametumia sare za Chadema na CCM?..... Yaani aliingia na Sweta ya mtaa wa Ufipa na kutoka na Shati ya mtaa wa Lumumba?

Usiku mwema bwashee!
 
Hujajibu nilichokuuliza.

Mashinji kafanya kipi kipya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…