Kwa dhuluma ambayo Jakaya Kikwete alimfanyia Mzee Lowassa, ataumaliza uzee wake bila amani

Bams siku hizi mada zako hazina kichwa wala miguu.
 
Ujinga kipaji. Kati ya Lowasa na Kikwete, nani aliyezeeka haraka? Chuki zenu kwa JK haziwafikishi popote.
 
hakuna dhulma ambayo jk alimfanyia lowassa,kuhusu urais haikuwa uamuzi wa jk pekee,ni ccm tuache ujinga
 


Huo Mfumo unaundwa na hao hao watu.

Hao watu ni matokeo ya jamii, wao na wanaowongoza ni pipa na mfuniko.

Sasa hapo Mfumo tutaubadirisha vipi ikiwa kansa imesambaa kiasi hiki?!

Na sasa tuko kwenye era ya Siasa za kulambana miguu. Kazi ipo.
 
Kifo cha huyu mzee itakua fraha ya watanzania wengi
 
Huo Mfumo unaundwa na hao hao watu.

Hao watu ni matokeo ya jamii, wao na wanaowongoza ni pipa na mfuniko.

Sasa hapo Mfumo tutaubadirisha vipi ikiwa kansa imesambaa kiasi hiki?!

Na sasa tuko kwenye era ya Siasa za kulambana miguu. Kazi ipo.
Mfumo unabadilishwa kwa uwazi, sheria, teknolojia, ushirikishwaji wa umma.

Mpaka leo bungeni mambo yanapitishwa kwa kura za sauti. Kura mbunge anapiga bila kuogopa personal responsibility.

Ilitakiwa kura zote muhimu zirekodiwe kwa majina mbunge gani kapiga kura ku support mkataba wa Dubai kuchukua bandari, halafu wananchi wanaopinga jambo hilo wote wawajue wabunge kwa majina nani kapiga kura vipi, wawabane. Sasa hivi tunasema tu "bunge limeridhia" lakini hakuna personal accountability kwa mbunge mmoja mmoja.

Sanasana tutasema tu Halima Mdee alipinga.

Sasa, ukiweka mfumo wenye uwazi zaidi, hata mbunge anayetakankupigabkura ya kijinga lazima atajiuliza mara mbili, maana anajua atabanwa kwa ushahidi mkubwa.

Hao watu unaowasema ni pipa na mfuniko, inabidi wenye nia nzuri na elimu bora wa speak up zaidi, wapo, tatizo wajinga wenye hila wanapewa promo kuliko wenye akili na nia nzuri.
 
Bado nasoma toka J3 naitafuta dhulma aliyofanya JK Kwa swaiba wake bado sijaisoma popote pale, zaidi zaidi ninachoona ni watu kutaka EL apewe Urais kwa minajili ya uswaiba na malipo ya fadhila.

Kuna watu wanasema eti alimdhulumu kwa kukata jina lake kamati kuu mara oooh tume ya uchaguzi hata baada ya EL kwenda CDM.

Kwa tafsiri yao maana yake huyu JK ana miguvu kuliko mfumo na mtu yeyote nchi hii, ina maana hata nguvu na ushawishi tulioambiwa EL alikuwa nao hakuwa nao.
1995 JKN alilikata jina la EL mapema Sana na JK baada ya kushinda pia allimkata lakini hatukusikia mtu akimlaumu JKN alimdhulumu JK baadala yake tulimpigia makofi JKN.
2005 BWM hakumpenda JK na chaguo lake na wazee alikuwa ni SAS lakini baadala yake BWM na Wazee nguvu ya JK iliwatisha wakaogopa kumchinja JK.
2015 JK allimkata EL Kwa tafsiri yake hakuiogopa nguvu ya EL.
 
Wote hao walikataliwa na JKN kitambo sana !
EL aliambiwa ananuka utajiri maana yake ilivyotafsiriwa ni kwamba akikaa pale juu atajilimbikizia mali kupita maelezo !
JK aliambiwa bado mdogo, maana yake ilivyotafsiriwa ni kwamba alimuona ni mtu mwenye kupenda anasa anasa !
Kila mtu aliona nini kilichotokea baada ya hao Waheshimiwa kushika nyadhifa za juu kabisa Nchini ambazo JKN aliona two boys Men hawastahili kuwepo pale juu !
 
haya mashambulizi yote yalipaswa ayapate rostamu huyo ndo devil namba 1 tanzagiza sema kama kawaida anatuma niggas mbele wauwane wao kwa wao, yeye anachekelea tu benki na sasa hivi yuko vatikani au sijui norwayi kwa gharama zetu ofcourse …
Punguza roho ya chuki, unajuaje kuwa ni gharama zako zilizompeleka huko aliko hivi sasa?.
 

ENL Kama mtanzania wengine ni haki yake kuwa rais,Kama kuna namna JMK alisaidiwa na ENL akaukwaa urais na alilpewa Nguvu na mwenzake basi alipaswa kulipa Fadhira kam nature ya urafiki ilivyo. pokea na baadae utoe.

Kama alimfanyia Figisu pia mwenzake badala ya kumpa mkono alikosea sana.

Mtasema hii nchi ingemalizwa na ENL vipi kama angeiimalisha?
 
Jambo la Msingi ni kumuombea heri marehemu, lakini hizi ngonjera za uaminifu, sijui usafi, upendo nk nk ni yeye tu ndiye aliujua ukweli wake.

Urais ni haki ya Mtanzania yeyote mwenye sifa na hakuwa na hakimiliki ya nafasi hiyo, hivyo kukosa kwake ni sawa na wale wengine walioukosa.
 
The rule of thumb; don't quote your own statements - PLO Lumumba.
 
Kwamba 2008 ulikuwa mdogo sana?
 
Sasa Kiranga, umemsema Lowasa sana ktk ujenzi wa hoja zako na Bams kuhusu kwanini Lowasa alijiuzuru na kumuachia matatizo rafiki yake Kikwete.

Hapa na wewe unasema umepiga kura uchaguzi wa kwanza tu na kutokomea ughainuni. Huoni na wewe umetuachia matatizo ya nchi tuhangaike nayo wenyewe halafu unakuja kutusimanga sisi tuliowachagua hawa viongozi.

Huoni unafanya kama Lowasa. Ama labda utuambie sababu ya kwenda ughainuni haikusababishwa na siasa na maisha mabovu ya hapa nyumbani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…