Kwa heri Chadema, sitakuwa siwezi kuwa chawa wa kumsafishia njia Samia

ccm mmemuweza Mbowe sana, mmehakikisha mnaitafuna heshima yake tikitiki.
Hakika ninyi ni mafundi, nimewavulia kofia
 
Ulipojiunga ulikuja kututangazia?😝😝😝😝😝

Tembea mbele
Dadeki
 
Mbowe kapata mwisho mbaya,heshima yake yote kaipoteza, kumbe angefanikiwa siku moja kuwa rais angefia madarakani asingeachia nchi, ahahahaha
 
Yale maandano yalikua geresha tu yalitakiwa yafanyike tanga sku tu baada ya kumzika kibao sio wiki tatu toka tukio amka usingizin ndo maana watu hawakwenda

Naanza kupata mashaka kwanini Mzee Kibao aliuwawa, kwanini hakuna anayepiga kelele tena kuhusu uchunguzi?

Waombolezaji walipotaka kuliamsha wakatulizwa na Mbowe kwa niaba ya serikali. Toka hapo ni ukimya hakuna nia ya dhati kufuatilia uchunguzi.
 
Hiyo aya ya mwisho ni sawa na kusema ni jukumu la mjusi kuzaa mamba
 
Mkuu tuko wengi lakini tusubiri mpaka mtanange huu ufike mwisho, chochote chaweza kutokea...
 
Karibu chauma chana cha wazalendo wa kweli , ukishashiba ndio akili itafanya kazi vizuri. #kataa njaa.
Policcm wamejaa hata huko chini ya mwongozo wa jambazi rostam azizi kuwa vyama vyote viwe ni bosheni ya ccm
 
nazan Mbowe hata akae miaka 100 kama mwenyekiti wa Chadema hiyo haitaathiri vyovyote maisha ya mtanzania au uchumi wa Tanzania ila kumrudisha huyu mtekaj wa watu kutoka ccmu hata kwa miaka 5 bas madhara yake tutayabeba vizaz si chini ya vi 5 , mjinga haez elewa
 
Hiyo aya ya mwisho ni sawa na kusema ni jukumu la mjusi kuzaa mamba
Unadhani hao hakina Nape, Mwigulu, Ndumbaro, Ummy, Bashungwa (na wengineo) wapo hapo kwa bahati tu.

Kuna watu CCM inawatengeneza kushika madaraka makubwa kupitia chama na kuna watu wana-fill spaces tu za nafasi kubwa za chama baadae kwa kupambana wao wenyewe.

CCM inaanda viongozi wake, usidhani unaupata tu huo uwaziri au kila mtu anakwaa tu jimbo. Wakimpeleka mtu waliomuandaa kwa uongozi kugombea kwenye jimbo wengine amshindi hata mfanyeje.

Kitu ambacho najifunza humu, wachangiaji wengi humu hamuijui CCM.

CCM sio ya mzaha-mzaha kabisa, asilimia kubwa ya mawaziri ni watu waliolelewa na CCM (sio wote). Sema sio waropokaji tu wa succession planning zao.

Unadhani CCM wanabahatisha.

Tunapotoa ushauri kwa hawa watoto wenye ID luluki humu. Usitumie nyingine kutukana watu wenye chama wanakusoma unadhani ni kwa ajili yetu au kuwasaidia wao.

What do you take CCM for unadhani wanakichukulia poa chama chao.
 
Wenyeviti wote wa Vyama vya Siasa Nchi hii ni watu wa Serikali, akiwemo huyo Mbowe

Kuna maigizo machache hufanywa ili kuwazubaisha Wananchi ili kuonesha ni wapinzani

Kwahiyo alipo taka kuingia Lissu, ambaye si mmoja wao, imelazimika Dola kumshinikiza Mbowe aendelee

Sio rahisi Serikali kum-control Mbowe wao kuliko Lissu
 
Tundu Lissu ni mtu msomi, jasiri, mpambanaji kiufupi ni mwanaharakati lakini kuna kitu kimepungua kwake na hiki ndio kinamfanya akose sifa ya kuwa kiongozi mkuu, yaani mtu mwenye kuamua hatima ya kundi.....

Uongozi wa kundi au taasisi pamoja na mambo mengine, BUSARA na HEKIMA ni mambo muhimu sana yanayotakiwa kwa kiongozi.
 
Leo unajiokotea point za ubwete kwa raha zako kwa kuwaonjesha CHADEMA dawa yao wenyewe.

Wasiojua watafikiri unaamini hicho ulichoandika kuhusu kuheshimu katiba, kumbe ni anarchist at work!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…