Kwa Habari Kama hizi, Tafadhali sana Tanzania Daima Mtuombe Radhi Wananchi

Acheni wivu basi wakuu! Trump amemsifia sana Magu tena hadharani kabisa na akathibitisha kabisa hana shida na watanzania wanaoishi Marekani kwa vile wana Rais jembe. Hivi ulimsikiliza Gabriel Zakaria alivyokuwa anatangaza kwa mvemve?
Hahaha
Si nasikia keshasimamishwa nawenzake sita sijui
 
We mbona unamshobokea sana mwanaume mwenzio au we ni shoga?!! Halafu kubwa zima jitu una zaidi ya miaka 56 halafu unajiita uvccm ka senge vile!!! Le mpumbuz!!! Le big pumbuz!!
Mkuu umempa za uso! Litakuwa siyo riziki hilo wewe jitu limezeeka halina hata watoto? Aibuuuuuuuuuuu!! Eti linajidanganya kwamba life begins at 60s!
 
Kuweka kumbukumbu sawa, si nasikia hiyo habari ya miezi miwili ilinakiliwa kutoka kwa kiongozi mwenzake kupitia radio iliyotaka kujua kama angelihudhuria sherehe za siku ya wamama!?
Asante sana Mkuu,
VP unajua chochote kuhusu TBC, Trump na Mkuu wetu?[emoji1]
 
Kumbe inaruhusiwa kutumia vyeti vya wengine kusomea na kufanyia kazi ?? Yote heriii! Ameweka standard ingine ya kuifuata!! Waende mahakamani wakadai kurudishwa kazini
 
Unategemea nini Mmiliki Ni ZERO
Gazeti liweje!!
Mtalaumu bure
 
Mwanaidi Kamese yuko tayari kutoa ushahidi, anamfahamu Daudi Bashite aliyefeli darasa la nne Shule ya Msingi Kolomije na kwenda kuendelea na darasa la tano Mwanza.

Pia kuna huyu binti anaitwa Crispina Spirian Mugella Mallanja....hyu ni Dada wa kihaya...alikuwa na uhusiano na Daudi Albert Bashite...huyu naye yupo na yuko tayari kuweka mambo hadharani....usiache mpenzi nyuma....utaumia...ukimuahidi kitu mpenzi wako timiza....wababa msitoe macho....timizeni..(Gwajima)
 
Huyu Le Mutuz naambiwa na mtoto wa Mzee Malecela, ni kweli? Mara nyingi hoja zake huwa shallow sana. Hafanani na mtoto ambaye ungetegemea amekulia na kulelewa kwenye mazingira yanayoendana na mzee Malecela. Picha huonekana ni mtu mzima lakini akiandikacho hufanana na kinachotoka kwa under 20.
 


- Kubali mmekosea na gazeti lenu maana RC leo alikuwa hapo anafungua rasmi barabara iliyochangiwa na wadau wa bandari. poleni sana

le Mutuz
Hivi Le Mutuz Jumanne Malecela ni mtu wa jinsia gani? Ni ngumu sana kumtambua kama ni me au ke!
 
Asante sana Mkuu,
VP unajua chochote kuhusu TBC, Trump na Mkuu wetu?[emoji1]
Hao jamaa waliosimamishwa nawaonea huruma maana hawaajiriki sehemu nyingine, ingelikuwa wametoka kituo kigine kinacho base kwenye competitiveness, innovation and creativity wala hawaangaiki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…