Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama tu hamjiamini kwenye NBC premier league je, mtaweza presha za Klabu bingwa Afrika?Ndio
Tuna safari ndefu sana mkuu.Kama tu hamjiamini kwenye NBC premier league je, mtaweza presha za Klabu bingwa Afrika?
SawaTuna safari ndefu sana mkuu.
Makosa yanayofanywa na CAF giants wanapokutana na underdogs ndio yanafanya tufungue threads hizi.
Ila bado tuko nyuma sana sema tunakujakuja
Ndio goli la kwanza duniani kukataliwa?!! Mambo mengine bnana
Hakuna anayebisha kuwa mpira ulivuka mstari, ila sio goli!!Duniani? Sisi wote tumeona goli limeingia, hatutaki udhulumati
Hamna kitu, madhaifu gani ya Caf??Hapa mkuu tunajadili madhaifu ya CAF na sio simba wala yanga.
Soon nitafungua thread ya madhaifu ya wachezaji wa yanga.
Kwahiyo unamaanisha Engineer nae amebariki mipango ya kuiumiza Yanga?Majuma kadhaa yaliyopita kipindi Engineer Hersi kaalikwa kufanya mahojiano katika kituo cha habari cha al ahly aliuluzwa, ni timu gani zitaingia fainali ya kombe la champions league.
Akajibu ni al ahly versus mamelody sundowns.
Hapo ni kabla hata ya droo ya robo kupangwa.
Nimeanza kuipata picha kamili sasa.
Bila shaka hata droo yenye huenda ilipangwa kabla ya kupangwa.
Lengo ni wazifikishe timu walizotamani zifike fainali.
Ya jana ndo sitaki kuyaongea kabisaaa maana ni aibu.
Kwa mtirirko wa matukio haya kwenye soka la afrika ni dhahiri mvuto unapotea.
Yani Leo umesahau Simba alifungwa goli ambalo clear offside na Orlando nchi iyo iyo na hatua iyo iyo na VAR ipo u wnjani na refa akwenda ata kureview kabisa umesahau dadeki na mwisho Simba akatoka Kwa penatiNyie wa mara nyingi ni lini mliwahi fanyiwa hujuma za waziwazi namna hiyo.
Simba umepata mdogo wake ''mwakalobo Jnr'. Leo kila Mwana Yanga ni mchambuzi CAF ingekuwa Dar wangeivamia 😄😄😄Jana ilikuwa siku ya furaha sana kwangu.....refa katuepusha na mengi sana
Mie nawashauti waweke ' BANGO' kuwa wameibiwa goli 😁😁Mimi naona jumatatu mashabiki wa yanga waandamane kwenda kwa mama kama kawaida yao ili apate kulitazama na hili haiwezekani wananchi wanyonge wananyang'anywa haki yao kwa nguvu.
Tupo mitaa ya msimbazi hapa tunaangalia namna ya kulijenga sanamu la yule refa.......Simba umepata mdogo wake ''mwakalobo Jnr'. Leo kila Mwana Yanga ni mchambuzi CAF ingekuwa Dar wangeivamia 😄😄😄
Weweee. Umepoteza kwako wewe shabiki wa Yanga. Sie wengine mpira bado tunaupenda sana na bado tunauangalia!Sina mengi ya kuandika zaidi ya hayo.