let the caged bird sings
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 3,699
- 8,857
Teh teh teh teh teh.. Ila we jamaa kuna wakati unachekesha sana..Sawa, wanachokifanya ni kuwakomoa waarabu ndio lengo la makafiri kwa waislamu. Wenyewe wafanye wanavyotaka lakini watarudi kwenye fuel system
Kwa mfano:, hii comment upo siriazi kweli?.
Kwamba Tech ya magari ya umeme imebuniwa na makafiri ili kuwadhohofisha waja wa Allah, kweli?.
Basi, makafiri wana roho mbaya sana..
Baada ya makafiri kuona waja wa Allah wana ngamia, ili kuwa komoa, makafiri wakavumbua magari.
Baada ya kuona waja wa Allah wana mafuta, makafiri wakatengeneza umeme ili kuwa dhohofisha waja wa Allah.... Lakini makafiri hawakutosheka.. Sasa wametengeneza magari ya umeme ili kuharibu kabisa.
Uko Sawa, kila kichwa kina friikwensi zake.