BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Kutoka Scania mpaka kirikuu.. what a fall?Huyu Mzee alikuwa Dereva Prime Fuel wakati ya moto moto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutoka Scania mpaka kirikuu.. what a fall?Huyu Mzee alikuwa Dereva Prime Fuel wakati ya moto moto
Atakula aliko peleka mboga ..Atakula alichopanda
Mwenyewe Ommy anmeweka wazi kwamba anamheshimu baba yake lakini hana ukaribu nae
Ila wanaume buana, yaani alijua kabisa amezaa, kwa hiari yake akamtelekeza mtoto, ila sasa kafanikiwa anamuombea asaidie wengine👀👀👀👀
Sijui kama Ommy angekua maskini, teja, mgonjwa asiyejiweza, au mlemavu huyu baba angesogea hata kukusaidia
Ila ndio hivyo anabaki kuwa baba mzazi na abaheshimiwa kwa hilo... ila kudai anunuliwe kirikuu ni matumizi mabaya ya alichokipanda🏃♀️🏃♀️
Mwenyezi Mungu aendelee kukuongoza uzidi kumheshimu huyu mzee Ommy Dimpoz, japo imani inasema wewe haramu ila hukuzaliwa bila Mungu kupanga
Kutoka 20:12
“Waheshimu baba yako na mama yako, ili uishi maisha marefu katika nchi ninayokupa mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako.
Najaribu kuliangalia hili kuna mambo naona kama yananifikirisha sana:
Ukimsikiliza baba yake na ommy ni kama alishakubaliana na maisha yake na maisha ya mwanae hana habari nayo maana yake ikiwa alikataa tangu zamani hata sasa hajamuhitaji na wala hajamuomba msaada wowote isipokuwa habari hii imeibuliwa upya na waandishi wa habari ili kutengeneza attention tu
Anasema ni hana ubaya na ommy na wala hana haja na mali za ommy pamoja na kuwa yeye ni baba yake mzazi anaishi maisha yake binafsi na Bajaj zake and nothing more.
Ukimsikiliza ommy ni kama anajaribu kujibu(hamjibu baba yake Lah hasha) anajibu media, watanzania na baba levo, kwa nini hamjibu baba yake ni kwa kuwa yeye na baba yake walishamaliza zamani hawana wanachoweza kuongea tena kila mtu alishaamua kwenda na njia yake
Anachokifanya ommy ni kujibu tuhuma za kumtelekeza baba yake ili kuogopa jamii itakavyomchukulia, ko anajaribu kwa nguvu zake kuonyesha ubaya wa baba yake mbele ya baba levo na media ili kujustify maamuzi yake na kupata kinga kwenye jamii tofauti kabisa na mzee wake ambaye hasemi baya la ommy wala la mke wake mama yake na ommy (hapa najifunza busara na hekima alizonazo mzee)
My note: Ommy huyo ni baba yako, achilia mbali kuwa ni baba mzazi lakini hata angekuwa baba mlezi muheshimu na ufunge mdomo wako jifunze busara kutoka kwake.
Hujui lolote kuhusu kuzaliwa kwako na huko unakokuita kukataliwa kwa kuwa hukuwa unaelewa lolote zaidi ya kusimuliwa na kusikia pengine kwa evidence ndogondogo sana zikakuaminisha kuwa baba yako ni mbaya...(nikukumbushe hapa ni kawaida kwa wanawake kupandikiza chuki kwa watoto wanaowalea wenyewe dhidi ya baba zao, zipo sababu nyingi na za kawaida kabisa za mke na mme kutengana sasa hasira na chuki hupandikizwa kwa watoto na hasa chuki zinazosababishwa na wivu wa mapenzi)
Kwa baba ommy: najua unayajua mengi na hutaki kuyasema kwenye media kuhusu mahusiano yako na mama ommy na ommy hii ni busara ya hali ya juu kwangu naona bado umemlindia heshima marehemu mke wako na hutaki kumdhalilisha mtoto wako. Kwangu wewe bado ni mzazi.
Hebu tusishabikie kwa kulaumu upande mmoja tukasahau kusikia upande uliokimya unasemaje.
Asante
Kama hujawahi kataliwa na mzazi/wazazi usishangae watu wanaoshindwa samehe wazazi waliokula kona. Inaumiza sana.Vijana tupo tayari kumsamehe mpenzi bila tatizo lolote lakini mzazi wako eti!! Haumsamehi ilo ni tatizo
Kuna baba mmoja jirani yangu hapa alimfanyia unyama mkewe wa ndoa akauza nyumba wakati mke akiwa ameenda kuzika kwao anarudi anakuta nyumba Ipo chini ya mtu mwingine akaenda pangisha na watoto wake kwenye nyumba ya udongo huku jamaa anakula bata na mahawara akaoa kabisa huyo hawara, yule mama na watoto wake presha na mawazo vikamuua hata miaka 6 haijaisha tangu mkewe afariki jamaa laana inamtafuna tu hana hata mia na. Kulima vibarua vya mashambani, anahama hama kwenye vyumba vya kupangisha tu.
Kwa nini Wanaume wengi mnapenda kujitetea kwa kipengele hiki cha chuki kupandikizwa,mkuu umesikiliza Ommy alivyoelezea alipokuwa anamuuliza marehem Mama yake alimueleza kwamba baba yako amesafiri iko siku atarejea (hapa na mpongeza huyo mama alionesha ujasiri mkubwa) kitendo hiki kilisababisha Ommy ajiulize why baba yake hakutokea hata siku ya msiba.isha kuwa baba yako ni mbaya...(nikukumbushe hapa ni kawaida kwa wanawake kupandikiza chuki kwa watoto wanaowalea wenyewe dhidi ya baba zao, zipo sababu nyingi na za kawaida kabisa za mke na mme kutengana sasa hasira na chuki hupandikizwa kwa watoto na hasa chuki zinazosababishwa na wivu wa mapenzi)
Kweli kabisa. Bastard boys hawatakiwi .....Si ndio imani inavyoongoza!?
Na ndio muache kuzaa watoto nje ya ndoa🙄🙄🙄
Hilo kenge acha liumie. Linapata haki yake!Kuna baba mmoja jirani yangu hapa alimfanyia unyama mkewe wa ndoa akauza nyumba wakati mke akiwa ameenda kuzika kwao anarudi anakuta nyumba Ipo chini ya mtu mwingine akaenda pangisha na watoto wake kwenye nyumba ya udongo huku jamaa anakula bata na mahawara akaoa kabisa huyo hawara, yule mama na watoto wake presha na mawazo vikamuua hata miaka 6 haijaisha tangu mkewe afariki jamaa laana inamtafuna tu hana hata mia na. Kulima vibarua vya mashambani, anahama hama kwenye vyumba vya kupangisha tu.
Najaribu kuliangalia hili kuna mambo naona kama yananifikirisha sana:
Ukimsikiliza baba yake na ommy ni kama alishakubaliana na maisha yake na maisha ya mwanae hana habari nayo maana yake ikiwa alikataa tangu zamani hata sasa hajamuhitaji na wala hajamuomba msaada wowote isipokuwa habari hii imeibuliwa upya na waandishi wa habari ili kutengeneza attention tu
Anasema ni hana ubaya na ommy na wala hana haja na mali za ommy pamoja na kuwa yeye ni baba yake mzazi anaishi maisha yake binafsi na Bajaj zake and nothing more.
Ukimsikiliza ommy ni kama anajaribu kujibu(hamjibu baba yake Lah hasha) anajibu media, watanzania na baba levo, kwa nini hamjibu baba yake ni kwa kuwa yeye na baba yake walishamaliza zamani hawana wanachoweza kuongea tena kila mtu alishaamua kwenda na njia yake
Anachokifanya ommy ni kujibu tuhuma za kumtelekeza baba yake ili kuogopa jamii itakavyomchukulia, ko anajaribu kwa nguvu zake kuonyesha ubaya wa baba yake mbele ya baba levo na media ili kujustify maamuzi yake na kupata kinga kwenye jamii tofauti kabisa na mzee wake ambaye hasemi baya la ommy wala la mke wake mama yake na ommy (hapa najifunza busara na hekima alizonazo mzee)
My note: Ommy huyo ni baba yako, achilia mbali kuwa ni baba mzazi lakini hata angekuwa baba mlezi muheshimu na ufunge mdomo wako jifunze busara kutoka kwake.
Hujui lolote kuhusu kuzaliwa kwako na huko unakokuita kukataliwa kwa kuwa hukuwa unaelewa lolote zaidi ya kusimuliwa na kusikia pengine kwa evidence ndogondogo sana zikakuaminisha kuwa baba yako ni mbaya...(nikukumbushe hapa ni kawaida kwa wanawake kupandikiza chuki kwa watoto wanaowalea wenyewe dhidi ya baba zao, zipo sababu nyingi na za kawaida kabisa za mke na mme kutengana sasa hasira na chuki hupandikizwa kwa watoto na hasa chuki zinazosababishwa na wivu wa mapenzi)
Kwa baba ommy: najua unayajua mengi na hutaki kuyasema kwenye media kuhusu mahusiano yako na mama ommy na ommy hii ni busara ya hali ya juu kwangu naona bado umemlindia heshima marehemu mke wako na hutaki kumdhalilisha mtoto wako. Kwangu wewe bado ni mzazi.
Hebu tusishabikie kwa kulaumu upande mmoja tukasahau kusikia upande uliokimya unasemaje.
Asante
Kuna kipindi kinaitwa Long lost FamilyVijana tupo tayari kumsamehe mpenzi bila tatizo lolote lakini mzazi wako eti!! Haumsamehi ilo ni tatizo
Kweli wewe mjinga.