Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Hapa wote tuko kwa kutegemeana, wao wanatumia mafuta yetu tunayochimba, tena kwa kununua na kutuibia juu. Na sisi tunanunua vya kwao. Ngoma droo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiboko gani wakati wanasayansi wengi wairan wameuawa na Israël tena ndani ya Iran na mtambo wa nuclia wa Iran ulilipuliwa na Israël na Iran haijafanya chuchote zaidi ya kuapaKiboko ya Israel ni Iran. Hatii mguu pale. Period
Hawana mchango wowote katika utengenezaji wa hayo mafuta zaidi ya kuyachimba kwa kwa techolojia ya mzungu, hata hivyo nchi kadhaa zishaanza kuachana na mafuta na sasa wanatumia umemeHapa wote tuko kwa kutegemeana, wao wanatumia mafuta yetu tunayochimba, tena kwa kununua na kutuibia juu. Na sisi tunanunua vya kwao. Ngoma droo.
Iran mwenyewe kichwa kinamuuma kwa Israel.Kiboko ya Israel ni Iran. Hatii mguu pale. Period
Hawana mchango wowote katika utengenezaji wa hayo mafuta zaidi ya kuyachimba kwa kwa techolojia ya mzungu, hata hivyo nchi kadhaa zishaanza kuachana na mafuta na sasa wanatumia umeme
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Mungu hana dini, tafuta taarifa kamili kuhusu chimbuko la dini zote, utashangaa, na utakuwa mshiriki mzuri sana ktk dini uliyonayo na akija mtu kukudanganya utakuwa unacheka tu.Hakika dini ya haki mbele ya Mwenyezi Mungu ni uislamu.
Binadamu wote ni sawa tunatofautiana akili na namna ya kutumia akili ili kujiendeleza, kuita watu makafiri ni kujizolea laana za bure na ni kwa sababu tunadangaywa kwa vitu hata tusivyovijua, Waarabu ndio wanaongoza kwa kuchukia na kuwaua watu weusi duniani, lakini hao wanaoitwa makafiri ndio wametumia akili zao kuendeleza dunia mpaka hapa ilipofikia. tukatea kudanganywa kwa maslahi ya watu wengine.Sawa, wanachokifanya ni kuwakomoa waarabu ndio lengo la makafiri kwa waislamu. Wenyewe wafanye wanavyotaka lakini watarudi kwenye fuel system
EL alisema mara tatu Elimu, Elimu, Elimu alikuwa na maana Pana Sana watu hawakuielewaSasa inakuaje baadhi ya sisi Wakristo tunawababaikia na kuwaita taifa teule
Kama ni fake atashushaje Moto? Hebu fafanua kidogoChief, Israel itakuja kupigwa na kuharibiwa vibaya.. Sema sio leo ama kesho.. Hii ni kwa mujibu wa bible yenyewe.
Shida waislamu wanapambana kukamilisha unabii ambao wakati wake bado.
Wakati wa Yesu (fake) wa waislamu atakapokuja hapo ndo yatatimia haya.
Na Muslims wanamsubiri huyo jamaa kwa hamu sana..
Huyu Yesu fake ndiye atakae shusha moto kutoka mbinguni.
Binadamu wote ni sawa tunatofautiana akili na namna ya kutumia akili ili kujiendeleza, kuita watu makafiri ni kujizolea laana za bure na ni kwa sababu tunadangaywa kwa vitu hata tusivyovijua, Waarabu ndio wanaongoza kwa kuchukia na kuwaua watu weusi duniani, lakini hao wanaoitwa makafiri ndio wametumia akili zao kuendeleza dunia mpaka hapa ilipofikia. tukatea kudanganywa kwa maslahi ya watu wengine.
Waarabu ndio wanaongoza kwa kuchukia na kuwaua watu weusi duniani
Nenda saudia arabia mji wenu mtakatifu u0ne wanavy0fir@ wafanyakaz wa ndaniStori za kwenye kahawa hizo, ziishie huko huko uliko.,, au unaweza leta uthibitisho hapa.
Wazungu wanauwa black amerika hulioni hilo!!!! Weusi kwa weusi wanauana huko ulaya na marekani hulioni hilo!!! Afrika ndio haswaa mauaji ya kikatili mpaka sasa yanaendelea, ukija huku kwetu albino huwa mnawafanya nini? Yote ili mpate utajiri wa haraka, kuuwa vikongwe, kuchuna watu ngozi!!! Wiki iliyopita abilia alipanda boda ikampeleka mpaka nyumbani kwake, kufika akamwambia wa boda subiri nije, jamaa alisubiri kumbe abilia ni jambazi lilitoka na nyundo akamtwanga la kichwa mshkaji alipoteza maisha pale pale. Yani ukitaka nikutajie matukio nitakuletea hata matukio 100 mnayoyafanya dhidi ya binadamu wenzenu. Haya yote hamuyaoni? ila mmekazania waarabu waarabu. Acheni chuki.
Kiboko ya Israel ni Iran. Hatii mguu pale. Period
Nenda saudia arabia mji wenu mtakatifu u0ne wanavy0fir@ wafanyakaz wa ndani
Stori za kwenye kahawa hizo, ziishie huko huko uliko.,, au unaweza leta uthibitisho hapa.
Wazungu wanauwa black amerika hulioni hilo!!!! Weusi kwa weusi wanauana huko ulaya na marekani hulioni hilo!!! Afrika ndio haswaa mauaji ya kikatili mpaka sasa yanaendelea, ukija huku kwetu albino huwa mnawafanya nini? Yote ili mpate utajiri wa haraka, kuuwa vikongwe, kuchuna watu ngozi!!! Wiki iliyopita abilia alipanda boda ikampeleka mpaka nyumbani kwake, kufika akamwambia wa boda subiri nije, jamaa alisubiri kumbe abilia ni jambazi lilitoka na nyundo akamtwanga la kichwa mshkaji alipoteza maisha pale pale. Yani ukitaka nikutajie matukio nitakuletea hata matukio 100 mnayoyafanya dhidi ya binadamu wenzenu. Haya yote hamuyaoni? ila mmekazania waarabu waarabu. Acheni chuki.
[emoji23][emoji23]
![]()
“Working Like a Robot”
This report documents how the Tanzanian, Omani, and UAE governments fail to protect Tanzanian migrant domestic workers. Oman and the UAE’s kafala – visa-sponsorship – rules tie workers to their employers, and the lack of labor law protections leaves workers exposed to a wide range of abuse. Gaps...www.hrw.org
Hizbullah nao wameanza kufanya yao kutokea Lebanon.Mkuu huko mbali sana, kwani kwa palestina ameweza kushinda vita?? Wamekua wakipambana na palestina kwa takriban miaka sasa, wakitumia silaha za hali ya juu na msaada wa kifedha wa Amerika dhidi ya nchi ambayo haina jeshi, haina silaha wala pesa wala hakuna serikali kuu. Na bado hawajafanikiwa kushinda. Lini watafahamu?! Huwezi kuipiga nchi ambayo inalindwa na ALLAH
Wapii.. Israel anapokea msaada toka marekani kwa kila kitu. Iran anasaidiwa na nani?