SafiiiKwani unaoa mtu wakuka nae kujadili mambo ya dunia, kama ndo hivo tafuta mwanaumme mwenzio tena msomi wa PhD wapo wengi marekani jitangazeni fb utawapata au watakupata.
Kulea watoto haiitaji elimu ya ma vyeti ya shuleHii ni kweli kabisa ..Watu watafute elimu angalau awe smart ili kuwalea watoto vizuri.
[emoji23]Hapo unakuta mtu anasema usioe mwanamke ambae hana hata diploma halaf unakuta ye mwenyewe ni form 4 na alifeli..dah[emoji28]
Sawa ila elimu ni lazima hata imani zetu zinasisitiza so elimu ni faradhi .Kulea watoto haiitaji elimu ya ma vyeti ya shule
NdioKwahyo bado kuna watu wanataka magolikipa?
Ungekuwa Afghanistan kitanzi kingekuhusu.Hii ni kweli kabisa ..Watu watafute elimu angalau awe smart ili kuwalea watoto vizuri.
kulea tu watoto wako ni mchango tosha sana na kukufanya wewe kuishi kwa amani ni mchango mkubwa sana kwenye maisha yako mana ili uweze kufanikiwa unahitaji nyumba yenye amani tu inatosha.