NABII MTARAJIWA
JF-Expert Member
- Sep 11, 2024
- 878
- 1,201
Umewadia wakati wa CCM kupasika! Subirini mtaniambia!That is reality!, wasiokujua cdm wamekufuja, wanataka kukugeuza kama chanzo cha machafuko, hawaijui intelegencia ya uendeshaji wa chama hichi, ambayo haiendani na mihemko, chuki ghadhabu uasi, na machafu yote hatari kwa taifa letu. View attachment 3301437
UmekulaMa CCM yamepanikiii..
Vivaaaa CHADEMAAA
Make it till 3030 pls.PLS ENJOY THE SHOW TILL 2030
BYEBYE, itawalipa sana mkiendela na uhanaharakati kuliko politcsNi sawa, na tumekubali kiroho safi, kuliko kutugeuza urembo wa demokrasia wakati haipo. Tena hiyo 2030 ni karibu sana, fanya hado 2080.
Inatulipa muda mrefu boss, siasa sio kufanywa zuzu.BYEBYE, itawalipa sana mkiendela na uhanaharakati kuliko politcs
Inakuusu nini ,chadema hawalakamiki ,wewe unawashwa nini , mmeachiwa uwanja mweupe bado mnalalamika na chadema , achana na chademaUpumbavu wa Lissu na genge lake.Uharakati umewaponza
WE NEED REFORMS.That is reality!, wasiokujua cdm wamekufuja, wanataka kukugeuza kama chanzo cha machafuko, hawaijui intelegencia ya uendeshaji wa chama hichi, ambayo haiendani na mihemko, chuki ghadhabu uasi, na machafu yote hatari kwa taifa letu. View attachment 3301437
.. nikweli bora msiwe mazuzu till 2030, u will be very healthy politically, na sisi wananchi wa kawaida (non partisan) tutakuwa peaceful in u'r absenceInatulipa muda mrefu boss, siasa sio kufanywa zuzu.
CHADEMA ikifa ccm mnapata hasara gani!?Walipomchagua tundu nilisema kifo cha chadema kimewadia
Haya, nawapa pole waliojiandaa kugombea udiwani na ubunge
Kaka Freeman Mbowe wanao wanakukumbuka haki
Unaniuliza mimi?...waulize CDM....mambo ya political science...kozi zenu za vilaza...What u gonna do? mmepoteza legitimate political space ya kupambana, okay bye bye till 2030
... reforms withn CDM has measerably failed, howa can u embark on sophisticated national wide reforms???WE NEED REFORMS.
2030 umesema ww, sisi tunataka hadi 3070, ili mkae kwa raha zaidi. Hapo vipi?.. nikweli bora msiwe mazuzu till 2030, u will be very healthy politically, na sisi wananchi wa kawaida (non partisan) tutakuwa peaceful in u'r absence
CCM mna shida gani? Nyie ni binadamu, kesho yenu hamuijuhi harafu mnajisikia kana kwamba mambo yameishaThat is reality!, wasiokujua cdm wamekufuja, wanataka kukugeuza kama chanzo cha machafuko, hawaijui intelegencia ya uendeshaji wa chama hichi, ambayo haiendani na mihemko, chuki ghadhabu uasi, na machafu yote hatari kwa taifa letu. View attachment 3301437
CHADEMA wamefanya maamuzi sahihi. Wawaachie CCM wabebe viti vyote bara.
Kama sio ajira muulize Steven Wasira.Nafasi za siasa sio ajira... Hivyo hakuna mwenye umiliki nayo.
Kakiua CHADEMA anarudi kwake Canada huku fursa za wanasiasa wa Chadema akiwa amezizika mazima kwa miaka 5 :Lissu ni mbinafsi sana
Hakuna uchaguzi, we shupaa shingo tu. Katika nchi yenye watu 60 mil waliojiandikisha 45 mil mtakaopiga kura milioni 4. Huo utaita uchaguzi au kichekesho%?! Mana hata ccm wengi tu hawatapiga kura wote!Nchimbi master mind wa mikakati migumu kuliko hata kipindi Cha JPM.
Mwaka huu ni zero chadema, Sasa chama gani hata uchaguzi hakishiriki!
Mpira dak90 hapo siku ya kupiga kura, tuone mziki wake.Mnajipa ukubwa ambao hamna. Vyama 18 vitashiriki chadomo ya braza K pekee haitaishiriki.
Huyo alikimbia NCCR, kama mnamdharau Mbowe huyo angeijenga NCCR... Mbowe ameacha alama katika demokrasia Tz.Waropokaji ni kina Wasira na Makalla. Hata ww