Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
KWA KIZAZI CHA SASA. UKISHAKUWA SINGLE MOTHER TAFUTA TUU PESA. HAKUNA MWANAUME ATAKAYEHITAJI SINGLE MOTHER MASKINI ASIYE NA KAZI
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Mambo ya ûkipenda Boga penda na ua lake ni Misemo ya kipigaji waliopigwa Wazee wa Miaka ya Uhuru Huko.
Mambo mengi yamebadilika Sana.
Sikuambii kama kukusema ili uumie Bali nakuambia ukweli ili uchukue hatua lakini kama utakuwa lijinga shauri yako.
Wewe NI Maskini, single mother, alafu hutaki kazi. Hivi kwa Akili yako hata kama ingekuwa ndogo kama mbegu ya fenesi. Unafikiri Nani atakutaka?
Hutaki kuwa Mama ntilie.
Wakati Wanawake wenzako weñye Waume na àmbao Hawana watoto wanafanya Mama ntilie. Wewe hutaki
Hutaki kupika vitumbua, Kupika maandazi na chapati, hutaki kusuka Watu, hutaki Kushona nguo, hutaki kufanya Kazi za Usafi kwèñye majumba ya Watu, hutaki kuuza juisi, hutaki kufanyia Watu masaji, hutaki kazi yoyote wewe. Na unanuka Umaskini kuanzia kichwani Mpaka miguuni.
Alafu ulivyo Mjinga unasema Mtu apende Ua na Boga lake hivi Akili zako ziko Sawa kwèli?
Nani apende MTU Maskini asiye na Kazi?
Kama vile Wanawake msivyopenda Wanaume Maskini wasio na Kazi ndivyo hivyohivyo hata Wanaume hawapendi Mwanamke Maskini asiye na Kazi tena zaidi úwe single mother.
Binti yàngu, nisipokuambia ukweli wôte na mchungu pasipo kukuperemba hutaona Wala kuelewa Kwa ûzuri nilichokueleza
Hivi ingekuwa wewe Binti yàngu amekuja kijana Maskini mwenye Mtoto Mvivu asiye na Kazi na Wala asiyetaka Kazi ungemkubali awe Mumeo?
Bila Shaka hata kuongea naye usingetaka amalize sentensi Zake
Vivyohivyo Hakuna huyo Mwanaume wa kukutaka wewe ukiwa Maskini alafu single mother. Hakuna huyo Mwanaume Kwa Dunia ya Leo.
Yaani Wanawake Wazuri weñye Kazi zào wamejaa, Wanawake single mother weñye biashara zào wàpo kîla Kona, wasichana wabichi wanamaliza Shule Kila uchwao Wanaume wawaache hao wakufuate wewe na umaskini wako alafu single mother. Come on! Huo uite muujiza.
Hakuna Mwanaume anayetaka kulemewa Sasa hivi Binti yàngu.
Asije akakudanganya Mtu yeyote.
Huna huo ûzuri Wanaokudanganya nao. Huo ûzuri Huna Binti yàngu.
Ûzuri wa Sura au ûzuri wa umbo ni Kwa àmbao hawajakuzoea Binti yàngu. Wakizoea Huna ziada yoyote watakuacha Hapo na kukuona kero kûbwa, mzigo Mkubwa, ombaomba Mkubwa.
Uliwahi kuona Ombaomba anaheshimika Binti yàngu? Uliwahi kuona?
Huna huo ûzuri hata wewe mwenyewe unajijua Huna huo ûzuri.
Mzuri ni Mtu anayejitegemea, mwenye Kazi, asiye mzigo Kwa Mtu Mwingine. Huyo ni mzuri na hawezi kuwa Kero Kwa yeyote.
Huwezi kuwa na tàbia nzuri kama wewe ni tegemezi usiye na Kazi yoyote. Huna Sifa ya kuitwa Mwanamke mwenye tàbia nzuri Kwa Sababu moja ya mambo yanayomtambulisha Mtu anatabia Njema NI kufanya Kazi. Lazima úwe na Kazi. Lazima uulizwe shughuli yako ni Ipi.
Fanya Kazi!
Binti chapa Kazi!
Ukiwa Maskini Hakuna Mwanaume atakayekuthamini na kukuona wa Maana kama Huna Kazi.
Sisi Wanaume wa Leo vikao vyetu vyote. Wazazi wetu wanatuambia tutafute Wasaidizi wa Maisha na siô Wanawake Maskini tegemezi.
Hata Kanisani tunahubiriwa kîla Siku hivyo.
Ukifanya Kazi hakuna atakayekunyanyasa wewe na Watoto wako. Hayupo huyo Mtu. Atakunyanyasa Kwa lipi Wakati Mama Yao ndiye unawatunza Watoto wako?
Usipofanya Kazi lazima unyayaswe wewe na hao Watoto wako.
Vitoto vyako vitaitwa majina ya Kejeli kama vimbwa, vipanya, n.k.
Huwezi kuwa Mwanamke Maskini na single mother alafu Kwa ûjinga wako umwambie Mwanaume ati unamkubalia lakini asikunyanyase wewe Mbuzi nini?
Usinyanyaswe kwani wewe Nani? Mtu Fukara usiyetaka Kazi. Unàtaka kuwa Mzigo Kwa Mwingine na kumpa Mizigo ya Watoto wako alafu usinyanyaswe?
Watakunyanyasa na Mimi nawaambia wanyanyaseni Mpaka Akili zitie Moto.
Achana na mambo ya serikali sijui Dini sijui porojo za Mila kuwa Unyanyasaji unapigwa MARUFUKU.hizo NI porojo tuu hazina uhalisia.
Ukiwa Fukara alafu hutaki kazi utanyanyaswa tuu serikali ikiwemo,Dini zikiwepo na Mungu akiwepo na Hakuna kitu watafanya.
Fanya Kazi, jihudumie, lisha watoto wako kama Huwezi wapeleke Kwa Baba zào.
Unajiita Mama alafu Huwezi kulisha Watoto wako. Unashindwa hata na Ndege na Wanyama. Pumbavu!
Baba yako Acha nipumzike. Najua umenikasirikia lakini nisipokuambia ukweli utaumia zaidi ya Maneno niliyokupa.
Nawatakia Sabato Njema
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam