😆😆😆😆😆Pole sana China hapa wanafanya dampo la kuuzia takataka zao, hawana wanachokupa kama misaada ila kututumia kama soko.Slavery mentality inakusumbua wewe!! Who is EU? Wako wanahangaika na Trump tu kwa sasa labda ungesema China ndio kwa sasa tunategemea sana almost kila kitu kilichopo TZ kinatoka China, hao EU hata wakikata misaada yao tutaishi tu.
Mungu MTAKATIFU. Unataja YESU na kina magu?. Una akili kweli?. Mnuka damu yule unamlinganisha na Yesu?. Hahahaa mtieni ujinga mama alafu ashupaze shingo yake. Maana Ile nafasi wajinga wote wanajitoa kwenye ubinadamu nawajiona ni vimungu. Ndipo hapo wanapokula kitanzi Cha MUNGU.Inawezekana pamoja na kuramba risasi 36 hakwenda kwa Sir God kwasababu Sir God hapendi watu wachafu kama yeye, bali upenda watu wazuri kama Ibrahim,Yakobo, Yosefu, Suleiman, Yesu, Mwl. Nyerere na Mwamba Magufuli kutaja wachache.
Inashangaza sana mtu anamsifu mtu kukemea watu kuja kufanya shughuli halali ila hamkosoi mtu huyo kukaa kimya kwa mambo yanayoendelea ya kuuawa na kupotezwa kwa watu kwa nguvu ileileAnatakiwa asicheke na wanaoua na kuteka watanzania.
Unakasirikia watu wamekuja kusikiliza kesi? Vitu vya kukasirikia vimeisha kabisa au?
kwa east and central Africa ni kweli kabisa,TZ na Botswana ndio zimebakia kutokua na kelele kwingine kote moto unawaka,Lissu atatoka baada ya uchaguzi na wale wakenya ndio maana wamerudishwaMama amekasirika sana
Kwa clip hII, nineogopa sana. Lisu awe macho sana, na wasiwasi wangu unakuja pale ambapo hatuna independent judiciary. MAHAKANA HAZIKO HURU, hawa wanapokea maelekezo, huyu mama ATATOA MAELEKEZO! MAELEKEZO MABAYA
Kesi ya Lisu ni simple sana, lakini kwa maelekezo ya mahakama kutoka kwa mama ni mbaya sana!
We need much more pressure from outside, especially "super powers"
Time will tellMama amekasirika sana

Jiwe yuko wapi leo na kiburi chake kile?Taahira mkubwa, we ndo utaishi milele? si huwa mnataka Mahakama zisiingiliwe? na DPP asiingiliwe? mbona leo mnapiga mayowe na kushinikiza waingiliwe?
Hakuwahi kuchaguliwa ndio maanaKwa heshima, tunakuomba uongoze kwa busara, si kwa hasira. Mipaka ni ya kijiografia, lakini utu hauna mipaka.
Kauli yako: “Walisha haribu kwao, walisha vuruga kwao. Msitoe nafasi kwa watovu wa adabu wa nchi nyingine kuja kutovuruga hapa kwetu” imezua maswali mengi kuhusu heshima, uwiano wa kidiplomasia, na maadili ya uongozi ndani ya Jumuiya ya Afrika Mashariki
Kwa heshima, tafadhali zingatia yafuatayo:
1. Mkataba wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)
2. Lugha ya Kiongozi Mkuu wa Nchi
3. Changamoto za Ndani Hazina Taifa Moja
4. Uongozi kwa Busara na Hekima
Kishashindwa vibaya mnoHawezi kuifunga mdomo afrika mashariki.
Nimefurahishwa sana na hili tamko la Amiri jeshi. Vyombo vya dola vifanye kazi yao.Mama amekasirika sana
Kwa clip hII, nineogopa sana. Lisu awe macho sana, na wasiwasi wangu unakuja pale ambapo hatuna independent judiciary. MAHAKANA HAZIKO HURU, hawa wanapokea maelekezo, huyu mama ATATOA MAELEKEZO! MAELEKEZO MABAYA
Kesi ya Lisu ni simple sana, lakini kwa maelekezo ya mahakama kutoka kwa mama ni mbaya sana!
We need much more pressure from outside, especially "super powers"
Ukijiheshimu hutapungukiwa kitu.Nchi kumkabidhi mwanamke ni tatizo kubwa sana..hawa viumbe wanakuaga na inferiority complex...hawataki kukosolewa ...hawataki kusahihishwa...wao wanapenda kusifiwa tu kwa kila jambo...matokeo yake kila anaekwenda agaisnt anaonekana adui....hatuwezi kua na taifa ambalo wote tunamtazamo mmoja tu
Umepagawa pepo.Taahira mkubwa, we ndo utaishi milele? si huwa mnataka Mahakama zisiingiliwe? na DPP asiingiliwe? mbona leo mnapiga mayowe na kushinikiza waingiliwe?
Mkumbushe mama kuwa.Nimefurahishwa sana na hili tamko la Amiri jeshi. Vyombo vya dola vifanye kazi yao.
SubiriHivyo utapigwa wewe na wengine........lakini kuna watu hawaguswi............wala kunyooshewa vidole........
Walitaka wenyeweWakenya wakija kusikiliza kesi ni kuingilia mambo yetu ya ndani. Wakati wa machafuko ya Kenya JK alifuata nini Kenya kama si kuingilia mambo yao ya ndani?
Proved Yoda johnthebaptist Retired G Sam Salary Slip
kwan wewe utaishi milele even wewe itafika siku futi sita itakuhusuJiwe yuko wapi?