Vita ya Gaza imegubikwa na propaganda za hali ya juu kwa pande zote.
Vita haina macho, madhara yatokanayo na vita huchukua muda mrefu kuyarekebisha na mengine hayarekebishiki kamwe(vifo).
Ndio maana nchi kubwa zinaogopa mno vita, hupenda maridhiano zaidi kuliko vita. Vita haina macho, risasi haiangalii wala haibagui yeyote inambandua.
Kabla ya kuingia vitani ni khere upime kwanza madhara yake, hamisha wale wasiohusika na hiyo vita, waacheni wanajeshi wenyewe wapambane.
Wanachofanya Hamas sio kitu chema, kushambulia kisha kujichanganya na raia sio sawa kabisa.
Sidhani kama Israel hawadhamilii kuua hao wanawake na watoto na vizazi vyote vya Hamas, nadhani wanatamani mno hiyo fursa.
Mbaya zaidi Hamas wanawapa hiyo access kirahisi kabisa, kwa kukaa pamoja na familia zao huku wakishambulia, Israel nao wanachapa mabomu hapo wakijitetea kua Hamas walijificha hapo, na huenda sometimes sio kweli ila kwakua ni tabia yao, ulimwengu unawaamini Israel!!.