Kwa dhuluma ambayo Jakaya Kikwete alimfanyia Mzee Lowassa, ataumaliza uzee wake bila amani

Yesu Kristo ktk agano jipya neno "mnafiki" ametulitumia kama mara 13 tena kuwalaani wanafiki (hasa mafarisayo)
Ukija ktk CCM viongozi wengi kule ni wanafiki wa kupindukia, hadi vijana wadogo kule ccm wamekuwa wanafiki kama baba zao!
Mnafiki pepo yake ni jehenam na sio pengine
 
Ila we jamaa ni mpumbavu sana. Hufai hata kujibiwa na mpumbavu mwenzio
 
Kuna tofauti kubwa sana kati yangu na Lowassa.

Mimi raia tu. Lowassa kaongoza nchi, kawa mbunge, waziri, waziri mkuu, mpaka kagombea urais.

Kweli unataka kutulinganisha na kutufanya sawa?
 
Inasemekana mipango ilikuwa fresh tu na wanamtandao, sema katika mipango yao ilikuwa baada ya JK kupata urais Sita ndiyo atakuwa waziri mkuu na Lowasa yeye atakuja kuwa rais awamu ikifika, shida ilianzia pale baada ya JK kuwa rais wakina rost walimweleza lowasa anatakiwa awe waziri mkuu ili kujijenga zaidi kwahiyo sita akatoswa na kupewa uspika.

Kwahiyo sita ndiyo maana alishikilia debe sana ile ishu ya Richmond pale bungeni I think Jk alikuwa nyuma ya hiyo ishu vile lowasa alisema kamati iliundwa na iliweza kwenda kila mahali hadi kule USA, lakini hiyo kamati haikumuhoji Lowasa, ndiyo maana alisema tatizo ni ule uwaziri mkuu,.
 
"Kuna kipindi rais wa Zimbabwe Robert Mugabe alichoka kuibaiba chaguzi, akasema tuwaachie hawa wapinzani.
Wale watu wa security organs wakamwambia haaachiwi mtu hapa. Sisi tushawapiga na kuwaua sana hawa wapinzani. Wakija kuchukua nchi watatulipizia kisasi.

Wakamwambia wewe Mugabe kaa utulie, sisi tutafanya michezo yetu".

Ndugu Kiranga ,hii umeitoa wapi tafadhali!!!??
 
Mjinga sana wewe ,kwani kama huelewi si ukae kimya??
 
Confidential source. Kigogo wa CCM aliyekuwa katika kamati ya ufundi ya kusaidia kutoa ujuzi wa CCM kubadili matokeo huko Zimbabwe.

Team ya CCM ilihusika sana kupindua mambo, mpaka Mama Tibaijuka alisema mwenyewe jinsi alivyomsaidia Mugabe ku fake data za makazi Zimbabwe wakati wa uchaguzi.

Magazeti yaliandika pia kwamba privately Mugabe alikubali kushindwa uchaguzi na alitaka kuachia urais, lakini kabla ya hapo alikuwa anataka kukaa kikao na wakuu wenzake, na hicho kikao ndicho kilimlazimisha aendelee na urais.

Soma hapa.

 
Hoja yangu ni kuwa Lowassa kamkimbia mwenzake ktk matatizo na wewe umetukimbia kwa sababu ya maisha magumu hapa nyumbani. Labda kama kutokomea kwako ughainuni hakujachagizwa na maisha magumu ya hapa kwetu. Kama ndivyo, basi wewe na Lowasa Nyerere anasema "Nyangariga" wote sawa tu
 
Kama mtu akinisaidia kunipandisha juu kisha baadaye na yeye akataka msaada wangu nimsaidie naye apande huku nilipokuwepo lakini mimi nikaamua kumkaushia na kumpiga biti asije huku juu watu lazima watasema mimi ni mtu mbaya sana. !
Very simple mathematics 🧮 !
 
Watanzania ni wanafiki sana, niulize swali muhimu Kwanini hamumtaji Hayati Benjamin Mkapa kwenye ishu ya 2015?.

Sio watanzania nyie nyie mliosema Mzee Kikwete kikao kimemshinda Hayati Ben akakiteka kwa nguvu na kumweka Hayati Magufuli kipenzi chake?.

Watanzania ni wanafiki na wasahaulifu sana. Mbali ya yote ni wajinga sana. Unaweza ukawapa stori yoyote na wakaibeba kama mazuzu hivi.
 


Roho na moyo imeniuma sana, nashindwa kunena, umeandika kwa uchungu na inaumiza sana, ukweli huu utabaki vizazi na vizazi
 


Na ndio dunia ilipo sasa, watu wa hovyo ndio wanapewa kipaumbele na shida kubwa zaidi ni katika kulindiana maslahi.

Waadilifu Mfumo hauwataki hawatokubali kulinda maslahi ya ubadhirifu na ufisadi.

Sasa kwa nchi yetu watu wengi wameamua kuwa watu wa “hovyo ili mradi yake binafsi yatimie, tutaponea wapi?!

Mapambano bado ni makubwa.
 


Sahihi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…