Kwa hili la Ommy Dimpoz na Babake wee uliye biological mother/father ukimkataa/kumtelekeza mtoto wako ujue umemuumiza sana kisaikolojia na makuzi yake

Wewe utaamua mwenyewe kusimama kwenye nafasi yako kama mwanaume na baba kwa mwanao. Au utaendelea na kurushiana maneno na watu[emoji28][emoji28] ila ujue mwisho wa siku utapata heshma yako kama sperm donor
Vyovyote vile mtakavyoamua kutuita hamna noma,hamna kitu kinaniumiza kama naendelea kutoa huduma huku nasimangwa ni heri nisitoe kabisa ili unaponikera kwa maneno wala sitaumia roho yangu kwatuu
 
Hili ni kwa wazazi wote wa kike na wa kiume. Ukitelekeza mtoto wakati hajiwezi hajielewi anakuhitaji hakikisha na wewe unaendelea kujitelekeza akishakuwa akaweza kusimama, kujihudumia na kutambulika na dunia

Halafu wewe nawe Lazima uko kwenye chama cha wanaotelekeza mimba na watoto wewe

Nakuona baba ommy unavyopambana kujitetea. Huu muda umeshaambiwa unaheshimiwa kama baba mshukuru Mungu mwanao hajakukana amekuheshimu kama sperm donor, sasa kaa kwa kutulia na kupambana na hali yako
Simtetei baba ommy najaribu kuwa fear kwake na kumkumbusha ommy haijalishi kuna nini lakini yule ni baba yake tu ugonvi wa mama na baba yake haumuhusu...
Kwa upande wangu nikuhakikishie sijawahi kuwaza kumuachia mwanamke mtoto hata ikiwa tutatengana
 
Watu mna hangaika tu .... huyu mzee kwani anataka msaada wenu na huyo omy ...mbona mzee anajiweza vizuri tu....mzee jua limezama anaomba piece tu
 
Simtetei baba ommy najaribu kuwa fear kwake na kumkumbusha ommy haijalishi kuna nini lakini yule ni baba yake tu ugonvi wa mama na baba yake haumuhusu...
Kwa upande wangu nikuhakikishie sijawahi kuwaza kumuachia mwanamke mtoto hata ikiwa tutatengana

Ommy hajakataa kuwa yule ni baba yake, alishasema hana ugomvi na baba yake, na anamheshimu baba yake.
Akasema mama yake alifariki akiwa primary std2 na baada ya kukua yeye mwenyewe alimtafuta baba yake na kwa mara ya kwanza wakakutana. Sasa hapo alipoingilia ugomvi wa mamake na babake ni wapi?

Kama wewe hajawahi kumwachia mwanamke mtoto hongera ila mwenzio baba ommy alimwachia mama ommy mtoto. Na baada ya mama ommy kufariki aliitelekezea dunia mtoto hadi alipotoboa ndio akakumbuka kuwa ni mwanae
 
Sijui kwa undani hii habari ila labda niongelee hili swala la wazazi kutelekeza watoto kwa ujumla tu.

Kwenye kutelekezwa watoto najua wengi watasema mengi kwa kuwa hayajawakuta. Hakuna kitu kinamuumiza mtoto kama kutelekezwa na mzazi. Mtoto akajaribu kumtafuta mzazi then mzazi anamkataa au hataki mahusiano naye kisa tu mzazi wakati huo ana uwezo. Anakuwa mzee mzazi anakuwa hana kipato anaanza kumsumbua mtoto na kumpeleka kwenye media kuwa anataka mtoto amsaidie. Hii ni blackmail, extortion na tusiiendekeze kwenye jamii. Wazazi wawe responsible kuwalea watoto wao ili watoto kwa upendo kabisa wawalee huko mbeleni. Tujaribu kuwalewa watoto wanaopitia haya na kuwasaidia kisaikolojia na kuwapa support inayohitajika na sio kuwananga. Wanakuwa na maumivu mengi sana.
 
Ommy hajakataa kuwa yule ni baba yake, alishasema hana ugomvi na baba yake, na anamheshimu baba yake.
Akasema mama yake alifariki akiwa primary std2 na baada ya kukua yeye mwenyewe alimtafuta baba yake na kwa mara ya kwanza wakakutana. Sasa hapo alipoingilia ugomvi wa mamake na babake ni wapi?

Kama wewe hajawahi kumwachia mwanamke mtoto hongera ila mwenzio baba ommy alimwachia mama ommy mtoto. Na baada ya mama ommy kufariki aliitelekezea dunia mtoto hadi alipotoboa ndio akakumbuka kuwa ni mwanae
Unamuhukumu huyu mzee kwa kuwa alimtelekeza mwanae sawa jeee umefuatilia ikajua sababu ya huyu mzee kumtelekeza mtoto wake wa kumzaa....hebu usihukumu kutokana na matokeo hukumu kutokana na chanzo...
Ninaishi na mtoto wangu ambaye niliamua kumnyang'anya mama yake miaka sita iliyopita na mwakani anaenda kidato cha kwanza niulize kwa nini nilimchukua kwa nguvu akiwa under 10 in box ntakujibu.
Ila mpaka kesho mwanangu hajawahi kunisikia naongea lolote lile kuhusu mama yake (ingawa hakuna nisichokijua)
Mara zote mama yake anapotaka kuongea na mwanaye hata kama nipo mbali basi nitampa namba ya karibu ambayo ataongea naye (current wife) na imefikia hatua sasa hanipigii mimi anampigia mke wangu wanasalimiana na anaongea na mwanaye bila shida.
Kila mara wakati wa likizo huwa namsafirisha kwenda kwa mama yake angalau akaonane naye wasalimiane kutoka kigoma(kibondo) mpaka Serengeti (mara) ntampa nauli ya kwenda na kurudi na pocket money na bado namfungashia na zawadi kwa ajili ya mama yake na bibi yake regardless ya yanayoendelea baina yangu na mama yake mtoto hana chochote anachoelewa.
Si ajabu huyu kesho na kesho kutwa akasimama kwenye media kumtukuza mama yake na nikaonekana mtesaji na mnyanyasaji SIO AJABU KABISA.
Wanaume tunapitia mengi na hivi hatujui kusema ndio kabisaaa ....
 
Mkuu kama historia yangu mi nilimchukua ana miaka 4 hadi sasa ana 12yo na sijawahi kuwa na mpango hata wakuonyesha mabaya ya mama yake
 
Sababu alishasema yeye hatafuti mtoto Akishazaa anapita, watoto wamtafute wao

Sasa kama wewe unatunza wakwako usimtetee aliyegoma kumtunza wake. Badala yake mtafute umshauri kwamba awausie watoto wake wasirudie kosa alilofanya
 
Tunayo mambo mengi sana wanatufanyia hawa wanawake kwa watoto wetu isipokua tunayameza....
 
Sababu alishasema yeye hatafuti mtoto Akishazaa anapita, watoto wamtafute wao

Sasa kama wewe unatunza wakwako usimtetee aliyegoma kumtunza wake. Badala yake mtafute umshauri kwamba awausie watoto wake wasirudie kosa alilofanya
Hahaaaaaaaaa.....
 
imani inasema wewe haramu
Sijui ni imani gani hiyo ila kama unamaanisha ni Imani yake yeye huyo Ommy Dimpoz ambayo ni Uislam, basi haifai kumuita mtoto mwanaharamu, haramu ni kitendo na mtoto hana kosa wala hatia yoyote bali wazazi wake ndio wenye dhambi. Kama atakuwa mwema na atatii maagizo ya Allah na Mtume wake basi atakuwa mtu bora kabisa. Zipo tu hukmu za kishariah za mtoto wa nje ya ndoa kutonasibishwa na baba yake na ananasibishwa na mama yake tu. Lakini mtoto hana kosa lolote kwa kuzaliwa kwake nje ya ndoa, bali wazazi wake ndio wana dhambi.
 
Hili ni kwa wazazi wote wa kike na wa kiume. Ukitelekeza mtoto wakati hajiwezi hajielewi anakuhitaji hakikisha na wewe unaendelea kujitelekeza akishakuwa akaweza kusimama, kujihudumia na kutambulika na dunia

Halafu wewe nawe Lazima uko kwenye chama cha wanaotelekeza mimba na watoto wewe

Nakuona baba ommy unavyopambana kujitetea. Huu muda umeshaambiwa unaheshimiwa kama baba mshukuru Mungu mwanao hajakukana amekuheshimu kama sperm donor, sasa kaa kwa kutulia na kupambana na hali yako
Hahaha itakuwa ni mtekeleza mimba huyoo ana hasira kuliko wanaume wote humu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16]
 
Back
Top Bottom