Kwa dhuluma ambayo Jakaya Kikwete alimfanyia Mzee Lowassa, ataumaliza uzee wake bila amani

Kipi usichokijua wewe ?
 
Kikwete ana miaka zaidi ya 70 hata akifa leo hana cha kupoteza ila baba yako akifa leo ataavha m
 
Issue ya Lowassa kumuachia urais Kikwete 2005, tayari kama marafiki walishakubaliana ifikapo 2015 Kikwete atamuachia Lowassa.

Haya makubaliano tayari yalishakuwepo kabla hata ya kuibuka kashfa ya Richmond, ile ilikuja baadae kama ajali ya kisiasa tu, na ndio maana Lowassa ili kumlinda rafiki yake na ile kashfa akaamua kujiuzulu, akijua fika makubaliano yao ya mwanzo bado yako valid, asijue mwenzake ameshamgeuka.

Hata ile barua ya Lowassa kujiuzulu, wapo waliosema JK alimshauri Lowassa aiandike ili ikimfikia aikatae, lakini kwa mshangao wa Lowassa, JK akakubali Lowassa kujiuzulu, na alifanya hivyo baada ya kuona jina la Lowassa linazidi kuoata nguvu kila uchao ndani ya serikali yake, akaamua kwenda na msemo; never outsmart your master.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
mkuu unamwonea imani Lowasa vp ufisadi wake alioufanya kutajirisha familia yake...hutuonei huruma sisi watanzania!!!
au na wewe family member
 
Ypu do not get my point.

Hapa tunaongelea dhuluma, siyo kumsaidia.

Kikwete alimdhulumu Lowasa haki ya kupigiwa kura na wajumbe, tena wengi waliokuwa wakimtaka awe mgombea kupitia CCM.

Lowasa akaondoka CCM, akagombea kupitia CHADEMA, akashinda katika kupata uwingi wa kura, Kikwete tena akamdhulumu kwa kutumia madaraka yake.
 
Kwahiyo Lowasa ameuawa na kikwete? Toa upumbavu wako
Wewe bwege hujui kuwa maamuzi ya mtu na vitendo vyake vinaweza kufanya maradhi yakamdhoofisha mgonjwa haraka! To me Kikwete ndio alisababisha Lowassa akapata stroke!
Kwavile wewe chawa wa mkwere utatuma na matusi yako hayatabadiri ukweli kuwa Jakaya hana utu na ni JambaziI tu!
 
Kwa nini police walivamia tallying Centre ya kura ya CHADEMA huku wakiruhusu ile ya upande wa pili iliyokuwa chini ya February kuendelea kuchakata matokeo??
 
Unamaanisha JPM alikuwa dhaifu? au lengo ni kutaka kujua Magufuri gang wamesogezeka kwa kiwango gani na Bashite katika mahakama ya jukwaa? Na mdogo wa Kikwete aliyewania nafasi ya urais katika kura za maoni ni nani katika safu kubwa ile (au mtoto wa kambo) mpaka ifikie hatua amuweke dhaifu kwa wote?
 

Hayo mambo ya kuwa Rais kwa kupitia urafiki wao, siyo hoja ya msingi. Hoja ya msingi, ni roho ya dhuluma aliyo nayo Kikwete.

Hata kama tukisema kuwa Lowasa alipojiuzulu ilimkera Kikwete, lakini kwa nini Kikwete aamue kudhulumu haki yake? Alitumia madaraka yake kulikata jina la Lowasa licha ya kwamba wajumbe wengi na wanachama wengi wa CCM walikuwa wakimtaka Lowasa.

Hiyo haitoshi, umemkata jina kwenye chama ambacho wewe ni mwenyekiti wake, ameondoka, amepigiwa kura na wananchi, ameshinda uchaguzi, bado unadhulumu umma wote wa Watanzania kuongozwa na mtu waliyemtaka. Hivi wewe ni mtu wa namna gani? Zanzibar nako akamtumia Jecha kudhulumu haki ya Maalim Seif. Halafu leo, kwa unafiki mkubwa anasema eti marehemu aliendelea kuwa rafiki yake siku zote. Wewe unayaamini hayo?
 
Sina chochote kumlaumu Rais Mstaafu Jakaya Kikwete kuhusu Marehemu Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa.
Vyote vilivyofanyika ndivyo vinatufanya leo hii kuwa huru kutoa maoni.
Tumshukuru Mungu Kwa Maisha ya wote wawili,ingawa mmoja katangulia mbele za haki.
Nina hakika siku Mzee Kikwete naye akiondoka kuna watu watasema tena kama ambavyo leo tunasema.
Mwenyezi Mungu mpumzishe mpendwa wetu mahala pema na uwajaaliwe Viongozi wengine na sisi kwa ujumla tuishi maisha marefu yenye fanaka.
 
Mtu aliyejiuzulu Uwaziri Mkuu kutokana na msukosuko wa kashfa, unajuaje akipata urais na kupata msukosuko wa kashfa hatajiuzulu tena?

Huoni kwamba hili ni jambo jema sana la uwajibikaji kiongozi yeyote hata ikiwa ni Rais kujiuzulu pale inapoonekana ameshindwa kutimiza majukumu yake sawasawa?!

Mbona Mwinyi aliwahi kujiuzulu akiwa waziri halafu akaja kuwa Rais baadaye?
 
Sina chochote kumlaumu Rais Mstaafu Jakaya Kikwete kuhusu Marehemu Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa.
Vyote vilivyofanyika ndivyo vinatufanya leo hii kuwa huru kutoa maoni.
Tumshukuru Mungu Kwa Maisha ya wote wawili,ingawa mmoja katangulia mbele za haki.
Nina hakika siku Mzee Kikwete naye akiondoka kuna watu watasema tena kama ambavyo leo tunasema.
Mwenyezi Mungu mpumzishe mpendwa wetu mahala pema na uwajaaliwe Viongozi wengine na sisi kwa ujumla tuishi maisha marefu yenye fanaka.
 
Sasa hapa mnatoa stories zinazogongana.

Wengine mnasema JK hakutaka Lowassa ajiuzulu ila Lowassa akalazimisha, wengine mnasema JK alimshauri Lowassa aandike barua ya kujiuzulu ili aikatae, ika JK hakuikataa.

Habari hii watu wanaojua ukweli wake wa ndani ni wachache sana na hapa tutabishana kwa speculations tu kuhusu mambo ya details kama hizi.

Kibaya zaidi, viongozi wetu hawaandiki vitabu vya maisha yao, na hao wachache wanaoandika mambo muhimu mengi hawayaandiki.
 
Uzee wao wanaumaliza vizuri tu bila shida yoyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…