Kwa hili akili yangu ni nzito. Wakati Wanawake na watoto wa Gaza wanauliwa, wanaume wa Gaza wao huwa wapi? Naomba kujuzwa

Kwa hili akili yangu ni nzito. Wakati Wanawake na watoto wa Gaza wanauliwa, wanaume wa Gaza wao huwa wapi? Naomba kujuzwa

Mkuu nakuelewa.
Ila naomba unieleweshe.

Ndege vita ipo angani usiku inarusha mabomu kwenye apartment za Gaza. Ajabu wanaokufa ni wanawake na watoto. Je wanaume huwa wanakuwa wapi muda huo na sio wanajeshi na hawapo vitani?
Wanakua ni zamu yao kujificha na zamu ya wanawake kuwalinda kama unavyohubiri humu jf kila kukicha ya kwamba "maisha kusaidiana"

SERIOUSLY, HIVI UNADHANI KUNA JIBU JINGINE ZAIDI YA KUA WANAUME HUA WANAKUA WAMEJIFICHA ?!
 
Sasa mkuu nyie vianaume vya kutaka "kusaidiwa maisha" na wanamake wewe mwenyewe included na daily unabwatuka hapa kua "maisha kusaidiana" mambo ya 50/50 niambie vita ikitokea unashindwaje kukimbia umuache mwanamke "akusaidie" kupambana na adui. Ebo !!

Sasa nadhani umeanza kunielewa jinsi gani kama ulivyosema "haingii akilini" yes haiingii akilini wala tundu lingine lolote ati mwanaume ajione anamajukumu SAWA na mwanamke. ati una haki ya "kusaidiwa maisha" na mwanamke Ati wote wanatakiwa kufanya 1,2,3 kwa usawa, aise wanaume wa Dar ni kichefuchefu.

Mwanamke ni mlezi wa watoto na familia ili hali mwanaume ni provide, mfariji, mlinzi, mtetezi na kiongozi wa familia. Right kama hao mashosti wanaovaa madera a.k.a kanzu wangelijua hili wangesimama kidete "kulinda na kuwakinga wanawake na watoto"

Hapohapo kuna wanawake maelfu ambao wanakuzidi uwezo kwa mbali karibu kwenye kila kitu. Kuanzia elimu, IQ, Pesa, Mamlaka, ñguvu,

Kaa utulie kwanza, mambo haya huwezi yaelewa.
 
Wanakua ni zamu yao kujificha na zamu ya wanawake kuwalinda kama unavyohubiri humu jf kila kukicha ya kwamba "maisha kusaidiana"

SERIOUSLY, HIVI UNADHANI KUNA JIBU JINGINE ZAIDI YA KUA WANAUME HUA WANAKUA WAMEJIFICHA ?!

Mambo ya vita huyajui. Subiri wataalamu waje.
 
Hapohapo kuna wanawake maelfu ambao wanakuzidi uwezo kwa mbali karibu kwenye kila kitu. Kuanzia elimu, IQ, Pesa, Mamlaka, ñguvu,

Kaa utulie kwanza, mambo haya huwezi yaelewa.
kwahyo kwakua wanawake kadhaa wamekuzidi jambo hili au lile inahalalisha wewe kutotimiza majukumu yako unasubiri watimize wao !?

Pia unajua wanawake hao unaowasifia kunizidi wengi wamerithi tu mali, au mgawanyo wa mali baada ya talaka, alomony nk.

Mario ni mario tu you dropped your brain in the mud when you were running to be aided up by a bitch.
 
kwahyo kwakua wanawake kadhaa wamekuzidi jambo hili au lile inahalalisha wewe kutotimiza majukumu yako unasubiri watimize wao !?
Kwa nini unawaogopa wanawake? Naona kama unahofu.
Wewe kwaakili yako hiyo ninauhakika ukipewa uwanja sawa na Mwanamke yeyote kwa jambo lolote anaweza kukuzidi.

Pia unajua wanawake hao unaowasifia kunizidi wengi wamerithi tu mali, au mgawanyo wa mali baada ya talaka, alomony nk.
Unataja wanawake wa miaka ya zamani ambao wanaume wenye upeo mdogo kama wako mliwakandamiza kwa sababu ya kutokujiamini. Mnaogopa wanawake

Mario ni mario tu you dropped your brain in the mud when you were running to be aided up by a bitch.

Kwa nini unawaogopa wanawake? Hii inaashiria wamekuzidi uwezo
 
Ok ... Mashambulizi ya Israel hayawalengi wakina mama na watoto hasa, Israel inafanya mashambuli zidi ya wanachama wa Hamas na miundombinu Yao.
Kwa jinsi Gaza ilivyo wanamgambo na miundombinu ya Hamasi vipo kwenye makazi ya watu. Kwahiyo majeshi ya Israel yana zingatia zaidi target bila kujali kilichopo. Kwahiyo unavyosikia Israel karusha bomu kwenye makazi na kuua raia ujue eneo Hilo kulikuwa na kitu, kama sio siraha basi ni wanamgambo. Na Kuna muda wanamgambo wanakimbia mashambulizi na kuhamia kanda nyingine, ndio pale utasikia Israel inatangaza watu wahame kutoka kanda Moja na kwenda kanda nyingine.
 
Labda kweli mambo ya vita siyajui ila wewe mario unaelilia "kusaidiwa maisha" na mwanamke ndio unayajua.

Kwani lengo la Mwanamke kwenye hii dunia ni lipi kama sio kumsaidia mwanaume?

Mkuu embu tulia kidogo. Punguza hofu. Wanawake wasikusumbue akili.
 
Ok ... Mashambulizi ya Israel hayawalengi wakina mama na watoto hasa, Israel inafanya mashambuli zidi ya wanachama wa Hamas na miundombinu Yao.
Kwa jinsi Gaza ilivyo wanamgambo na miundombinu ya Hamasi vipo kwenye makazi ya watu. Kwahiyo majeshi ya Israel yana zingatia zaidi target bila kujali kilichopo. Kwahiyo unavyosikia Israel karusha bomu kwenye makazi na kuua raia ujue eneo Hilo kulikuwa na kitu, kama sio siraha basi ni wanamgambo. Na Kuna muda wanamgambo wanakimbia mashambulizi na kuhamia kanda nyingine, ndio pale utasikia Israel inatangaza watu wahame kutoka kanda Moja na kwenda kanda nyingine.

Sasa Mkuu kinachonishangaza kwenye hiyo miundombinu au makazi yanayoshambuliwa wanaume kwanini hawakutwi na hayo mashambulizi?
 
Sasa uN si Marekani Mkuu.😀
Sawa ila rejea historia ya HAMAS hiki ni chama cha siasa kama unavyoiyona chadema au ccm vina Red guard na Green guard sasa hawa HAMAS nao wana mgambo wao.wapo ndani ya Parestina lakini hawatambuliki na jeshi la parestina.
 
Back
Top Bottom