Kwa damu ya Yesu Roho yangu nimemkabidhi Yesu Pekee

Hahahahaha..Mkuu sie wengine tukiandika majanga na history zetu utajiuliza nilifikaje hapa au ukahisi ni uongo..maana wengine wanaona ktk movie tu sasa sie tumeyapitia na ku experience..hapa tupo kufurahi mwanzo mwisho
Uko sahihi.
Mimi kuna time najionaga kama Mungu kanipendelea sana maana kuna history za watu nikiziangalia harakat za mapito yao unajiona kabisa wewe nenda kasomee πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuna vitu tunachukulia kawaida sana, may be sijui lakini dunia Haina Huruma na watu Hawana huruma, huyu binti naona Kuna kitu kinatafuna moyo early, lakini wapi apate msaada? Jamiiforum iliyojinasibu kuwa ni home of greater thinker Ina mkejeli na kumwita chizi............. Infinity love will end all
 
Umewaza kama mimi mkuu,, Unique Flower umefunga PM why?
 
Duuh umenikumbusha mbali sana mkuu, mwanzo kilifahamika kama "safari ya msafiri" badae "safari ya mshindi" kila alhamisi nilikuwa siachi kukisikiliza badae sijui ikawaje wakakiondoa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…