Prof Griff
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,772
- 5,258
Vyovyote vile mtakavyoamua kutuita hamna noma,hamna kitu kinaniumiza kama naendelea kutoa huduma huku nasimangwa ni heri nisitoe kabisa ili unaponikera kwa maneno wala sitaumia roho yangu kwatuuWewe utaamua mwenyewe kusimama kwenye nafasi yako kama mwanaume na baba kwa mwanao. Au utaendelea na kurushiana maneno na watu[emoji28][emoji28] ila ujue mwisho wa siku utapata heshma yako kama sperm donor
Kwanini unaona kama mawazo yako wewe ndio bora kuliko ya wengine?
Kwanza ww ni mwanaume au mwanamke?
Ni Mtoto wa Mzee Dimpoz!!Ommy Dimpoz ndio nani huko Daslam?
Simtetei baba ommy najaribu kuwa fear kwake na kumkumbusha ommy haijalishi kuna nini lakini yule ni baba yake tu ugonvi wa mama na baba yake haumuhusu...Hili ni kwa wazazi wote wa kike na wa kiume. Ukitelekeza mtoto wakati hajiwezi hajielewi anakuhitaji hakikisha na wewe unaendelea kujitelekeza akishakuwa akaweza kusimama, kujihudumia na kutambulika na dunia
Halafu wewe nawe Lazima uko kwenye chama cha wanaotelekeza mimba na watoto wewe
Nakuona baba ommy unavyopambana kujitetea. Huu muda umeshaambiwa unaheshimiwa kama baba mshukuru Mungu mwanao hajakukana amekuheshimu kama sperm donor, sasa kaa kwa kutulia na kupambana na hali yako
Kwa kweliAtakula alichopanda
PeaceWatu mna hangaika tu .... huyu mzee kwani anataka msaada wenu na huyo omy ...mbona mzee anajiweza vizuri tu....mzee jua limezama anaomba piece tu
Simtetei baba ommy najaribu kuwa fear kwake na kumkumbusha ommy haijalishi kuna nini lakini yule ni baba yake tu ugonvi wa mama na baba yake haumuhusu...
Kwa upande wangu nikuhakikishie sijawahi kuwaza kumuachia mwanamke mtoto hata ikiwa tutatengana
Unamuhukumu huyu mzee kwa kuwa alimtelekeza mwanae sawa jeee umefuatilia ikajua sababu ya huyu mzee kumtelekeza mtoto wake wa kumzaa....hebu usihukumu kutokana na matokeo hukumu kutokana na chanzo...Ommy hajakataa kuwa yule ni baba yake, alishasema hana ugomvi na baba yake, na anamheshimu baba yake.
Akasema mama yake alifariki akiwa primary std2 na baada ya kukua yeye mwenyewe alimtafuta baba yake na kwa mara ya kwanza wakakutana. Sasa hapo alipoingilia ugomvi wa mamake na babake ni wapi?
Kama wewe hajawahi kumwachia mwanamke mtoto hongera ila mwenzio baba ommy alimwachia mama ommy mtoto. Na baada ya mama ommy kufariki aliitelekezea dunia mtoto hadi alipotoboa ndio akakumbuka kuwa ni mwanae
Mkuu kama historia yangu mi nilimchukua ana miaka 4 hadi sasa ana 12yo na sijawahi kuwa na mpango hata wakuonyesha mabaya ya mama yakeUnamuhukumu huyu mzee kwa kuwa alimtelekeza mwanae sawa jeee umefuatilia ikajua sababu ya huyu mzee kumtelekeza mtoto wake wa kumzaa....hebu usihukumu kutokana na matokeo hukumu kutokana na chanzo...
Ninaishi na mtoto wangu ambaye niliamua kumnyang'anya mama yake miaka sita iliyopita na mwakani anaenda kidato cha kwanza niulize kwa nini nilimchukua kwa nguvu akiwa under 10 in box ntakujibu.
Ila mpaka kesho mwanangu hajawahi kunisikia naongea lolote lile kuhusu mama yake (ingawa hakuna nisichokijua)
Mara zote mama yake anapotaka kuongea na mwanaye hata kama nipo mbali basi nitampa namba ya karibu ambayo ataongea naye (current wife) na imefikia hatua sasa hanipigii mimi anampigia mke wangu wanasalimiana na anaongea na mwanaye bila shida.
Kila mara wakati wa likizo huwa namsafirisha kwenda kwa mama yake angalau akaonane naye wasalimiane kutoka kigoma(kibondo) mpaka Serengeti (mara) ntampa nauli ya kwenda na kurudi na pocket money na bado namfungashia na zawadi kwa ajili ya mama yake na bibi yake regardless ya yanayoendelea baina yangu na mama yake mtoto hana chochote anachoelewa.
Si ajabu huyu kesho na kesho kutwa akasimama kwenye media kumtukuza mama yake na nikaonekana mtesaji na mnyanyasaji SIO AJABU KABISA.
Wanaume tunapitia mengi na hivi hatujui kusema ndio kabisaaa ....
Unamuhukumu huyu mzee kwa kuwa alimtelekeza mwanae sawa jeee umefuatilia ikajua sababu ya huyu mzee kumtelekeza mtoto wake wa kumzaa....hebu usihukumu kutokana na matokeo hukumu kutokana na chanzo...
Ninaishi na mtoto wangu ambaye niliamua kumnyang'anya mama yake miaka sita iliyopita na mwakani anaenda kidato cha kwanza niulize kwa nini nilimchukua kwa nguvu akiwa under 10 in box ntakujibu.
Ila mpaka kesho mwanangu hajawahi kunisikia naongea lolote lile kuhusu mama yake (ingawa hakuna nisichokijua)
Mara zote mama yake anapotaka kuongea na mwanaye hata kama nipo mbali basi nitampa namba ya karibu ambayo ataongea naye (current wife) na imefikia hatua sasa hanipigii mimi anampigia mke wangu wanasalimiana na anaongea na mwanaye bila shida.
Kila mara wakati wa likizo huwa namsafirisha kwenda kwa mama yake angalau akaonane naye wasalimiane kutoka kigoma(kibondo) mpaka Serengeti (mara) ntampa nauli ya kwenda na kurudi na pocket money na bado namfungashia na zawadi kwa ajili ya mama yake na bibi yake regardless ya yanayoendelea baina yangu na mama yake mtoto hana chochote anachoelewa.
Si ajabu huyu kesho na kesho kutwa akasimama kwenye media kumtukuza mama yake na nikaonekana mtesaji na mnyanyasaji SIO AJABU KABISA.
Wanaume tunapitia mengi na hivi hatujui kusema ndio kabisaaa ....
Tunayo mambo mengi sana wanatufanyia hawa wanawake kwa watoto wetu isipokua tunayameza....Mkuu kama historia yangu mi nilimchukua ana miaka 4 hadi sasa ana 12yo na sijawahi kuwa na mpango hata wakuonyesha mabaya ya mama yake
Hahaaaaaaaaa.....Sababu alishasema yeye hatafuti mtoto Akishazaa anapita, watoto wamtafute wao
Sasa kama wewe unatunza wakwako usimtetee aliyegoma kumtunza wake. Badala yake mtafute umshauri kwamba awausie watoto wake wasirudie kosa alilofanya
Sijui ni imani gani hiyo ila kama unamaanisha ni Imani yake yeye huyo Ommy Dimpoz ambayo ni Uislam, basi haifai kumuita mtoto mwanaharamu, haramu ni kitendo na mtoto hana kosa wala hatia yoyote bali wazazi wake ndio wenye dhambi. Kama atakuwa mwema na atatii maagizo ya Allah na Mtume wake basi atakuwa mtu bora kabisa. Zipo tu hukmu za kishariah za mtoto wa nje ya ndoa kutonasibishwa na baba yake na ananasibishwa na mama yake tu. Lakini mtoto hana kosa lolote kwa kuzaliwa kwake nje ya ndoa, bali wazazi wake ndio wana dhambi.imani inasema wewe haramu
[emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ommy dimpoz anakwepa mzigo wa kuleq Mzee na ndugu 14.
Hahaha itakuwa ni mtekeleza mimba huyoo ana hasira kuliko wanaume wote humu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16]Hili ni kwa wazazi wote wa kike na wa kiume. Ukitelekeza mtoto wakati hajiwezi hajielewi anakuhitaji hakikisha na wewe unaendelea kujitelekeza akishakuwa akaweza kusimama, kujihudumia na kutambulika na dunia