Kwa kilichotokea jana, nisameheni tu wana JF

Status
Not open for further replies.
Kwahiyo hii waungwana tumegoma..!! 😹😹
Mie ndio nakuambia ,. Usiamini hizi comments za humu jirani😹
Kuna mtu mwingine humuhumu wanajamii wote tunajua yuko zake nanilii kumbe,. ( hili ntajaribu kwanza kulog in kwa zile i’d zangu nyingine kama ntazikumbuka nije niwaeleze vizuri😹😹😹)
 
Swala sio kuamini, sifikiri kama kuna mtu ni mpumbavu kiasi cha kutaka watu wa amini mambo yake , binafsi siandiki uzi , nilifanya huu tu kwa heshima ya kuwataka radhi kiungwana tu
 
Wengine tukipoteza elfu kumi tu na homa tunapata🤣
 
Fanya hivyo jirani na unitag puliiizz napentraaaa mie wohiii..!! 😹😹

Mambo ya abroad to kivule!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…