Kwa kizazi cha Sasa. Ukishakuwa single mother tafuta tuu Pesa. Hakuna Mwanaume atakayehitaji single mother Maskini asiye na kazi

Duh mwaka mbaya kwa single mom.
 
Hawa ma single mama ndio wanafaa maana wamejifunza baada ya makosa...

NB: Wanaume mkumbuke mna ndugu wa kike na mtazaa watoto wa kike
 
Kuna ulazima wa ku date single maza?

Kuna haja ya kumtaka hata kwa masaa?

Kuna ulazima wa kuwa na ushikaji na single maza?

Mbona mihemko yako unataka kutua kwa single maza ukifikiri hutoombwa hela ? Ulioona wapi ?

Kama huwezi acha single maza watulie zao
 
Nina miaka 26 leo na huyo unayemwita single mother sijakaa nikajutia hata siku moja! Mama wadogo walijilengesha nikawapa za uso hawana hamu! Jamani msijenerolizi aisee, wanawake wanajielewa sema ilikuwa bahati mbaya tu wakaangukia kwenye hayo matutusa manaume suruali!
 
Hawa ma single mama ndio wanafaa maana wamejifunza baada ya makosa...

NB: Wanaume mkumbuke mna ndugu wa kike na mtazaa watoto wa kike
Ni kweli tuna ndugu wa kike, Ila tabia wanazozionyesha single mother zinatia kinyaa!
Nenda kwenye hizi sherehe za kuukaribisha mwaka wanazofanya taasisi mbalimbali fatilia tabia za single mother wanachofanya utasikitika!
 
kila mwanamke anastahili upendo sio kwamba single mother ndio wasaliti hapana hata hao ambao sio single mother unaweza kukuta ndio wasaliti hatari hivyo nashauri jamii iache mitizamo hii hasi na tutazamie usawa na ieleweke kwamba usaliti upo sehemu nyingi sio kwa wanaume wala wanawake jambo la msingi ni kila mmoja kwenye jamii kutafuta mwenza sahihi hili ndio suluhisho na sio kutafuta asiye single mother kwani unaweza kukuta huyo asiye na mtoto ndio msaliti mkuu hivyo tubadilishe mitizamo hii hasi kwamba sigle mother hawafai hapana.
 
Jamani hawa singo mathas mbona wanaaneamwa sana? Hebu tuwaache wapumzike kwanza wazee.
 
Sio wote,,, ! Kuna mmoja nipo nae napiga piga huu mwaka wa 2, ana watoto wa2! She is too nice kwangu, kama sio tulichelewa kufahamiana pengine ningemuoa ! Ndo vile tena !!!!
Unamsaidia kulipa ada za watoto wake kwanini akutibue
 
Una kitu utafika mbali me waache unafki wanawake wazuri wanahesabika
 
Humu watu wanavojifaragua na kujipambanua 😏 na si ajabu ukakuta hata me waliotelekeza watoto wamo humu wanajikosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…