Kwa hili la 50 Cent, King Mohamed Salman wa Saudi Arabia hayupo sahihi hata kidogo


Jiongeze ww unajikuta unaijua dini kuliko walokuletea [emoji3][emoji3]utabak na upumbavu wako
 
Hata hizo pia ni filthy songs ambazo hazitakiwi kuwa performed in the holy land
Holy Land? Nani kakwambia? Watu wanamjua mudi tu alkuwa mtu wa kawaida hiyo holy land ni ya kwako.................wakati wewe umeaminishwa holy land alikuwa anatoka mudi wenzanko kuna babu zao walicheza naye............keep calm and enjoy 😉
 
We bwege Saudi Arabia ni kwa babu yako? Bila hata haya? Kweli Mapumbavu yanazaliwa kila siku.
 
Jamaa huyu MBS akili zake hazieleweki , dishi limeyumba .
Ila alichowafanya wale saudi prince ,hawatasau
Mafia kweli huyu dogo
 
Kuna project moja kubwa anaanzisha ,ya jiji la kisasa lenye kila kitu unachokifahamu na starehe ulimwengu huu
Litaitwa Neom , bonge moja la project ila sidhani kama atalitimiza ,ngoja tuone lakini
 
Saud arabia wanasherekea sherehe ya Halloween kwa kumtukuza shetani chini ya huyo mwanamfalme unashangaa show[emoji15]...

Huo jamaa kaua mwandishi yule jamal khashongy tena bila ya chenga .
Hajui hilo tena kwa kumkatakata kwa msumeno huku wauaji wakiwa wamevaa earphone wakisikiliza mziki
 
Wenzio wameanza kujivua kwenye minyororo ya li dini lililotengenezwa na Jesuits
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…