Kwa heri Chadema, sitakuwa siwezi kuwa chawa wa kumsafishia njia Samia

Nilikuwa nawaangalia tu huku nikiwacheka mlipokuwa mnapambana na mambo ya CDM na hata wengine kupoteza maisha, dhambi hii ya watu kufa wakiamini wanapigania haki kupitia chama genuine kumbe nyuma ya pazia ni story nyingine itabebwa na Mbowe na wenzie.

CDM wasn't real na haitokuwa real, Mwenyekiti mliyekuwa mkimuimbia mwamba tuvushe alikuwa anawachora tu na kuchekea chumbani.
Nilibishana na watu juu ya COVID 19 nikawaambia Mbowe anajua mchezo wote na siajabu wanapiga ruzuku na pia kwenye hiyo deal alipiga mpunga mnenne.

CCM elite hawajali gharama kwenye survival na manipulation ili CCM iendelee kuexist.

Watu wengi na vijana wa sasa uwezo wa kufikiri na kuchanganua mambo Kwa macho ya kijasusi bado ni mdogo sana.
 
Mimi ile move ya kutoka Gerezani mpaka Ikulu nilishamvua nyota zote Mchaga huyu.
 
Wanaangaika kupindisha sheria za chama ili Lisu apite njia kitonga. Chama akina ukomo wa nafasi unaweza kuwa kiongozi milele ata akiamua kumsubili mwanae akue ampe chama sawa tu.
 
Lisu akasajili chama chake ichi cha Mbowe na watoto wake watoto wakikuwa wakiwa tayali kuongoza mzee Mbowe atapunzika msiwe na alaka. Aka kama nimimi siku ya maandamano wote walikimbia nikabaki mm na mwanangu tu. Leo Eti aje mtu kutoka Singida afu inaonekana kama kalani wawazungu nimwachie vipi chama. KAKA MBOWE shikilia apo apo tupo nyuma yako Watanzania masikini tusio na pasport za kusafiria !!!! tumeona kongo ile ichi inaporwa na wageni na ndio Congo ilikuwa chini ya Ubelgiji inapigana vita miaka 30 sasa na ni Wakoloni makatili sana wameiba adi meno ya Wakombozi wetu. Mbowe ataki kung,qng,ania Madalaka lkn ikiwa atokei mgombea mwenye Uzalendo ni afadhali aendelee mzee Mbowe Chama Cha Wananchi kiongozi lazima awe na sifa nyingi ikiwemo sifa kuu Uzalendo. Mtu anatembea na pasport mkononi afu tumpe chama.!!!!! Kama yeye ni mwanasheria nguli ndio wakati sasa wakuonesha unguli wake kwa kuanzisha chama kipya. Asitegemee mawazo ya wenzie miaka na miaka walianzisha alakati afu yeye aje leo atuambie ichi sio sawa ichi sawa atutakii kasajili chako. Watu milioni 60 atujawai panda ndege au kuvuka mipaka yoyote.
 
Nyie wadudu wa CCM mnatafuta nini CDM?
 
Nadhani Mbowe anatuona hatuna akili ametufanya kuwa daraja lake
 
Ulisoma wapi broo?
 
Mbowe is a sell out, I wish tungemjua mapema before it was too late. Hivi kwa siasa moderate za Mbowe kuna matumaini kweli kumtoa Samia?

Mimi siwezi msupport tena huyu mzee, nitajiweka mbali na chadema mpaka siku tukikomboa chama kutoka kwa huyu fisadi.
 
Nimeamini CCM Pamoja na Samia wanamogopa saaana Lissu....upinzani umeshindwa kufanya mageuzi kisa huyu kibaraka feki mwamba.
 
Kumbukeni siku ya maandamano mlimuacha pekeyake na chama chake leo hamtaki agombee
 
Huyu bwana Lipumba wa CDM amekuwa "smart" kwa muda mrefu sana, tulichelewa sana kumjua vizuri.
 
Siku Mbowe alipoachiliwa toka jela kwa kesi ya kubunba ya ugaidi, na jioni kuwa Ikulu ndio ilikuwa alama ya hatari ya mwisho ya anguko la Chadema chini ya Mbowe.

Ingekuwa kwa Lissu kutangaza nia ya kuwa Mwenyekiti watu wengi wangekuwa gizani bado, so Lissu hata asiposhinda atakuwa amefanya jambo la maana sana.
 
Mbowe kapata mwisho mbaya,heshima yake yote kaipoteza, kumbe angefanikiwa siku moja kuwa rais angefia madarakani asingeachia nchi, ahahahaha
Tapeli Mbowe upepo umeanika uchi wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…