Kwa kizazi cha Sasa. Ukishakuwa single mother tafuta tuu Pesa. Hakuna Mwanaume atakayehitaji single mother Maskini asiye na kazi

Dawa nikumcare halafu unampachika mimba nyingine ili akili zimkae vizuri
 
Ila______ single mother wana utqmu wao special
To hire someone with experience is great issue 😉
Wanafaa kuw mke wa pili😋😋😋
 
Ila______ single mother wana utqmu wao special
To hire someone with experience is great issue 😉
Wanafaa kuw mke wa pili😋😋😋
Kabisa single mama wote waolewe wawe wake wa pili
 
Unakuta single mother ana watoto debe, kila mtoto ana baba yake naye anataka kuolewa. Nani atataka mzigo wote huo halafu mama yao hana shughuli maalumu ya kufanya? Single mama wanaotaka kuolewa ni wale wasio na mbele wala nyuma. Masingo mama yanaojiweza hulea watoto wao peke yao na huchagua wanaume wa kuwa nao kimapenzi hata kama ni kwa shoo fupi fupi
 
Single mother hawaaminiki kwenye ndoa, ukimuoa siku akimkumbuka mzazi mwenzake hakuna rangi utaacha kuona
 

Yeah kweli Kabisa
 
Ila______ single mother wana utqmu wao special
To hire someone with experience is great issue 😉
Wanafaa kuw mke wa pili😋😋😋

Mwanaume gàni mwenye Akili timamu alete migogoro kwèñye Ndoa yake yenye Amani Kwa Kuoa Mke wa pili?
Huyo Mwanaume hayupo labda wale vichaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…