Kwa kizazi cha Sasa. Ukishakuwa single mother tafuta tuu Pesa. Hakuna Mwanaume atakayehitaji single mother Maskini asiye na kazi

Single maza tunywe sumu kwa namna tunavyoandamwa
Na mtakunywa kweli siyo kwa sababu mnaandamwa bali kwa sababu hamtumii akili zenu vizuri,mnajiendea tu kama migari mibovu dizain hamjui mbele ni wapi nyuma ni wapi.

Mtu unajua kabisa umeshazalishwa,aliyekuzalisha akakukataa tangu mjamzito umezaa kwa tabu umelea kichanga mwenyewe kwa tabu but anatokea fala mmoja anakubali kukubeba wewe na kinda lako anawalisha anakusomeshea mwanao then from no where anatokea yule aliyekuzalisha akakukataa unashikamana nae kiasi unamvulia mpaka nguo huku yule aliyekusitiri ukimuona akili hana.
 
UONGO! nyie wanaume wa jamii forum hii mitazamo yenu mnakuaga na dunia yenu au!?
 
Kweli huyo mdada kazingua kama ni hivyo
 
Mwanaume kua na singo Maza ni uwe unajiegesha tu hawafai hao watu
 
Nalia nalia ......singo faza je? Hatujizalishi wenyewe jaman
Wala usilie single Maza kwa mwanaume hamnaga thamani ndio maana huwezi kupata mtu ukadumu nae, na ukipata fala akakupenda jitahidi kukomaa nae maana ni aibu mwanaume kua na single mother au kuoa single mother , anakua kakustiri kwelikweli, dunia nzima hakuna single faza maana anayebeba mimba ni wewe mwanamke na hata ukiwa mjane wewe unakua na mkosi kwa Nigeria mwanamke akifiwa Mume hutengwa mbali kabisa huyo anakua kajaa laana
 
Mwanaume hajali hiyo degree au masters ya mwanamke au kiwango cha mshahara wa mwanamke

Hajali kuwa mwanamke ni daktari, engineer, mwanasheria, ana biashara n.k

Mwanaume kamili anachoangalia ni loyalty/uaminifu wa mwanamke. Will she make a good wife?

Kitu ambacho single maza alishafeli kitambo hana. Kuwa single maza tayari ni red flag tosha. Mwanaume yoyote anayemuoa single maza ni low value man na mpumbavu

Ukikua utanielewa
 
Duh!!! UKWELI MCHUNGU 🙌🏾🙌🏾🙌🏾.
 
Hiyo ndio watu inawakatisha tamaa kuoa masingle mother
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…