Kwa hili akili yangu ni nzito. Wakati Wanawake na watoto wa Gaza wanauliwa, wanaume wa Gaza wao huwa wapi? Naomba kujuzwa

Kwa hili akili yangu ni nzito. Wakati Wanawake na watoto wa Gaza wanauliwa, wanaume wa Gaza wao huwa wapi? Naomba kujuzwa

Vita ya Gaza imegubikwa na propaganda za hali ya juu kwa pande zote.
Vita haina macho, madhara yatokanayo na vita huchukua muda mrefu kuyarekebisha na mengine hayarekebishiki kamwe(vifo).

Ndio maana nchi kubwa zinaogopa mno vita, hupenda maridhiano zaidi kuliko vita. Vita haina macho, risasi haiangalii wala haibagui yeyote inambandua.
Kabla ya kuingia vitani ni khere upime kwanza madhara yake, hamisha wale wasiohusika na hiyo vita, waacheni wanajeshi wenyewe wapambane.

Wanachofanya Hamas sio kitu chema, kushambulia kisha kujichanganya na raia sio sawa kabisa.
Sidhani kama Israel hawadhamilii kuua hao wanawake na watoto na vizazi vyote vya Hamas, nadhani wanatamani mno hiyo fursa.
Mbaya zaidi Hamas wanawapa hiyo access kirahisi kabisa, kwa kukaa pamoja na familia zao huku wakishambulia, Israel nao wanachapa mabomu hapo wakijitetea kua Hamas walijificha hapo, na huenda sometimes sio kweli ila kwakua ni tabia yao, ulimwengu unawaamini Israel!!.
 
Sasa Mkuu kinachonishangaza kwenye hiyo miundombinu au makazi yanayoshambuliwa wanaume kwanini hawakutwi na hayo mashambulizi?
Yaani hiyo familia unakuta baba, kaka, mjomba ni wanamgambo. Israel inakua imeshafanya tracing ya taharifa zao.
 
Sawa ila rejea historia ya HAMAS hiki ni chama cha siasa kama unavyoiyona chadema au ccm vina Red guard na Green guard sasa hawa HAMAS nao wana mgambo wao.wapo ndani ya Parestina lakini hawatambuliki na jeshi la parestina.

Kwa hiyo huko Gaza Wanaume wote ni Hamas?
Kama sio wote, kwa nini mashambulizi yakitokea wanaume hawapo kwenye madhara
 
Wakuu kwema!

Kuna jambo huwaga najiuliza kila siku kwenye hivi vita vinavyoendelea huko Mashariki ya kati baina ya Israel na Hamas..

Wakati wanawake na watoto wanapouliwa huko Gaza, Wanaume zao wanakuwa wapo wapi?
Je wanakuwa wanapigana?
Je wamekimbia na kuacha familia yao?
Je wanawatumia wanawake na watoto kama kinga ya mashambulizi?

Yaani vita imeanza, mnajua kabisa maeneo yatakayoshambuliwa ni yapi inakuwaje familia îachwe maeneo hayo?

Mbona viongozi wao wanawake na watoto wao hawauliwi? Nazungumzia watoto wadogo.

Je Hamas inashindwa kuficha au kuhamisha na kupeleka wanawake na watoto wao sehemu salama kisha vita iendelee?

Bado hainiingii akilini. Yaani kweli wewe mwanaume unajua kabisa kesho au Wiki ijayo kutafanywa mashambulizi mji wenu alafu uache familia yako eneo hilo. Kweli.

Mbona watawala wao hawakubali familia zao ziwe sehemu isiyo salama? Kwa nini Watu maskini na wajinga ndio huwa wahanga wakwanza kwenye vita?

Karibuni kwa mjadala
Gaza mbali sana!
Anzia jirani zetu tu hapo DRC.
Mbona hujiulizi ht mauaji ya Rwanda. Huko vp whangarei walikuwa ni wanaume?
 
Vita ya Gaza imegubikwa na propaganda za hali ya juu kwa pande zote.
Vita haina macho, madhara yatokanayo na vita huchukua muda mrefu kuyarekebisha na mengine hayarekebishiki kamwe(vifo).

Ndio maana nchi kubwa zinaogopa mno vita, hupenda maridhiano zaidi kuliko vita. Vita haina macho, risasi haiangalii wala haibagui yeyote inambandua.
Kabla ya kuingia vitani ni khere upime kwanza madhara yake, hamisha wale wasiohusika na hiyo vita, waacheni wanajeshi wenyewe wapambane.

Wanachofanya Hamas sio kitu chema, kushambulia kisha kujichanganya na raia sio sawa kabisa.
Sidhani kama Israel hawadhamilii kuua hao wanawake na watoto na vizazi vyote vya Hamas, nadhani wanatamani mno hiyo fursa.
Mbaya zaidi Hamas wanawapa hiyo access kirahisi kabisa, kwa kukaa pamoja na familia zao huku wakishambulia, Israel nao wanachapa mabomu hapo wakijitetea kua Hamas walijificha hapo, na huenda sometimes sio kweli ila kwakua ni tabia yao, ulimwengu unawaamini Israel!!.

Hatari sana
 
Gaza mbali sana!
Anzia jirani zetu tu hapo DRC.
Mbona hujiulizi ht mauaji ya Rwanda. Huko vp whangarei walikuwa ni wanaume?
Nimetaja Gaza kwa sababu mashambulizi mengi yanayofanywa na Israel taarifa hutolewa Wiki kadhaa Kabla hayajafanyika.

Tofauti na huko DRC au Hapo Rwanda au vita nyingi ambazo hutumia mbinu ya Ambush
 
Ukisema hawaendi vitani unamaanisha nini mkuu?
Kwani uwanja wa vita ni wapi?
Uwanja wa vita ni mashimoni, mafichoni,

Raia wamejificha, Hamas wamejificha pia, tofauti ya wanaume wa Hamas, wao wamejificha kama njia ya Kupambana Kwa kishtukiza, wakati raia wamejificha kuokoa uhai.
 
Hayo mashimo yapo wapi?
Mjini au uraiani?
 
Kufa wanakufa watu wote ila kwa sababu ya udhaifu wa wanawake na watoto mara nyingi wao ndiyo huathirika zaidi hata hapo Congo tu hali ni hiyohiyo.
 
Hamas wamekimbilia kwenye mashimo wameacha watoto na wa awake wafe

Waliobaki ndio kama hawa waliopo humu JF wameamua kujificha nyuma ya keyboard

Kwa kifupi hamas ni genge furani la wahuni wasioitakia mema palestina
 
Vita pia ina utaratibu wake. Hutakiwi kupiga sehemu za makazi. Israel hawachagui pa kupiga. Wanapiga hadi kambi za wakimbizi ndio maana unaona kuna vifo vingi vya wanawake na watoto.
Na hutakiwi kuchagua pakupiga na Watu kama Hamas
 
Back
Top Bottom