Kwa hasira hizi na maelekezo haya tumekwisha

Huna uwezo wa kuwazuwia wazungu wakitaka kukuvuruga.
 
Wapi Mh.Rais ametamka mahakama, acheni kulialia kamanda.. Lissu yupo salama na kama atakutwa hamna hatia lazma atakua huru
Ila hii ni ajabu sana. Unakasirika watu kuja kusikiliza kesi 😂😂😂😂😂
 
Magufuli aliona mapema kwa huyu msaliti na kumpeleka uhamishoni Ubelgiji,mama akaenda kumfuata eti 4R! Ngoja amnyooshe. Kila alichokifanya magufuli alikuwa sawa,vichaa ndio hawakumuelewa.
Kwani si ni Jiwe ndiye alijiita kichaa. Wewe ukabaki kubinuka na kujiita mnyonge. Sasa ni vichaa gani waliyoshindwa kumuelewa kichaa mwenzao
 
Wacha weee
 
Jamaa walipewa uhuru wa kufanya shughuli za kisiasa wakaona wakipewa uhuru wananchi hawawazingatii kwahiyo wakaamua kumchokoza ili akaze sehemu wapate mada ya kuongea
 
Reactions: Tui
Lissu angeamua kulamba asali ni asubuhi na mapema tena ingekuwa asali yenye sega kabisa. Tumia Neno wengi badala ya wote!
 
Maadam tu hai na hatamu za utawala mkononi,basi hacheki na wowote...mtachezea jando mpaka basi!!..waambieni vizabizabina wa kenya June 2 waje tena,waone mpingo ni mgumu kiasi gani
You again?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…