Kwa hili la Ommy Dimpoz na Babake wee uliye biological mother/father ukimkataa/kumtelekeza mtoto wako ujue umemuumiza sana kisaikolojia na makuzi yake

Kwa hili la Ommy Dimpoz na Babake wee uliye biological mother/father ukimkataa/kumtelekeza mtoto wako ujue umemuumiza sana kisaikolojia na makuzi yake

Hivi kama mtoto aliwahi kataliwa na mzazi wake baadae anapata psychological issues ama
 
Mwenyewe Ommy anmeweka wazi kwamba anamheshimu baba yake lakini hana ukaribu nae

Ila wanaume buana, yaani alijua kabisa amezaa, kwa hiari yake akamtelekeza mtoto, ila sasa kafanikiwa anamuombea asaidie wengine[emoji102][emoji102][emoji102][emoji102]

Sijui kama ommy angekua maskini, teja, mgonjwa asiyejiweza, au mlemavu huyu baba angesogea hata kukusaidia

Ila ndio hivyo anabaki kuwa baba mzazi na abaheshimiwa kwa hilo... ila kudai anunuliwe kirikuu ni matumizi mabaya ya alichokipanda[emoji2088][emoji2088]

Mwenyezi Mungu aendelee kukuongoza uzidi kumheshimu huyu mzee Ommy Dimpoz, japo imani inasema wewe haramu ila hukuzaliwa bila Mungu kupanga

Kutoka 20:12​

“Waheshimu baba yako na mama yako, ili uishi maisha marefu katika nchi ninayokupa mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako.​

Akili na roho mbaya ndio hufanya mtu aakampotezea mtoto wake wakuzaa.. tena hawa wazee wanaozaa zaa hovyo hawa.. akil ndogo.. mtu anawatoto 12.. yaan anaonyesha anahusudu saaana kut. Ombana kuliko chochote kile
 
Anaemjua baba wa mtoto ni mama

Tunasubiria TKO za mama wa Ommy Dimpoz na yeye anasamaje au wanatujaza ujinga?
Uzuri wa hii issues hakuna wa kusema mama alimlisha sumu mwanae maana ashatangulia

Nilivyomsikiliza ommy sio kwamba hakuhitaji ukaribu na mzee wake Ila mzee mwenyewe alikuwa mbali naye hasa wakati akimuhitaji zaidi mfano maza ake alipofariki..

It's sad kiukweli
 
Sio sawa kushupalia izo mambo, uwenda kuna background hatuijui

Usipate shida nimezaliwa na kulelewa na wazazi wangu wote wawili na namshukuru Mungu wamenifanya nilivyo kwa maana hadi sasa naelewa bila wao ningeweza kuwa kitu kingine au mtu mwingine tofauti na huyo ninayempenda
 
Bila mbegu zake usingekuwepo duniani .alikiwa na uwezo wa kmwagia nje ili usizaliwe.kama haumuheshimu yeye ZIHESHIMU MBEGU ZAKE hi
Hizo mbegu zake alitumia nguvu gani kuzitengeneza au kuna maumivu anayapata wakati akizitoa

Kwani ommy alimuomba amzae kiasi kwamba liwe deni kwake

Umejua kuzaa tu bila kumpa upendo mtoto halafu mwisho wa siku akujali kwa sababu ya mbegu tu bro..

Lame excuse
 
Akili na roho mbaya ndio hufanya mtu aakampotezea mtoto wake wakuzaa.. tena hawa wazee wanaozaa zaa hovyo hawa.. akil ndogo.. mtu anawatoto 12.. yaan anaonyesha anahusudu saaana kut. Ombana kuliko chochote kile
Sio 12, ni 15 ukimtoa ommy na yule wa magomeni
 
Hivi kama mtoto aliwahi kataliwa na mzazi wake baadae anapata psychological issues ama
Sio tu kukataliwa, hata mtoto kubaguliwa au kunyanyaswa au kutelekezwa. Mbeleni huko kuna matatizo tu yatajitokeza haswa kwenye tabia na mahusiano yake

Ndio maana Tz tukiona mtu ana tatizo flani tunachukulia ndio alivyozaliwa, kumbe sometimes anapambana na trauma au impact za malezi mabovu
 
Single mothers msikate tamaa, endeleeni kupambana na watoto wenu, wanawake msitoe mimba hata kama baba wa mtoto ana mkebe wenye ute ute wa manii ila kichwani hamna kitu.
 
Hizo mbegu zake alitumia nguvu gani kuzitengeneza au kuna maumivu anayapata wakati akizitoa

Kwani ommy alimuomba amzae kiasi kwamba liwe deni kwake

Umejua kuzaa tu bila kumpa upendo mtoto halafu mwisho wa siku akujali kwa sababu ya mbegu tu bro..

Lame excuse
Ukikua utajua
 
Bila mbegu zake usingekuwepo duniani .alikiwa na uwezo wa kmwagia nje ili usizaliwe.kama haumuheshimu yeye ZIHESHIMU MBEGU ZAKE hi

Kama yeye hakuheshimu mbegu zake kwa kukutunza kwanini wewe umuheshimu?

Kuna heshima ya kiutu ambayo mtu yeyote anapewa hata kichaa au mtu baki ila sio heshima ya kibaba. Huyu anaheshimiwa kama ambavyo Ommy anakuheshimu wewe au mimi nothing more to it.
 
Back
Top Bottom