Kwa kizazi cha Sasa. Ukishakuwa single mother tafuta tuu Pesa. Hakuna Mwanaume atakayehitaji single mother Maskini asiye na kazi


Sahihi Kabisa
Wazazi lazima wawaambie Watoto wôte ikiwemo mabinti kuwa Hakuna Mwanaume wa Maana atakayetaka Kuoa Binti Maskini, Fukara, asiye na Elimu, na àmbaye hataki kufanya Kazi.
 
Single mothers wataficha sura zao wapi jamani. Tuwape break kidogo Kwa nyuzi za kuwatia moyo, hizi za kuwaponda zimetosha
 
Single mothers wataficha sura zao wapi jamani. Tuwape break kidogo Kwa nyuzi za kuwatia moyo, hizi za kuwaponda zimetosha

Sijaponda single mother.
Nimewaambia wafanye Kazi kwani hakuna Mtu mwenye Akili Zake timamu achukue Mwanamke single mother Maskini asiye na Kazi. Huyo Mtu hayupo Zama hizi
 
Uko sahihi 💯%
Huo ndio ukweli mchungu.
 
Sasa mnatusimanga kila siku si mtatuua kwa msongo wa mawazo kenge nyie😂

Alafu badala aseme ataki mfe ili muwe Mke wake au wake zào. Anataka usife ili apate pakumaliza Nyege Zake.
Kuishi na wéwe Aaah!

Hivyo ndîvyo Wanaume wengi walivyo
 
Maneno ni makali sana busara ni muhimu sana vijana wenzangu inawezekana Kuna kitu kipo moyoni mwako ebu kiachilie maisha yaendelee
 
Maneno ni makali sana busara ni muhimu sana vijana wenzangu inawezekana Kuna kitu kipo moyoni mwako ebu kiachilie maisha yaendelee

Hekima inaeleza siô kîla Muda utumie Busara
Hekima inaeleza kuwa siô kîla Muda utumie Hekima. Hiyo nayo ni Hekima.
 
Sio wao tu! hata na wanawake ambaoo hawana Bikra waambie watafute vibarua vya kuponda maweeee!

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
huu ni ukweli mtupu, hata MAMA yangu alishanionya kuwa;-
mwanangu usioe mwanamke mwenye mtoto, kwa sababu WAZAZI huwa HAWAACHANI, ipo siku tu watakumbushana kwakua wana KIUNGANISHI ambacho ni mtoto.
 
🤣 upwiru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…