The unpaid Seller
JF-Expert Member
- Oct 27, 2019
- 2,113
- 6,251
Wanakua ni zamu yao kujificha na zamu ya wanawake kuwalinda kama unavyohubiri humu jf kila kukicha ya kwamba "maisha kusaidiana"Mkuu nakuelewa.
Ila naomba unieleweshe.
Ndege vita ipo angani usiku inarusha mabomu kwenye apartment za Gaza. Ajabu wanaokufa ni wanawake na watoto. Je wanaume huwa wanakuwa wapi muda huo na sio wanajeshi na hawapo vitani?
UNHamas haina Mamlaka kamili kutoka kwa nani mkuu?
Sasa mkuu nyie vianaume vya kutaka "kusaidiwa maisha" na wanamake wewe mwenyewe included na daily unabwatuka hapa kua "maisha kusaidiana" mambo ya 50/50 niambie vita ikitokea unashindwaje kukimbia umuache mwanamke "akusaidie" kupambana na adui. Ebo !!
Sasa nadhani umeanza kunielewa jinsi gani kama ulivyosema "haingii akilini" yes haiingii akilini wala tundu lingine lolote ati mwanaume ajione anamajukumu SAWA na mwanamke. ati una haki ya "kusaidiwa maisha" na mwanamke Ati wote wanatakiwa kufanya 1,2,3 kwa usawa, aise wanaume wa Dar ni kichefuchefu.
Mwanamke ni mlezi wa watoto na familia ili hali mwanaume ni provide, mfariji, mlinzi, mtetezi na kiongozi wa familia. Right kama hao mashosti wanaovaa madera a.k.a kanzu wangelijua hili wangesimama kidete "kulinda na kuwakinga wanawake na watoto"
Wanakua ni zamu yao kujificha na zamu ya wanawake kuwalinda kama unavyohubiri humu jf kila kukicha ya kwamba "maisha kusaidiana"
SERIOUSLY, HIVI UNADHANI KUNA JIBU JINGINE ZAIDI YA KUA WANAUME HUA WANAKUA WAMEJIFICHA ?!
Nyie mapunguani ya akili mlipata faida gani mlipokua mnashangilia uvamizi wa october 7Wakristo mnafurahia mahuaji yanayofanyika huko gaza,hivi nyie mazuzu mnapata faida gani na vifo vya watu na vita?!
Gaza imezidiwa population, hivyo ondoa picha ya huku na kule.
By the way lile Si jeshi la Nchi, ni kikundi.
😀Yale huwa maigizo
Wanakuwa Vitani!!Kwa hiyo wanaume wanakuwa wapi?
Ulichokiandika kinatosha kujua kwamba ni mfuasi wa dini za kuletwa
Sawa.Marekani yule akiguswa au Urusi hizo kanuni sijui visheria gani huwezi kuvisikia vikitumika.
Vita haina sheria mkuu.
Ûkiona unafuata sheria ujue kuna mkubwa au mbabe wako kakupa muongozo na usipofuata unachezea.
Wanakuwa Vitani!!
Ulitaka wawe wanarudi kulala na wake zao?
Hakuna vita ya namna hiyo ndugu😀
Wanakuwa Vitani!!
Ulitaka wawe wanarudi kulala na wake zao?
Hakuna vita ya namna hiyo ndugu😀
Wanakuwa Vitani!!
Ulitaka wawe wanarudi kulala na wake zao?
Hakuna vita ya namna hiyo ndugu😀
kwahyo kwakua wanawake kadhaa wamekuzidi jambo hili au lile inahalalisha wewe kutotimiza majukumu yako unasubiri watimize wao !?Hapohapo kuna wanawake maelfu ambao wanakuzidi uwezo kwa mbali karibu kwenye kila kitu. Kuanzia elimu, IQ, Pesa, Mamlaka, ñguvu,
Kaa utulie kwanza, mambo haya huwezi yaelewa.
Labda kweli mambo ya vita siyajui ila wewe mario unaelilia "kusaidiwa maisha" na mwanamke ndio unayajua.Mambo ya vita huyajui. Subiri wataalamu waje.
Kwa nini unawaogopa wanawake? Naona kama unahofu.kwahyo kwakua wanawake kadhaa wamekuzidi jambo hili au lile inahalalisha wewe kutotimiza majukumu yako unasubiri watimize wao !?
Unataja wanawake wa miaka ya zamani ambao wanaume wenye upeo mdogo kama wako mliwakandamiza kwa sababu ya kutokujiamini. Mnaogopa wanawakePia unajua wanawake hao unaowasifia kunizidi wengi wamerithi tu mali, au mgawanyo wa mali baada ya talaka, alomony nk.
Mario ni mario tu you dropped your brain in the mud when you were running to be aided up by a bitch.
Labda kweli mambo ya vita siyajui ila wewe mario unaelilia "kusaidiwa maisha" na mwanamke ndio unayajua.
Ok ... Mashambulizi ya Israel hayawalengi wakina mama na watoto hasa, Israel inafanya mashambuli zidi ya wanachama wa Hamas na miundombinu Yao.
Kwa jinsi Gaza ilivyo wanamgambo na miundombinu ya Hamasi vipo kwenye makazi ya watu. Kwahiyo majeshi ya Israel yana zingatia zaidi target bila kujali kilichopo. Kwahiyo unavyosikia Israel karusha bomu kwenye makazi na kuua raia ujue eneo Hilo kulikuwa na kitu, kama sio siraha basi ni wanamgambo. Na Kuna muda wanamgambo wanakimbia mashambulizi na kuhamia kanda nyingine, ndio pale utasikia Israel inatangaza watu wahame kutoka kanda Moja na kwenda kanda nyingine.
Sawa ila rejea historia ya HAMAS hiki ni chama cha siasa kama unavyoiyona chadema au ccm vina Red guard na Green guard sasa hawa HAMAS nao wana mgambo wao.wapo ndani ya Parestina lakini hawatambuliki na jeshi la parestina.Sasa uN si Marekani Mkuu.😀
Ndio Gaza yote ni wanaume,Kwa hiyo Gaza yote wanaume ni Hamas?