mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Kama baba yako halikukataa na umeamua kumkataa jaribu kukumbuka mbegu zakeKununuliana kirikuu nayo inahitaji kuwa na ukaribu na anayekununulia ndugu
Sio sawa kushupalia izo mambo, uwenda kuna background hatuijuiEeeeeeh
Bila mbegu zake usingekuwepo duniani .alikiwa na uwezo wa kmwagia nje ili usizaliwe.kama haumuheshimu yeye ZIHESHIMU MBEGU ZAKE hiKweli wewe mjinga.
Akili na roho mbaya ndio hufanya mtu aakampotezea mtoto wake wakuzaa.. tena hawa wazee wanaozaa zaa hovyo hawa.. akil ndogo.. mtu anawatoto 12.. yaan anaonyesha anahusudu saaana kut. Ombana kuliko chochote kileMwenyewe Ommy anmeweka wazi kwamba anamheshimu baba yake lakini hana ukaribu nae
Ila wanaume buana, yaani alijua kabisa amezaa, kwa hiari yake akamtelekeza mtoto, ila sasa kafanikiwa anamuombea asaidie wengine[emoji102][emoji102][emoji102][emoji102]
Sijui kama ommy angekua maskini, teja, mgonjwa asiyejiweza, au mlemavu huyu baba angesogea hata kukusaidia
Ila ndio hivyo anabaki kuwa baba mzazi na abaheshimiwa kwa hilo... ila kudai anunuliwe kirikuu ni matumizi mabaya ya alichokipanda[emoji2088][emoji2088]
Mwenyezi Mungu aendelee kukuongoza uzidi kumheshimu huyu mzee Ommy Dimpoz, japo imani inasema wewe haramu ila hukuzaliwa bila Mungu kupanga
Kutoka 20:12
“Waheshimu baba yako na mama yako, ili uishi maisha marefu katika nchi ninayokupa mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako.
Uzuri wa hii issues hakuna wa kusema mama alimlisha sumu mwanae maana ashatanguliaAnaemjua baba wa mtoto ni mama
Tunasubiria TKO za mama wa Ommy Dimpoz na yeye anasamaje au wanatujaza ujinga?
Ndo maana nikasema mkubwa hakosei.wewe ni mbegu yake.aliitoa kwa jasho.Na ndio hicho kinamfanya ommy amheshimu
Sio sawa kushupalia izo mambo, uwenda kuna background hatuijui
OkKwa hii maada ommy hakukataliwa ila alitelekezwa
Hizo mbegu zake alitumia nguvu gani kuzitengeneza au kuna maumivu anayapata wakati akizitoaBila mbegu zake usingekuwepo duniani .alikiwa na uwezo wa kmwagia nje ili usizaliwe.kama haumuheshimu yeye ZIHESHIMU MBEGU ZAKE hi
Sio 12, ni 15 ukimtoa ommy na yule wa magomeniAkili na roho mbaya ndio hufanya mtu aakampotezea mtoto wake wakuzaa.. tena hawa wazee wanaozaa zaa hovyo hawa.. akil ndogo.. mtu anawatoto 12.. yaan anaonyesha anahusudu saaana kut. Ombana kuliko chochote kile
Timiza wajibu wako kama mzazi yasikukute ya mzee wa kirikuuCtii neno mnk Nina sakata langu la kunganganiana mtot na mwanmke acha nitulie
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Sio tu kukataliwa, hata mtoto kubaguliwa au kunyanyaswa au kutelekezwa. Mbeleni huko kuna matatizo tu yatajitokeza haswa kwenye tabia na mahusiano yakeHivi kama mtoto aliwahi kataliwa na mzazi wake baadae anapata psychological issues ama
Ukikua utajuaHizo mbegu zake alitumia nguvu gani kuzitengeneza au kuna maumivu anayapata wakati akizitoa
Kwani ommy alimuomba amzae kiasi kwamba liwe deni kwake
Umejua kuzaa tu bila kumpa upendo mtoto halafu mwisho wa siku akujali kwa sababu ya mbegu tu bro..
Lame excuse
Bila mbegu zake usingekuwepo duniani .alikiwa na uwezo wa kmwagia nje ili usizaliwe.kama haumuheshimu yeye ZIHESHIMU MBEGU ZAKE hi