Kwa hili la 50 Cent, King Mohamed Salman wa Saudi Arabia hayupo sahihi hata kidogo

Kwa hili la 50 Cent, King Mohamed Salman wa Saudi Arabia hayupo sahihi hata kidogo

Unaweza vipi kutoa kibali kwa msanii wa muziki wa " hip hop " kutoka Marekani kufanya show nchini Saudi Arabia?

Seriously!!!

A guy who talks about shooting other people and utter a lot of cursing words in his song?

Yes when I was a little bow wow ( a very young boy) nilikuwaga shabiki wa 50 but the last thing that I will ever want to see on the face of planet earth is seeing a negro like 50 Cent performing in Saudi Arabia.

A king can do no wrong. So tunasema, watu walio karibu yake wana mshauri vibaya.

Jiongeze ww unajikuta unaijua dini kuliko walokuletea [emoji3][emoji3]utabak na upumbavu wako
 
Hata hizo pia ni filthy songs ambazo hazitakiwi kuwa performed in the holy land
Holy Land? Nani kakwambia? Watu wanamjua mudi tu alkuwa mtu wa kawaida hiyo holy land ni ya kwako.................wakati wewe umeaminishwa holy land alikuwa anatoka mudi wenzanko kuna babu zao walicheza naye............keep calm and enjoy 😉
 
Unaweza vipi kutoa kibali kwa msanii wa muziki wa " hip hop " kutoka Marekani kufanya show nchini Saudi Arabia?

Seriously!!!

A guy who talks about shooting other people and utter a lot of cursing words in his song?

Yes when I was a little bow wow ( a very young boy) nilikuwaga shabiki wa 50 but the last thing that I will ever want to see on the face of planet earth is seeing a negro like 50 Cent performing in Saudi Arabia.

A king can do no wrong. So tunasema, watu walio karibu yake wana mshauri vibaya.
We bwege Saudi Arabia ni kwa babu yako? Bila hata haya? Kweli Mapumbavu yanazaliwa kila siku.
 
Mkuu huyo MbS hakuna aliempa madaraka bali amejitwalia mwenyewe kwa kuwa baba yake ni kipenzi chake na alipoingia tu na kuona baba yake mdogo ndio next to the throne akamkamata na kumuweka kizuizini nyumbani na yeye kujipa mamlaka hayo

Baba yake yuko hoi kitandani
Kumbuka aliwaweka jela ya Hotel ya Ritz ndugu zake na uncle zake wengi zaidi ya 100
Aliwapa kesi ya ubadhirifu wa mali ya Umma na kujilimbikizia hela
Humo wengi ni princes
Aliwaambia anaetaka kutoka atoe $1b bila hivyo atalala hotel na kuhudumiwa kwa heshima zote ila hataiona familia yake

Walikaa sana ila walitoa hela zote
Kwa kawaida yao wana tabia ya kuviziana na sasa familia imekuwa kubwa ma princes wamekuwa wengi sana
Ipo siku atakula shaba wanamlia timing tu ingawa anachungwa lakini atakaemuuwa atakuja kuwa wa karibu sana hata awe kaka yake
Jamaa huyu MBS akili zake hazieleweki , dishi limeyumba .
Ila alichowafanya wale saudi prince ,hawatasau
Mafia kweli huyu dogo
 
Kuna project moja kubwa anaanzisha ,ya jiji la kisasa lenye kila kitu unachokifahamu na starehe ulimwengu huu
Litaitwa Neom , bonge moja la project ila sidhani kama atalitimiza ,ngoja tuone lakini
 
Saud arabia wanasherekea sherehe ya Halloween kwa kumtukuza shetani chini ya huyo mwanamfalme unashangaa show[emoji15]...

Huo jamaa kaua mwandishi yule jamal khashongy tena bila ya chenga .
Hajui hilo tena kwa kumkatakata kwa msumeno huku wauaji wakiwa wamevaa earphone wakisikiliza mziki
 
Unaweza vipi kutoa kibali kwa msanii wa muziki wa " hip hop " kutoka Marekani kufanya show nchini Saudi Arabia?

Seriously!!!

A guy who talks about shooting other people and utter a lot of cursing words in his song?

Yes when I was a little bow wow ( a very young boy) nilikuwaga shabiki wa 50 but the last thing that I will ever want to see on the face of planet earth is seeing a negro like 50 Cent performing in Saudi Arabia.

A king can do no wrong. So tunasema, watu walio karibu yake wana mshauri vibaya.
Wenzio wameanza kujivua kwenye minyororo ya li dini lililotengenezwa na Jesuits
 
Back
Top Bottom