Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,573
- 10,063
unaweza mvua kwa ndowano pia, wavuvi wanaita migonzo kama sijakosea, yani long line au trolling kwa nyavu unatumia trawling net japi hairuhusiwKwamba hawa samaki wanavuliwa na ndoano Mbna cjakuelewaaa.... ??
Umemnukuu vibaya. Maji hayo yanatumika kuosha samaki ili inzi au wadudu wasiharibu huyo samaki baada ya kuvuliwaKumbe wavuvi wa ziwa Victoria wanatumia maji ya maiti kutupatia kitoweo.Kama alivyotahadharisha makamu wa raisi dkt Mpango baada ya wagonjwa wa saratani kuongezeka huko Mwanza katika ziara yake hapo juzi.
Naunga mkono nasaha za wavuvi kuacha kutumia maji ya maiti kama chambo cha kukamatia samaki.Wakiendelea hivyo wengi tutaangamia na hata nchi zinazonunua minofu Ulaya zitapungua.Inatisha.
watu baadhi ya vijiji kando ya ziwa wana mifumo mibovu ya vyoo na wengine hawana na kufulia nguo ziwani. yan ukichukua sample ya za flesh fish ukaingiza mabara wadudu utakao pata hawaesabiki, ni uchavu mkubwa sanaYaa kuna uwezekano huo kwamba hilo ziwa tayari liko heavily polluted.......ni muhimu hatua mathubuti zichukuliwe kulinda mazingira ya bonde la ziwa victoria kuepuka hizo environmental pollutants.
wataalam mjini sua wanawaita aqualchickenSato
Best kitoweo
sangana ana high level of unsaturated fat(mafuta) ambao hupelekea oxidation samaki huharibika, pia autolytic changes yan self degradation, enzymes zilizo mwilin mwa samaki baada ya samaki kufa hualibu mwili husababisha hatufu mbaya. formaline iliopo kwenye maji ya maiti huxuia wadudu kama izi kukaa mbali na mzoga wenda ni mbaya kwa mlaji.Umemnukuu vibaya. Maji hayo yanatumika kuosha samaki ili inzi au wadudu wasiharibu huyo samaki baada ya kuvuliwa
Hayo maji ya maiti yanatoka wapi, kwanini wasidhibiti hapo yanapotokaKumbe wavuvi wa ziwa Victoria wanatumia maji ya maiti kutupatia kitoweo kama alivyotahadharisha Makamu wa Rais Dkt. Mpango baada ya wagonjwa wa saratani kuongezeka huko Mwanza katika ziara yake hapo juzi.
Naunga mkono nasaha za wavuvi kuacha kutumia maji ya maiti kama chambo cha kukamatia samaki. Wakiendelea hivyo wengi tutaangamia na hata nchi zinazonunua minofu Ulaya zitapungua.
Inatisha.
Mkuu dona ya hotelini inashida gani ?mkuu dona nilishaikimbia kitambo, nikila dona ujue unga nimeandaa mwenyewe. nimesafisha mahindi na nimepeleka kusaga mimi mwenyewe. Madhara ya dona la kununua hotelini nimeyashtukia kitambo sana
Ikiwa hospitali ipo karibu na ziwa si rahisi lakini ziwa si kama bahari.Ndio maana kila inapowezekana mkondo wa maji taka kuelekezwa baharini ni bora.bahari huwa inakuja na kusafisha na kutibu maji taka.Ikiwa hospitali ipo karibu na ziwa basi maji taka yake yapelekwe kwenye shimo kubwa sana la kipekee kwenye uwanda.Hayo maji ya maiti yanatoka wapi, kwanini wasidhibiti hapo yanapotoka
Kwanini teknolojia inakwepwa katika kudhibiti uhalifu, kama askari wameshindwa kwanini wasiajiri camera za usalama?Ikiwa hospitali ipo karibu na ziwa si rahisi lakini ziwa si kama bahari.Ndio maana kila inapowezekana mkondo wa maji taka kuelekezwa baharini ni bora.bahari huwa inakuja na kusafisha na kutibu maji taka.Ikiwa hospitali ipo karibu na ziwa basi maji taka yake yapelekwe kwenye shimo kubwa sana la kipekee kwenye uwanda.
Me mbabe, ishi hapo ππUtulivu unao, sema unajikutaga kababe sana, kumbe mchubma tu...
Kwa wengine labda, siyo kwangu cha utundu, hujui kama mimi nasemana....Me mbabe, ishi hapo ππ
π€£π€£najua lakini siogopi..ubabe unanisaidiaKwa wengine labda, siyo kwangu cha utundu, hujui kama mimi nasemana....
Ni Kutiana hofu TUMaji ya maiti yana ingredients gani ambayo inasababisha kansa?
Sasa nani kakwambia supu ya pweza haina zinc?Taifa LA mbumbumbu na stori za vijiweni zisizo na utafiti. Hao sangara wanavuliwa tani ngapi kwa siku na hizo maiti zinaoshwa ngapi kwa siku.
Pia eti supu ya pweza inaongeza nguvu za kiume badala ya mbegu za maboga zenye Zinc.
Labda wanazungumzia kemikali ya kuhifadhia maiti, inaitwa formaldehydeNaona kama wote wanasiasa na tusiokuwa wanasiasa tumeunga teller hakuna anayehoji kwamba βmaji ya kuoshea maiti yanasababishaje saratani?,wataalam mtuambie mtu akifa anazalisha sumu kiasi cha kusababisha ugonjwa?β
"Au wakati wakuosha maiti zipo dawa zinatumika?"
Though siungi mkono kutumika kuhifadhi kitoweo but inawezekanaje???