Kwa damu ya Yesu Roho yangu nimemkabidhi Yesu Pekee

Umewaza kama mimi mkuu,, Unique Flower umefunga PM why?
Kuna mmama mmoja last year alikuwa anasumbuliwa na nguvu za giza sana, huko alikokuwa anasali walitaka wamuunganishe na hayo madude, aseee acha tu mkuu.

Mama mtu mzima akawa halali, usingizi hauji. Haamini kama alipokuwa akisali ndo yanatokea yote haya. Hali ilikuwa ngumu sana sana kwa mhusika.
 
Duuh 🤔🤔.. So akafanyaje?? Si anaendlea vizuri saizi lakini
 
Kabarikiwe sasa kanisani wakutoe na rinda
 
Mungu akubariki Sana Mungu akutie Nguvu....

Nami nakuombea,
Neema na Baraka za Mungu ziandamane na kuambatana nawe katika majukumu, mahangaiko na kazi zako njema, sasa, daima na milele..Amina..

Kwa Jina La Baba, Mwana na Roho Mtakatifu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…